Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uzinduzi wa MATESO YANGU UGHAIBUNI Huko Uingereza

Uzinduzi wa filamu ya Mteso yangu ughaibuni umefanyika siku ya jumamosi tarehe 14, mwezi 3 mwaka huu Northampton, The Academy  inchini uingereza  kupitia kampuni ya Didas entertainment huku wageni rasmi wakiwa ni wasanii wawili kutoka bongo Yusuph Mlela na Esha buheti

Filamu hiyo iliyochezwa na mastaa Wastara Juma,Cloud 112,Riyama na waigizaji wengine kutoka London inasambazwa na kampuni moja ya usambazaji nchini Ghana na hii ni baada ya wasambazaji wa Tanzania kushindwa kuinunua. Kupitia...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

IDD AZZAN, MAMA TUNU PINDA KUSHUHUDIA UZINDUZI WA ‘MATESO YANGU UGHAIBUNI’

Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Mheshimiwa Idd Azzan. Mke wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Mizengo Pinda, Mama Tunu Pinda. MBUNGE wa Jimbo la Kinondoni, Mheshimiwa Idd Azzan,  na mke wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Mizengo Pinda, Mama Tunu Pinda, ni miongoni mwa wageni…

 

10 years ago

GPL

DC AZINDUA FILAMU YA 'MATESO YANGU UGHAIBUNI', UZINDUZI WAFANA

Mkuu wa Wilaya (DC)  Temeke, Mheshimiwa Sophia Mjema akihutubia kwa niaba ya mke wa waziri mkuu, Tunu Pinda, aliyetarajiwa kuwa mgeni rasmi, (hakufika) wakati wa uzinduzi wa filamu  hiyo. Muigizaji Esha Buheti akiwa katika zulia jekundu 'red carpet' kwa ajili ya kupiga picha kwenye uzinduzi wa filamu…

 

10 years ago

Bongo Movies

Hatimaye Filamu ya "Mateso Yangu Ughaibuni” Kuingia Sokoni

Baada ya kutokea figisufigisu kwa muda sasa kati ya baadhi ya waigizaji na muaandaaji, hatimaye filamu ya Mateso Yangu Ughaibuni itaingia sokoni hivi karibuni. Na hili ndio bandiko lililobandikwa mtandaoni na Didas Entertainment ambao ndio watengenezaji wa filamu hiyo.

“Shukrani kwanza ziende kwa Muumba pili kwa mama yangu mzazi. Kila jambo lenye kheri ukilifanyia subira huwa lina zaa kheri kubwa. Baada ya kushindwana Bei na ma distributors wa bongo, Kampuni moja ya waghana wameamua...

 

10 years ago

GPL

CLOUD NA WENZAKE KUZINDUA ‘MATESO YA UGHAIBUNI’ ILIYOREKODIWA UINGEREZA

Issa Mussa 'Cloud 112' akipozi ndani ya studio za Global TV Online. Mkongwe wa filamu za Kibongo, Yvonney Cherry ‘Monalisa’. Mastaa wa filamu za Kibongo, Riyama Ali na Wastara Juma. FILAMU ya ‘Mateso Ughaibuni’ ambayo imerekodiwa Uingereza  na wasanii  Issa Musa ‘Cloud 112’,  Riyama Ally, Wastara Juma  na Monalisa itazinduliwa Alhamisi hii katika viwanja vya Leaders, jijini...

 

10 years ago

Michuzi

FILAMU YA ‘MATESO YA UGHAIBUNI’ KUZINDULIWA JIJINI DAR

Mkurugenzi wa Didas Fashion, Khadija Ayoub Seif, (Wa pili toka Kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuelezea uzinduzi wa Filamu ya Mateso Ughaibuni inayotarajiwa kuzinduliwa siku ya Alhamis Septemba 4, 2014 katika viwanja vya Leadrs Club. Pembeni yake ni Rais Wa Bongo Movie Steve Nyerere na wasanii wengine.

Na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.FILAMU ya ‘Mateso Ughaibuni’ ambayo imerekodiwa Uingereza na wasanii Issa Musa ‘Cloud 112’, Riyama Ally, Wastara Juma ...

 

11 years ago

GPL

JAMANI! 'MATESO YANGU ANAYAJUA MUNGU’

Makala: Deogratius Mongela na Denis Mtima WAKATI wewe unaishi vizuri na kufanya kila aina ya starehe uitakayo, mambo ni tofauti kwa Ili Chacha (40) ambaye hata mahitaji muhimu kwake ni shida kwa kuwa anasumbuliwa na gonjwa hatari la kansa kwa zaidi ya miaka 14 sasa bila matibabu yoyote.…

 

10 years ago

Vijimambo

UZINDUZI WA SEASON II YA SIRI YA MTUNGI NDANI YA UKUMBI WA CINEMAX HUKO OYSTERBAY

Uzinduzi wa siri ya mtungi season II ndani ya ukumbi wa Century  Cinemax Oysterbay  wafana hapa ni kati ya washiriki wakipata ukodak wa pamoja na wafadhili waliofanikisha Episode hii kukamilika na kuwa hewani. Wafadhili hawa ni kutoka Marekani na ndiyo chachu ya Episode hii kukamilika na kuiwezesha kuwa hewani hili watu wajifunze kilichopo ndani yake.Vyombo vya habari pamoja na Camera ya Vijmambo vikiwajibika hili kuwajuza kilichokuwa kimefanyika ndani ya ukumbi huu wa Century Cinemax.
 Juu...

 

9 years ago

Michuzi

Sensei Rumadha Fundi aalikwa kushiriki semina ya Okinawa Goju Ryu Karate-Do Jundokan So Honbu huko Leeds, Uingereza


 Mwakilishi wa Jundokan So Honbu Tanzania, sensei Fundi, 3rd Dan (pichani chini), mwenye makaazi yake Marekani, amealikwa kushiriki moja ya semina ( Gasshuku) ya Karate mtindo wa Okinawa Goju Ryu Karate-Do Jundokan So Honbu. 
Semina hii itafanyika nji wa Leeds, Uingereza, kuanzia tarehe 16 hadi 18 Oktoba, 2015. Wakuu wa Jundokan toka visiwa vya Okinawa wakiwemo; Sensei Yoshihiro Miyazato, Kancho ambae ni mtoto wa mwanzilishi wa Jundokan dojo mwaka 1957 master Eiichi Miyazato ( aliyekuwa...

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI WA UINGEREZA NCHINI AONGOZA UZINDUZI WA FILAMU YA KUPINGA UKEKETAJI YA SIMULIZI HALISI YA GHATI NA RHOBI

 Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Dianna Melrose (kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Jukwaa la Utu wa Mtoto (CDF), Koshuma Mtengeti (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Wanawake wa Afya, Utafiti na Maendeleo (Forward), Naana Otoo-Oyortey MBE, wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa Filamu ya Simulizi halisi ya Ghati na Rhobi ulifanyika nyumbani kwa balozi huyo, Oysterbay Dar es Salaam jana. Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Dianna Melrose (kulia), akizungumza kabla ya uzinduzi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani