Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UKATILI: Mtoto aokolewa kwenye mateso

>Matukio ya ukatili yameendelea kuibuka nchini baada ya kugundulika kwa mtoto mwenye umri wa miaka sita katika Kijiji cha Bwizanduru Kata ya Maruku Wilaya ya Bukoba Vijijini akiwa amefungiwa ndani kwa miezi saba huku makalio yake yakiwa yamechanika kutokana na adhabu ya viboko.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

USIFURAHIE MATESO YA MTOTO WA MWENZAKO

IMEKUWA desturi yangu, lazima nianze kwa kulitanguliza mbele jina la Bwana Mungu wangu kabla ya kufanya jambo lolote kwa sababu nimefundishwa kuamini kwamba bila yeye hakuna kinachowezekana. Nimekuwa nikirudia mara kadhaa kuwaambia kuwa baadhi yetu, labda kwa fedha au mali tulizonazo, tunajiona kama wajanja wenye weledi wa hali ya juu. Sophia Simba. Tumesahau kwamba ujanja na weledi wote tulionao, umetokana na kudura zake Mungu...

 

11 years ago

Habarileo

Baba wa 'Mtoto wa Boksi’ aguswa mateso ya bintiye

BABA mzazi wa mtoto wa miaka minne, aliyedhulumiwa haki yake ya utu na kuteswa kwa zaidi ya miaka mitatu kwa kufungiwa ndani ya boksi tangu akiwa na umri miezi tisa, Rashid Mvungi hatimaye amepatikana na kusema kuwa mtoto huyo ni damu yake na kwamba yuko tayari kumlea katika hali yoyote. Mvungi alisema hayo jana, ambapo alisema tukio la mtoto wake kuishi ndani ya boksi, limemtia simanzi kubwa.

 

11 years ago

GPL

KAMA MWANAO MZIMA MSHUKURU MUNGU...MTOTO HUYU ANA MATESO MIAKA 11

Stori: makongoro oging’
“MAISHA yangu tangu tuoane na mume wangu yalikuwa mazuri tena yenye mapenzi ndani ya nyumba lakini tatizo limekuja kujitokeza pale nilipomzaa mtoto huyu Maimuna. Mtoto Maimuna aliyezaliwa miaka 11 iliyopita katika Wilaya ya Muheza, mkoani Tanga akiwa na matatizo ya kichwa kujaa maji. “Sikumuona tena mume wangu au kujua alikoelekea, sipati hata salamu kwa simu, barua hata kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Ni saa ngapi zimebakia kwenye mateso ya nishati?

Kila kukicha miongoni mwa kero kubwa ambayo imekuwa ikiumiza vichwa kwa Watanzania imekuwa ni umeme.

 

10 years ago

Mwananchi

Mtoto afanyiwa ukatili wa kutisha

Mtoto wa miaka 11 anayesoma Shule ya Msingi Shauri Moyo mkoani Kilimanjaro, anadaiwa kuchomwa na pasi ya umeme sehemu mbalimbali mwilini na dada yake, kisha kufungiwa ndani kwa siku tatu mfululizo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanaharakati walaani mtoto kufanyiwa ukatili

TAASISI zinazojihusisha na utetezi wa haki za binadamu, wanawake na watoto, zimelaani kitendo cha walezi wa mtoto Nasra Rashid (4) kumficha katika boksi tangu akiwa na miezi tisa hadi sasa...

 

11 years ago

Mwananchi

UKATILI: Mtoto ateswa miaka miwili

>Mtoto Merina Mathayo (15) amelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa (Moi) Muhimbili Dar es Salaam, baada ya kuteswa na kujeruhiwa  kichwani kwa kipigo maeneo mbalimbali ya mwili na bosi wake kwa miaka miwili.

 

9 years ago

GPL

UKATILI ULIOJE! SHANGAZI AMCHOMA MIKONO MTOTO WAKE

Niukatili ulioje ambao amefanyiwa mtoto Dorine (12), denti wa darasa la nne Shule ya Msingi Makabe, Mbezi jijini Dar.Dorine anadaiwa kuunguzwa na maji ya moto yaliyochemshwa kwenye jiko la gesi na walezi wake wa karibu akiwemo shangazi yake aliyetajwa kwa jina moja la Scola ambaye alitiwa mbaroni na bibi yake ambaye haikujikana alipo.  Dorine akiwa hospitali baada ya kuchomwa mikono na shangazi yake. Katika tukio hilo la...

 

11 years ago

Mwananchi

UKATILI: Mtoto afichwa uvunguni kwa miaka 6 Morogoro

>Wakati jamii ikiwa bado haijasahau mateso aliyoyapata mtoto Nasra Mvungi na kusababisha  kifo chake, tukio lingine la aina hiyo limetokea katika Kijiji cha Matongola, Tarafa ya Magole Wilaya ya Kilosa, baada ya kubainika mtoto wa miaka sita akiwa amefichwa uvunguni mwa kitanda na kufanyiwa vitendo vya kikatili na mama yake mzazi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani