FILAMU YA ‘MATESO YA UGHAIBUNI’ KUZINDULIWA JIJINI DAR
Mkurugenzi wa Didas Fashion, Khadija Ayoub Seif, (Wa pili toka Kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuelezea uzinduzi wa Filamu ya Mateso Ughaibuni inayotarajiwa kuzinduliwa siku ya Alhamis Septemba 4, 2014 katika viwanja vya Leadrs Club. Pembeni yake ni Rais Wa Bongo Movie Steve Nyerere na wasanii wengine.
Na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.FILAMU ya ‘Mateso Ughaibuni’ ambayo imerekodiwa Uingereza na wasanii Issa Musa ‘Cloud 112’, Riyama Ally, Wastara Juma ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies19 Feb
Hatimaye Filamu ya "Mateso Yangu Ughaibuni” Kuingia Sokoni
Baada ya kutokea figisufigisu kwa muda sasa kati ya baadhi ya waigizaji na muaandaaji, hatimaye filamu ya Mateso Yangu Ughaibuni itaingia sokoni hivi karibuni. Na hili ndio bandiko lililobandikwa mtandaoni na Didas Entertainment ambao ndio watengenezaji wa filamu hiyo.
“Shukrani kwanza ziende kwa Muumba pili kwa mama yangu mzazi. Kila jambo lenye kheri ukilifanyia subira huwa lina zaa kheri kubwa. Baada ya kushindwana Bei na ma distributors wa bongo, Kampuni moja ya waghana wameamua...
10 years ago
Dewji Blog03 Aug
Filamu mpya ya Wake-Up kuzinduliwa Agosti 30, 2015 jijini Dar
Muandaaji wa Filamu ya Wake-Up, Manaiki Sanga (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu filamu hiyo mpya inayotarajiwa kuzinduliwa Agosti 30, 2015. Kulia ni msanii wa filamu, Farida Sabua ‘Mama Sonia na Salim Ahmed ‘Gabo’.
Msanii wa filamu, Taiya Odero (kulia), akizungumza katika mkutano huo.
Meza kuu. Kutoka kulia ni Taiya Odero, Farida Sabua ‘Mama Sonia, Muandaaji wa Filamu ya Wake-Up, Manaiki Sanga, Salim Ahmed ‘Gabo na...
10 years ago
VijimamboFILAMU MPYA YA WAKE-UP KUZINDULIWA AGOSTI 30, 2015 JIJINI DAR ES SALAAM
Meza kuu. Kutoka kulia ni Taiya Odero, Farida Sabua 'Mama Sonia, Muandaaji wa Filamu ya Wake-Up, Manaiki Sanga , Salim Ahmed 'Gabo na Kaushik...
9 years ago
MichuziFILAMU MPYA 'GOING BONGO' KUZINDULIWA RASMI IJUMAA CENTURY CINEMAX MLIMANI CITY JIJINI DAR
Akizungumza jijini Dar es Salaam kuhusu uzinduzi huo mtunzi na muandishi ambaye pia ameisimamia katika kuitengeneza na kuigiza filamu hiyo, Ernest Napoleon alisema,
“Naamini kuonyeshwa kwa filamu hii kutaandika historia...
10 years ago
GPLDC AZINDUA FILAMU YA 'MATESO YANGU UGHAIBUNI', UZINDUZI WAFANA
10 years ago
Bongo Movies25 May
Filamu ya Wema Sepetu na Van Vicker ‘Day After Death’ Kuzinduliwa September, Dar
Filamu ya Wema Sepetu na muigizaji wa Ghana, Van Vicker ‘Day After Death’ inatarajiwa kuzinduliwa September mwaka huu jijini Dar es Salaam.
Wema ameiambia Bongo5 kuwa Van Vicker atakaa kwa wiki mbili zaidi kwaajili ya kufanya filamu nyingi na muigizaji huyo aliyeshinda aliyeibuka na tuzo ya muigizaji wa kike anayependwa kwenye tuzo za watu zilizotolewa Ijumaa iliyopita.
“Tunaplan kuilaunch movie yetu mwezi wa tisa, kaniambia kwamba akija he is going to stay for another two weeks na...
10 years ago
Bongo Movies16 Mar
Uzinduzi wa MATESO YANGU UGHAIBUNI Huko Uingereza
Uzinduzi wa filamu ya Mteso yangu ughaibuni umefanyika siku ya jumamosi tarehe 14, mwezi 3 mwaka huu Northampton, The Academy inchini uingereza kupitia kampuni ya Didas entertainment huku wageni rasmi wakiwa ni wasanii wawili kutoka bongo Yusuph Mlela na Esha buheti
Filamu hiyo iliyochezwa na mastaa Wastara Juma,Cloud 112,Riyama na waigizaji wengine kutoka London inasambazwa na kampuni moja ya usambazaji nchini Ghana na hii ni baada ya wasambazaji wa Tanzania kushindwa kuinunua. Kupitia...
10 years ago
GPLCLOUD NA WENZAKE KUZINDUA ‘MATESO YA UGHAIBUNI’ ILIYOREKODIWA UINGEREZA
10 years ago
MichuziTAMASHA LA KWANZA LA STARA KUZINDULIWA JIJINI DAR
Tamasha hili la aina yake linatazamiwa kufanyika tarehe 13th June 2015 katika ukumbi wa City Garden, kuanzia saa moja usiku hadi saa nne usiku kwa kiingilio cha shilling elfu 20 tu.
Pazia la Tamasha hili litafunguliwa wiki moja kabla ya Tamasha kwa Exhibition ya bidhaa ya vitu mbalimbali... vitakavyouzwa kama vile Mabaibui, Udi Hena na vitu vingine kuanzia saa mbii asubuhi hadi saa 1usiku na...