VIDEO;MWIGULU NCHEMBA ALIPOWAKALIA KOONI WEZI WA FEDHA ZA ESCROW
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMWIGULU NCHEMBA ATEMA SUMU,WEZI WA ESCROW/IPTL WAKAMATWE,WAFILISIWE,WAFUNGWE.KUJIUZULU TU HAITOSHI.
Imenukuliwa Kutoka Gazeti la Mwananchi(www.mwananchi.co.tz)
Habari zaidi kutoka ndani ya kikao hicho zinaeleza kuwa Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba alitoa msimamo mkali kuhusu sakata hilo la escrow na kwamba ametaka hatua zichukuliwe kwa wahusika wote.
Katika kikao hicho inaelezwa kwamba Nchemba alionyesha msimamo wake waziwazi kuwa sakata hilo ni hujuma na kwamba haiwezekani walioiba fedha hizo wakaachiwa tu hivihivi.
Ndani ya kikao hicho imeelezwa kuwa Mwigulu alijitokeza na kusema...
10 years ago
MichuziNaibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba aifagilia UTT Microfinance
10 years ago
CloudsFM07 Jan
10 years ago
Vijimambo![](http://lh5.ggpht.com/-CR99I05I4pA/VCRLaiXqgZI/AAAAAAAACPE/VOfXwupP5O8/s72-c/IMG_20140921_225237.jpg)
MAONI YA MWIGULU NCHEMBA,FEDHA ZOTE ZILIZOSALIA BUNGE LA KATIBA ZIELEKEZWE KWA WALIOKOSA MIKOPO ELIMU YA JUU
EXCLUSEIVEEEEE KUTOKA DODOMA
COMRADE MWIGULU NCHEMBA AKATAA FEDHA ZA UMMA ZILIZOBAKIA BUNGE LA KATIBA KUTAFUNWA NA WAJUMBE WA BUNGE HILO,AAGIZA FEDHA ZOTE ZILIZOSALIA BUNGE LA KATIBA ZIELEKEZWE KUSAIDIA WANAFUNZI WALIOKOSA MIKOPO ELIMU YA JUU,KUJENGEA VITUO VYA AFYA NA KUSAIDIA MASIKINI.
Mwigulu Nchemba asema fedha zitakazookolewa kutokana na kutokuendelea bunge maalumu zipeslekwe kuwalipia ada vijana waliokosa mikopo ya elimu ya juu.
Sokoine wa Pili ndugu Mwigulu Nchemba ameshauri fedha...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-xhhv-eiYr1Q/VQFLvY6zejI/AAAAAAAAJvY/Y5cY9c5C8b0/s72-c/11.jpg)
Uliona alichoandika Naibu waziri wa fedha mh.Mwigulu Nchemba baada ya kupokea taarifa ya kufutwa uanachama Zitto Z.Kabwe
![](http://1.bp.blogspot.com/-xhhv-eiYr1Q/VQFLvY6zejI/AAAAAAAAJvY/Y5cY9c5C8b0/s640/11.jpg)
Nakusihi kijana...
10 years ago
Dewji Blog25 May
VIDEO: Nape akitangaza kujiuzulu kwa Mwigulu Nchemba
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, (Itikadi na Uenezi), Nape Nnauye.
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/S514UVXoyWM/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo21 Jan
10 years ago
Habarileo20 Jan
Nchemba ampa rungu DC kuwakamata wezi wa dawa
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Mwigulu Nchemba amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Morogoro kufanyia uchunguzi suala la upungufu wa dawa hospitalini kubaini wanaohusika na uchotaji wachukuliwe hatua.