Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


USIFURAHIE MATESO YA MTOTO WA MWENZAKO

IMEKUWA desturi yangu, lazima nianze kwa kulitanguliza mbele jina la Bwana Mungu wangu kabla ya kufanya jambo lolote kwa sababu nimefundishwa kuamini kwamba bila yeye hakuna kinachowezekana. Nimekuwa nikirudia mara kadhaa kuwaambia kuwa baadhi yetu, labda kwa fedha au mali tulizonazo, tunajiona kama wajanja wenye weledi wa hali ya juu. Sophia Simba. Tumesahau kwamba ujanja na weledi wote tulionao, umetokana na kudura zake Mungu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

UKATILI: Mtoto aokolewa kwenye mateso

>Matukio ya ukatili yameendelea kuibuka nchini baada ya kugundulika kwa mtoto mwenye umri wa miaka sita katika Kijiji cha Bwizanduru Kata ya Maruku Wilaya ya Bukoba Vijijini akiwa amefungiwa ndani kwa miezi saba huku makalio yake yakiwa yamechanika kutokana na adhabu ya viboko.

 

11 years ago

Habarileo

Baba wa 'Mtoto wa Boksi’ aguswa mateso ya bintiye

BABA mzazi wa mtoto wa miaka minne, aliyedhulumiwa haki yake ya utu na kuteswa kwa zaidi ya miaka mitatu kwa kufungiwa ndani ya boksi tangu akiwa na umri miezi tisa, Rashid Mvungi hatimaye amepatikana na kusema kuwa mtoto huyo ni damu yake na kwamba yuko tayari kumlea katika hali yoyote. Mvungi alisema hayo jana, ambapo alisema tukio la mtoto wake kuishi ndani ya boksi, limemtia simanzi kubwa.

 

11 years ago

GPL

KAMA MWANAO MZIMA MSHUKURU MUNGU...MTOTO HUYU ANA MATESO MIAKA 11

Stori: makongoro oging’
“MAISHA yangu tangu tuoane na mume wangu yalikuwa mazuri tena yenye mapenzi ndani ya nyumba lakini tatizo limekuja kujitokeza pale nilipomzaa mtoto huyu Maimuna. Mtoto Maimuna aliyezaliwa miaka 11 iliyopita katika Wilaya ya Muheza, mkoani Tanga akiwa na matatizo ya kichwa kujaa maji. “Sikumuona tena mume wangu au kujua alikoelekea, sipati hata salamu kwa simu, barua hata kwa...

 

11 years ago

GPL

MATESO JUU YA MATESO

Stori: Erick Evarist na Mitandao Dunia haina huruma! Meriam Ibrahim, raia wa Sudan aliyetakiwa kuhukumiwa adhabu ya kifo kufuatia kuolewa na mwanaume Mkristo, Daniel Wani, raia wa  Marekani, amezidi kuteseka baada ya kuachiwa huru kisha kudaiwa kukamatwa tena hivyo kumuongezea mateso juu ya mateso. Meriam Ibrahim, raia wa Sudan akiwa na mume wake (Daniel Wani ) ambaye ni mkristo.
Mwanamke huyo aliachiwa huru Jumatatu...

 

10 years ago

GPL

FUMANIZI LISIKIE KWA MWENZAKO

JOSEPH NGILISHO, ARUSHA NIkweli! Kashikashi za kuambiwa umefumaniwa zisikie kwa mwenzako tu! Utakuta mtu mkubwa, bonge, lakini akidaiwa amefumaniwa, nguvu zote zinakwisha! Sijui kwa nini?! Aldina Hashim akitaitiwa. Mfanyabiashara mmoja wa jijini hapa ‘pedeshee’ aliyejulikana kwa jina la Aldina Hashim, mkazi wa Unga Limted, amechezea kichapo baada ya rafiki yake kipenzi, Emmanuel Mwambije kudai amemfumania na mke...

 

11 years ago

GPL

HESHIMU NAFASIYA MWENZAKO KWENYE MAPENZI

MAPENZI ni sanaa yenye wigo mpana sana. Unahitajika uwe mbunifu ili uweze kuendelea kuwa bora kwa mpenzi wako kila siku. Lazima uwe mtafutaji wa kitu kipya ili uweze kuwa wa tofauti kwa mwenzako.Huwezi kuwa yuleyule, ikiwa hivyo maana yake utakinaiwa. Naam! Love & Life ni safu nzuri kwako kwa ajili ya kuongeza maarifa na kukufanya uendelee kuwa bora zaidi kwa mpenzi wako. Rafiki zangu, nataka kuzungumzia mada moja muhimu sana....

 

10 years ago

Vijimambo

SIYO DHAMBI KUMPENDA MPENZI WA MWENZAKO ILA FANYA HIVI

Utafiti ambao umefanyika unaonesha kuwa, asilimia kubwa wapo kwenye uhusiano na watu ambao siyo waliopangiwa na Mungu kuwa nao.Kutokana na hilo ndiyo maana utakubaliana na mimi kwamba, usaliti umekuwa ukishamiri, watu wamekuwa wakiachana kila siku na wengine kuendelea kuishi pamoja lakini si kwa amani.

Hii ni kwa sababu wameingia kwenye penzi na watu ambao si sahihi. Kutokana na mazingira hayo, haiwezi kuwa kitu cha ajabu mume wa mtu kutokea kumpenda sana mke wa mtu au kinyume chake.

Pia...

 

10 years ago

GPL

SIYO DHAMBI KUMPENDA MPENZI WA MWENZAKO ILA FANYA HIVI…

Utafiti ambao umefanyika unaonesha kuwa, asilimia kubwa wapo kwenye uhusiano na watu ambao siyo waliopangiwa na Mungu kuwa nao.Kutokana na hilo ndiyo maana utakubaliana na mimi kwamba, usaliti umekuwa ukishamiri, watu wamekuwa wakiachana kila siku na wengine kuendelea kuishi pamoja lakini si kwa amani. Hii ni kwa sababu wameingia kwenye penzi na watu ambao si sahihi. Kutokana na mazingira hayo, haiwezi kuwa kitu cha ajabu mume...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Jinsi ya kukaa mbali na mwenzako uwapo kazini

Virusi vya corona: Jinsi ya kukaa mbali na mwenzako uwapo kazini

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani