Baba wa 'Mtoto wa Boksi’ aguswa mateso ya bintiye
BABA mzazi wa mtoto wa miaka minne, aliyedhulumiwa haki yake ya utu na kuteswa kwa zaidi ya miaka mitatu kwa kufungiwa ndani ya boksi tangu akiwa na umri miezi tisa, Rashid Mvungi hatimaye amepatikana na kusema kuwa mtoto huyo ni damu yake na kwamba yuko tayari kumlea katika hali yoyote. Mvungi alisema hayo jana, ambapo alisema tukio la mtoto wake kuishi ndani ya boksi, limemtia simanzi kubwa.
habarileo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania