Mtoto afanyiwa ukatili wa kutisha
Mtoto wa miaka 11 anayesoma Shule ya Msingi Shauri Moyo mkoani Kilimanjaro, anadaiwa kuchomwa na pasi ya umeme sehemu mbalimbali mwilini na dada yake, kisha kufungiwa ndani kwa siku tatu mfululizo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper29 Jan
Mtanzania afanyiwa unyama wa kutisha ‘Sauzi’
Akatwa sehemu za siri, ajeruhiwa vibaya mgongoni, tumboni na kwenye jicho
NA MWANDISHI WETU
MFANYABIASHARA aliyefahamika kwa jina la Jumanne Tevez, mkazi wa Dar es Salaam, amefanyiwa unyama baada ya kudaiwa kukatwa uume wake na wenzake.
Habari za uhakika kutoka chanzo chetu cha habari zilisema kuwa Tevez, amelazwa katika hospitali moja nchini Afrika Kusini akipatiwa matibabu.
Chanzo chetu hicho ambacho kipo karibu na familia ya mfanyabiashara huyo, kilieleza kuwa taratibu zinafanywa ili mke...
11 years ago
GPLUKATILI WA KUTISHA
10 years ago
GPLMTOTO AFANYIWA BETHIDEI, AFARIKI DUNIA
9 years ago
BBCSwahili06 Sep
Mtoto aliyekufa afanyiwa ibada Canada
10 years ago
Vijimambo19 Dec
Mtoto afanyiwa unyama na mama yake mzazi
Mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka sita amefanyiwa visa vya kinyama na mama yake mzazi, ambaye anadaiwa kumjeruhi vibaya kwa kumchoma moto mikono yake na kisha kumfungia ndani kwa siku nne akiugulia majeraha bila kutibiwa wala kula chakula.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda, mama aliyefanya ukatili huo (jina linahifadhiwa) ni mkazi wa mtaa wa Eden, Manispaa ya Sumbawanga, mkoani hapa.
Inadaiwa mama huyo...
10 years ago
Vijimambo18 Feb
Mama aliyeporwa mtoto albino afanyiwa upasuaji wa kichwa
Geita/Dar. Mama wa mtoto mwenye ulemavu wa ngozi ambaye alitekwa juzi na watu wasiofahamika mkoani Geita, amefanyiwa upasuaji wa kichwa na jopo la madaktari wa Hospitali ya Rufaa ya Bugando (BMC) mjini Mwanza.Mama huyo aliyefahamika kwa jina la Ester Jonas (30), alilazimika kufanyiwa upasuaji huo...
10 years ago
Mwananchi18 Feb
Mama aliyeporwa mtoto albino afanyiwa upasuaji wa kichwa
10 years ago
Dewji Blog11 Feb
Mtoto wa miaka 6 afanyiwa vitendo vya kinyama abakwa na kunyongwa Singida
Kamanda wa Jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP, Thobias Sedoyeka akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake.
Na Nathaniel Limu, Singida
MTOTO wa kike mwenye umri wa miaka sita mkazi wa kitongoji cha Maweni kijiji cha Mayaha kata ya Minyughe tarafa ya Ihanja wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida,Samaka Matawa,amefariki dunia baada ya kubakwa na kisha kunyongwa shingo.
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP,Thobias Sedoyeka, alisema tukio hilo la kusikitisha na la...
11 years ago
Mwananchi14 Jun
UKATILI: Mtoto ateswa miaka miwili