Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWIGULU NCHEMBA ATEMA SUMU,WEZI WA ESCROW/IPTL WAKAMATWE,WAFILISIWE,WAFUNGWE.KUJIUZULU TU HAITOSHI.

Imenukuliwa Kutoka Gazeti la Mwananchi(www.mwananchi.co.tz)

Habari zaidi kutoka ndani ya kikao hicho zinaeleza kuwa Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba alitoa msimamo mkali kuhusu sakata hilo la escrow na kwamba ametaka hatua zichukuliwe kwa wahusika wote.
Katika kikao hicho inaelezwa kwamba Nchemba alionyesha msimamo wake waziwazi kuwa sakata hilo ni hujuma  na kwamba haiwezekani walioiba fedha hizo wakaachiwa tu hivihivi.
Ndani ya kikao hicho imeelezwa kuwa Mwigulu alijitokeza na kusema...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

VIDEO: Nape akitangaza kujiuzulu kwa Mwigulu Nchemba

75f2Nape-Nnauye

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, (Itikadi na Uenezi), Nape Nnauye.

 

11 years ago

GPL

CLOUD: WEZI WA FILAMU WAFUNGWE MIAKA 10

Na Elvan Stambuli    
MSANII wa filamu za Kibongo, Issa Mussa ‘Cloud’ amesema wasanii wa filamu nchini wanaibiwa sana kazi zao kutokana na sheria kuhusu sanaa hiyo kuwa dhaifu. Issa Mussa 'Cloud 112' akipozi ndani ya studio za Global TV Online. Akizungumza na safu hii, huku akirekodiwa na ‘kruu’ ya Global TV Online, Cloud alisema ingefaa serikali ikabadili sheria ili wezi wa kazi za filamu...

 

10 years ago

Mwananchi

Viongozi kujiuzulu pekee haitoshi

Jana Profesa Sosperter Muhongo alitangaza kujiuzulu nafasi yake ya Waziri wa Nishati na Madini, akieleza kuwa anataka nchi isonge mbele kwa kuwa suala la kumtaka Rais amwondoe kutokana na kashfa ya uchotwaji fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow, limesababisha mambo mengi kukwama.

 

10 years ago

Mwananchi

Kila kona wataka ‘watuhumiwa’ escrow wafilisiwe

Siku moja baada ya Kamati ya PAC kuweka hadharani uchunguzi wa Ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kuhusu Akaunti ya Tegeta Escrow, watu wa kada mbalimbali wamependekeza hatua kali za kisheria zichukuliwe dhidi ya wahusika.

 

10 years ago

Mwananchi

Mmiliki wa IPTL atema cheche

Mmiliki wa Kampuni ya Kufua Umeme ya IPTL, Habirnder Seth Singh amesema anafikiria mara mbilimbili iwapo aendelee kuwekeza nchini au la, baada ya kuwapo kwa tuhuma kwamba alihusika na uchotaji wa fedha katika Akaunti ya Tegeta Escrow katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

 

10 years ago

Habarileo

Nchemba ampa rungu DC kuwakamata wezi wa dawa

Mwigulu NchembaNAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Mwigulu Nchemba amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Morogoro kufanyia uchunguzi suala la upungufu wa dawa hospitalini kubaini wanaohusika na uchotaji wachukuliwe hatua.

 

10 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani