CLOUD: WEZI WA FILAMU WAFUNGWE MIAKA 10

Na Elvan Stambuli   MSANII wa filamu za Kibongo, Issa Mussa ‘Cloud’ amesema wasanii wa filamu nchini wanaibiwa sana kazi zao kutokana na sheria kuhusu sanaa hiyo kuwa dhaifu. Issa Mussa 'Cloud 112' akipozi ndani ya studio za Global TV Online. Akizungumza na safu hii, huku akirekodiwa na ‘kruu’ ya Global TV Online, Cloud alisema ingefaa serikali ikabadili sheria ili wezi wa kazi za filamu...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMWIGULU NCHEMBA ATEMA SUMU,WEZI WA ESCROW/IPTL WAKAMATWE,WAFILISIWE,WAFUNGWE.KUJIUZULU TU HAITOSHI.
Imenukuliwa Kutoka Gazeti la Mwananchi(www.mwananchi.co.tz)
Habari zaidi kutoka ndani ya kikao hicho zinaeleza kuwa Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba alitoa msimamo mkali kuhusu sakata hilo la escrow na kwamba ametaka hatua zichukuliwe kwa wahusika wote.
Katika kikao hicho inaelezwa kwamba Nchemba alionyesha msimamo wake waziwazi kuwa sakata hilo ni hujuma na kwamba haiwezekani walioiba fedha hizo wakaachiwa tu hivihivi.
Ndani ya kikao hicho imeelezwa kuwa Mwigulu alijitokeza na kusema...
11 years ago
Bongo Movies03 Oct
KIMENUKA! Cloud Amfanyia Fitna Frank Mwikongi Deal La Kwenda Kufanya Filamu Uingereza, Ushahidi Wasambaa.
Mambo hadharani !...Haya ni mapya yameibuka leo bila chenga. muigizaji wa filamu nchini Issa Musa "Cloud 112" anadaiwa kumfanyia fitna na majungu star mwenzake wa filamu nchini Frank Mohamed Mwikongi katika deal la kucheza filamu lililotokea nchini Uingereza hivi karibuni.
Kwa ,mujibu wa Didas Fashions ambaye ndiye mtengenezaji wa filamu hiyo ya Mateso Yangu Ughaibuni chaguo la kwanza la filamu hiyo alikuwa ni Frank Mwikongi na walizungumza mwanzo na kuafikiana Frank alipwe mil.2 kama...
11 years ago
Mwananchi20 Oct
Unyanyasaji wa kijinsia “Tuwatume wezi wawakamate wezi wenzao”
11 years ago
Dewji Blog09 Apr
WAZIRI Muhongo amesema wananchi wanaotoa taarifa za uongo kulipwa fidia ni wezi sawa na wezi wa maofisini wa mali za Umma
Mbunge wa jimbo la Iramba Magharibi na Naibu Waziri wa Fedha, Mh. Mwingulu Nchemba, akizungumza kwenye mkutano wa hadhara katika kijiji cha Kaselya wilaya ya Iramba.Wa kwanza kulia ni Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo na wa pili kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Iramba Yahaya Nawanda.
Na.Nathaniel Limu-Singida
WAZIRI wa NIishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (MB), amesema wananchi wanaotoa taarifa za uongo ili waweze kulipwa fidia wakati hawastahili, ni wezi sawa na...
11 years ago
Habarileo23 Mar
Kilaini: 'Wanaotafuna’ sadaka wafungwe
ASKOFU Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba, Method Kilaini amesema baadhi ya waumini na viongozi wa makanisa wanaoiba fedha za miradi, sadaka na mali nyingine za kanisa, wachukuliwe hatua za kisheria kama wezi wengine. Kauli hiyo ya Kilaini ameitoa huku kukiwa na malalamiko kutoka kwa waumini wa madhehebu ya Kikristo nchini ya kuwepo kwa baadhi ya viongozi na wasimamizi wa miradi kuchakachua fedha zinazochangwa ama na waumini au wafadhili kwa maendeleo ya kanisa.
10 years ago
BBCSwahili05 Dec
Je wenye akili taahira wafungwe kizazi?
10 years ago
MichuziBodi ya Filamu Nchini yatoa wito kwa wamiliki wa Filamu kuweza kuwasilisha Filamu.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu , Joyce Fisoo ametoa wito kwa kampuni za Filamu nchini kuwasilisha filamu zao ili ziweze kuhakikiwa na kulipiwa kwa kupata kibali cha kuingia sokoni kama sheria ya filamu ya mwaka 1976 kifungu namba 4 inavyoeleza.
Akizungumza katika ofisi za Bodi leo jijini Dar es Salaam, Fisoo ameipongeza kampuni ya Al-Riyamy Production ambayo imeweza kutimiza wajibu wake na kulipia filamu 134 ambazo zimepata kibali cha kupatiwa stamp za TRA...
10 years ago
Vijimambo14 Nov
BODI YA FILAMU TANZANIA YAZITAKA KAMPUNI ZA FILAMU KUZINGATIA SHERIA NA KANUNI ZA FILAMU.
10 years ago
VijimamboCHAMA CHA WASAMBAZAJI WA FILAMU TANZANIA WASITISHA KUKUNUNUA STIKA ZA TRA NA KUPELEKA FILAMU ZAO BODI YA FILAMU KWAAJILI YA KUFANYIWA UKAGUZI