Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ni mateso

NA WAANDISHI WETU, DAR NA MIKOANI
NI mateso. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya maelfu ya wananchi kukwama kusafiri, kutokana na madereva wa mabasi yaendayo mikoani kugoma jana.
Mbali ya mabasi yaendayo mikoani kugoma, jijini Dar es Salaam nako hali ilikuwa mbaya, baada ya madereva wa daladala nao kusitisha huduma ya usafirishaji.
Takwimu zinaonyesha karibu mabasi 300 hufanya safari kila siku kati ya Dar es Salaam, mikoani na na nchi jirani za Kenya, Uganda, Zambia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MATESO JUU YA MATESO

Stori: Erick Evarist na Mitandao Dunia haina huruma! Meriam Ibrahim, raia wa Sudan aliyetakiwa kuhukumiwa adhabu ya kifo kufuatia kuolewa na mwanaume Mkristo, Daniel Wani, raia wa  Marekani, amezidi kuteseka baada ya kuachiwa huru kisha kudaiwa kukamatwa tena hivyo kumuongezea mateso juu ya mateso. Meriam Ibrahim, raia wa Sudan akiwa na mume wake (Daniel Wani ) ambaye ni mkristo.
Mwanamke huyo aliachiwa huru Jumatatu...

 

11 years ago

GPL

HAYA NI ZAIDI YA MATESO

KWELI ni zaidi ya mateso! Ukisema we unaumwa lakini unapata usingizi, kumbe hujawaona wagonjwa wenyewe!  Mtoto Neema Joseph (2) anateseka kwa ugonjwa wa jicho ambalo limefumuka na kutoka nje huku likitoa harufu kali na maumivu yasiyo na mfano, Uwazi lilimtembelea. Mtoto Neema Joseph (2) akilia kutokana na maumivu makali ya jicho. Mtoto huyo anayelia wakati wote kutokana na maumivu, anaishi na mama yake mzazi, Annastazia...

 

11 years ago

GPL

MIAKA 10 YA... MATESO KITANDANI

HUJAFA hujaumbika. Hicho ndicho unachoweza kusema ukimuona na baadaye kumsikiliza Disnia Rajabu,32, mkazi wa mtaa wa Geza Ulole mkoani Tanga ambaye anaumwa uvimbe wa mguu kwa muda wa miaka 10 sasa bila kupata nafuu. Disnia hakuzaliwa na tatizo hilo, bali alilipata ukubwani, tena akiwa tayari ameshaolewa, lakini katika hali ya masikitiko makubwa, anadai mumewe alimkimbia mara baada ya kugundua kuwa yupo katika majaribu makubwa...

 

10 years ago

GPL

MKE ASIMULIA MATESO ALIYOPATA YP

Na  Deogratius Mongela na Chande dallah
MKE wa aliyekuwa memba wa Kundi la TMK Family, Yessaya Ambikile ‘YP’ aliyefariki katika Hospitali ya Temeke, jijini Dar, Sakina Robert amefungukia mateso aliyopitia mumewe hadi umauti ulipomkuta usiku wa Oktoba 20, mwaka huu. Mke wa marehemu Yessaya Ambikile ‘YP’ aliyefariki katika Hospitali ya Temeke, jijini Dar, Sakina Robert akilia kwa uchungu katika...

 

11 years ago

GPL

SANDRA AKUMBUSHIA MATESO YA KAOLE

Stori: Mayasa Mariwata
MUUZA sura wa sinema za Kibongo, Salma Salmini ‘Sandra’ ametoa dukuduku lake baada ya kuelezea mateso aliyopata kipindi alipokuwa anaanza kujihusisha na masuala ya sanaa katika Kundi la Kaole. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Salma Salmini ‘Sandra’ Sandra aliliambia Ijumaa kuwa, mateso anayoyazungumzia ni yale ya kunyanyaswa na wasanii wenzake huku wakimfanyia vitimbi vya kila...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mateso yawakabili wahamiaji wa Rohingya

Mwaandishi wa habari wa BBC katika eneo la baharini huko Andaman katika pwani ya Thailand ameshuhudia mateso makubwa wanayopitia wahamiaji.

 

11 years ago

GPL

USIFURAHIE MATESO YA MTOTO WA MWENZAKO

IMEKUWA desturi yangu, lazima nianze kwa kulitanguliza mbele jina la Bwana Mungu wangu kabla ya kufanya jambo lolote kwa sababu nimefundishwa kuamini kwamba bila yeye hakuna kinachowezekana. Nimekuwa nikirudia mara kadhaa kuwaambia kuwa baadhi yetu, labda kwa fedha au mali tulizonazo, tunajiona kama wajanja wenye weledi wa hali ya juu. Sophia Simba. Tumesahau kwamba ujanja na weledi wote tulionao, umetokana na kudura zake Mungu...

 

11 years ago

BBCSwahili

UN yalaani mateso ya Wakristo Iraq

Umoja wa Mataifa limelaani mashambulizi yanayofanywa na wapiganaji wa Jihad wa Iraq dhidi ya wakristo wa eneo wanalolishikilia.

 

10 years ago

GPL

BVR DAR, SASA NI MATESO

NA SHANI RAMADHANI WAKATI zoezi la uandikishaji kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa kutumia mfumo wa kielekrtioniki uitwao Biometric Voters Registration (BVR), jijini Dar es Salaam ukiendelea, mengi yameibuka kwenye baadhi ya vituo vya uandikishaji na kuwafanya wananchi wengi kukata tamaa wakidai kuwa zoezi hilo kwao sasa ni mateso.. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1DKMZw2 ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani