Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mateso yawakabili wahamiaji wa Rohingya

Mwaandishi wa habari wa BBC katika eneo la baharini huko Andaman katika pwani ya Thailand ameshuhudia mateso makubwa wanayopitia wahamiaji.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Changamoto ya madawati yawakabili wanafunzi Misitu sekondari

Jumla ya Wanafunzi 364 kati ya wanafunzi 931 katika shule ya Sekondari Misitu iliyopo Kata ya Kivule wilayani Ilala jijini Dar es Salaam hawana madawati.

Ni wanafunzi 567 pekee ambao wanakaa kwenye madawati katika shule hiyo ambayo pia ina upungufu wa vyumba vya madarasa, matundu ya vyoo na uhaba wa walimu wa masomo ya sayansi.

Kilio cha wanafunzi hao kimekuja mara tu baada ya kupokea msaada wa kompyuta na Printa kutoka kwa mdau wa elimu ambaye amesema vifaa hivyo vitasaidia kuboresha elimu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Australia haitawaruhusu Rohingya kuishi

Australia imeonya kuwa haitawaruhusu wakimbizi wa jamii ya waislamu wa Rohingya waliowasili nchini humo kwa mashua kuishi.

 

11 years ago

GPL

MATESO JUU YA MATESO

Stori: Erick Evarist na Mitandao Dunia haina huruma! Meriam Ibrahim, raia wa Sudan aliyetakiwa kuhukumiwa adhabu ya kifo kufuatia kuolewa na mwanaume Mkristo, Daniel Wani, raia wa  Marekani, amezidi kuteseka baada ya kuachiwa huru kisha kudaiwa kukamatwa tena hivyo kumuongezea mateso juu ya mateso. Meriam Ibrahim, raia wa Sudan akiwa na mume wake (Daniel Wani ) ambaye ni mkristo.
Mwanamke huyo aliachiwa huru Jumatatu...

 

5 years ago

BBCSwahili

Wakimbizi wa Rohingya: 'Miili ilikuwa inarushwa baharini usiku'

Khadiza Begum, mkimbizi wa Rohingya, aliondoka Myanmar kukimbia ghasia lakini akakumbana na makubwa baharini.

 

5 years ago

BBCSwahili

Wakimbizi wa Rohingya 'walazimika kunywa maji ya bahari kuokoa maisha' baada ya kufurushwa

Taifa la Malaysia lililifurusha boti lililokuwa limebeba mamia ya wakimbizi wa Rohingya , likihofia maambukizi ya virusi vya corona .

 

10 years ago

Mtanzania

Ni mateso

NA WAANDISHI WETU, DAR NA MIKOANI
NI mateso. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya maelfu ya wananchi kukwama kusafiri, kutokana na madereva wa mabasi yaendayo mikoani kugoma jana.
Mbali ya mabasi yaendayo mikoani kugoma, jijini Dar es Salaam nako hali ilikuwa mbaya, baada ya madereva wa daladala nao kusitisha huduma ya usafirishaji.
Takwimu zinaonyesha karibu mabasi 300 hufanya safari kila siku kati ya Dar es Salaam, mikoani na na nchi jirani za Kenya, Uganda, Zambia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya...

 

11 years ago

GPL

MIAKA 10 YA... MATESO KITANDANI

HUJAFA hujaumbika. Hicho ndicho unachoweza kusema ukimuona na baadaye kumsikiliza Disnia Rajabu,32, mkazi wa mtaa wa Geza Ulole mkoani Tanga ambaye anaumwa uvimbe wa mguu kwa muda wa miaka 10 sasa bila kupata nafuu. Disnia hakuzaliwa na tatizo hilo, bali alilipata ukubwani, tena akiwa tayari ameshaolewa, lakini katika hali ya masikitiko makubwa, anadai mumewe alimkimbia mara baada ya kugundua kuwa yupo katika majaribu makubwa...

 

11 years ago

GPL

HAYA NI ZAIDI YA MATESO

KWELI ni zaidi ya mateso! Ukisema we unaumwa lakini unapata usingizi, kumbe hujawaona wagonjwa wenyewe!  Mtoto Neema Joseph (2) anateseka kwa ugonjwa wa jicho ambalo limefumuka na kutoka nje huku likitoa harufu kali na maumivu yasiyo na mfano, Uwazi lilimtembelea. Mtoto Neema Joseph (2) akilia kutokana na maumivu makali ya jicho. Mtoto huyo anayelia wakati wote kutokana na maumivu, anaishi na mama yake mzazi, Annastazia...

 

10 years ago

GPL

DAVINA: SITASAHAU MATESO YA SEGEREA

Na Laurent Samatta/Uwazi
NGULI wa filamu za Kibongo, Davina Yahaya ‘Davina’, amesema kamwe hatokuja kusahau mateso aliyowahi kuyapata akiwa Gereza la Segerea ambapo alikaa kwa siku tatu. Nguli wa filamu za Kibongo, Davina Yahaya ‘Davina’. Akipiga stori na Uwazi, Davina alisema tukio hilo lilitokea mwishoni mwa mwaka 2012 ambapo ilikuwa ni tatizo la kifamilia lililosababisha kutupiwa huko japokuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani