Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MATESO JUU YA MATESO

Stori: Erick Evarist na Mitandao Dunia haina huruma! Meriam Ibrahim, raia wa Sudan aliyetakiwa kuhukumiwa adhabu ya kifo kufuatia kuolewa na mwanaume Mkristo, Daniel Wani, raia wa  Marekani, amezidi kuteseka baada ya kuachiwa huru kisha kudaiwa kukamatwa tena hivyo kumuongezea mateso juu ya mateso. Meriam Ibrahim, raia wa Sudan akiwa na mume wake (Daniel Wani ) ambaye ni mkristo.
Mwanamke huyo aliachiwa huru Jumatatu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Ni mateso

NA WAANDISHI WETU, DAR NA MIKOANI
NI mateso. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya maelfu ya wananchi kukwama kusafiri, kutokana na madereva wa mabasi yaendayo mikoani kugoma jana.
Mbali ya mabasi yaendayo mikoani kugoma, jijini Dar es Salaam nako hali ilikuwa mbaya, baada ya madereva wa daladala nao kusitisha huduma ya usafirishaji.
Takwimu zinaonyesha karibu mabasi 300 hufanya safari kila siku kati ya Dar es Salaam, mikoani na na nchi jirani za Kenya, Uganda, Zambia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya...

 

11 years ago

GPL

HAYA NI ZAIDI YA MATESO

KWELI ni zaidi ya mateso! Ukisema we unaumwa lakini unapata usingizi, kumbe hujawaona wagonjwa wenyewe!  Mtoto Neema Joseph (2) anateseka kwa ugonjwa wa jicho ambalo limefumuka na kutoka nje huku likitoa harufu kali na maumivu yasiyo na mfano, Uwazi lilimtembelea. Mtoto Neema Joseph (2) akilia kutokana na maumivu makali ya jicho. Mtoto huyo anayelia wakati wote kutokana na maumivu, anaishi na mama yake mzazi, Annastazia...

 

11 years ago

GPL

MIAKA 10 YA... MATESO KITANDANI

HUJAFA hujaumbika. Hicho ndicho unachoweza kusema ukimuona na baadaye kumsikiliza Disnia Rajabu,32, mkazi wa mtaa wa Geza Ulole mkoani Tanga ambaye anaumwa uvimbe wa mguu kwa muda wa miaka 10 sasa bila kupata nafuu. Disnia hakuzaliwa na tatizo hilo, bali alilipata ukubwani, tena akiwa tayari ameshaolewa, lakini katika hali ya masikitiko makubwa, anadai mumewe alimkimbia mara baada ya kugundua kuwa yupo katika majaribu makubwa...

 

11 years ago

GPL

MATESO; KWELI HUJAFA HUJAUMBIKA

LAZIMA utokwe machozi! Grace John mkazi wa  Mzumbe, Mvomero mkoani Morogoro yupo kwenye wakati mgumu kutokana na maradhi ya ajabu yanayomsumbua mwanaye Honolina Christian Mkude (11). Honolina anasumbuliwa na ugonjwa wa kuota nyama sehemu za mwili wake zinazofanana na pembe za mnyama, ugonjwa ambao unamtesa tangu kuzaliwa kwake. ILIKUWAJE?
Akisimulia kisa kizima, mama mzazi wa Honolina, Bi. Grace, anasema tangu amemzaa mwanaye...

 

10 years ago

GPL

MKE ASIMULIA MATESO ALIYOPATA YP

Na  Deogratius Mongela na Chande dallah
MKE wa aliyekuwa memba wa Kundi la TMK Family, Yessaya Ambikile ‘YP’ aliyefariki katika Hospitali ya Temeke, jijini Dar, Sakina Robert amefungukia mateso aliyopitia mumewe hadi umauti ulipomkuta usiku wa Oktoba 20, mwaka huu. Mke wa marehemu Yessaya Ambikile ‘YP’ aliyefariki katika Hospitali ya Temeke, jijini Dar, Sakina Robert akilia kwa uchungu katika...

 

11 years ago

GPL

JACK PATRICK MATESO SAA 48

Jack Patrick baada ya kukamatwa na dawa za kulevya. Stori:  Jelard Lucas
HABARI ya kufungia mwaka 2013 na kufungua pazia la mwaka mpya wa 2014 ni madai ya mwanamitindo kiwango Bongo, Jacqueline Patrick kukamatwa katika  Uwanja wa Ndege wa Macau nchini China akiwa na mzigo wa madawa ya kulevya aina ya heroin lakini Risasi Mchanganyiko linaangaza mapya zaidi juu ya sakata hilo. Mwanamitindo Jacqueline… ...

 

11 years ago

GPL

USIFURAHIE MATESO YA MTOTO WA MWENZAKO

IMEKUWA desturi yangu, lazima nianze kwa kulitanguliza mbele jina la Bwana Mungu wangu kabla ya kufanya jambo lolote kwa sababu nimefundishwa kuamini kwamba bila yeye hakuna kinachowezekana. Nimekuwa nikirudia mara kadhaa kuwaambia kuwa baadhi yetu, labda kwa fedha au mali tulizonazo, tunajiona kama wajanja wenye weledi wa hali ya juu. Sophia Simba. Tumesahau kwamba ujanja na weledi wote tulionao, umetokana na kudura zake Mungu...

 

11 years ago

GPL

SANDRA AKUMBUSHIA MATESO YA KAOLE

Stori: Mayasa Mariwata
MUUZA sura wa sinema za Kibongo, Salma Salmini ‘Sandra’ ametoa dukuduku lake baada ya kuelezea mateso aliyopata kipindi alipokuwa anaanza kujihusisha na masuala ya sanaa katika Kundi la Kaole. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Salma Salmini ‘Sandra’ Sandra aliliambia Ijumaa kuwa, mateso anayoyazungumzia ni yale ya kunyanyaswa na wasanii wenzake huku wakimfanyia vitimbi vya kila...

 

11 years ago

BBCSwahili

UN yalaani mateso ya Wakristo Iraq

Umoja wa Mataifa limelaani mashambulizi yanayofanywa na wapiganaji wa Jihad wa Iraq dhidi ya wakristo wa eneo wanalolishikilia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani