Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Naibu waziri wa fedha,Mwigulu Nchemba asheherekea miaka yake 40 na wafanyakazi wa clouds FM

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba aifagilia UTT Microfinance

 Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wakuu wa Taasisi ya kifedha ya UTT Microfinance, baada ya kukata utepe kuzindua taasisi hiyo, Dar es Salaam jana. Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Bw. Mwigulu Nchemba (wa pili kushoto), akikata utepe kuzindua rasmi Taasisi ya huduma za Kifedha ya UTT Microfinance, Dar es Salaam jana. Wa pili Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi Balozi Fadhili Mbaga na Mtendaji Mkuu wa UTT, Bw. James Washima (kushoto).Naibu ...

 

10 years ago

Vijimambo

Uliona alichoandika Naibu waziri wa fedha mh.Mwigulu Nchemba baada ya kupokea taarifa ya kufutwa uanachama Zitto Z.Kabwe

kulia ni Mb.Mwigulu Nchemba,katikati ni Mbunge wa Jimbo la Manyovu Kigoma Obama na anaefuata ni Mb.Zitto Z.KabweImenisikitisha sana,Nimesikia taarifa za kuenguliwa uanachama kwa Mh.Zitto Kabwe ndani ya Chama alichoanzia siasa,alichokitumikia kwa Jasho na mali,alichowekeza muda na akili yake kwa zaidi ya miaka 19.Zitto amekuwa/anaendelea kuwachachu ya mabadiliko kwa Vitendo kwa Taifa letu.Uwezo wa kisiasa wa Kabwe adhabu yake sio kumfukuza,Demokrasia ni lazima itumike.
Nakusihi kijana...

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZ: MWIGULU NCHEMBA AJIUZULU NAFASI YA NAIBU KATIBU MKUU WA CCM, RAJABU LUHWAVI ACHUKUA NAFASI YAKE

Habari za uhakika kutoka Dodoma zinaeleza kwamba Naibu Katibu Mkuu wa CCM ambaye pia ni Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Mwigulu Nchemba (kushoto) amejiuzulu nafasi hiyo katika chama tawala. Kulia ni Ndg Rajabu Luhwavi. Habari zaidi tutawaletea kuhusu sababu ya kujiuzulu huko.

 

10 years ago

Vijimambo

HON:MWIGULU NCHEMBA AMETIMIZA MIAKA 40,ATUMIA SIKU YAKE KUCHANGIA DAMU,KUSALIMIA WATOTO YATIMA NA KUJULIA HALI WODI YA AKINAMAMA MWANANYAMALA

Mh:Mwigulu Nchemba hii leo ametimiza miaka 40 ya Kuzaliwa kwake.Mwigulu Nchemba akiwasili Hospitali ya Mwananyamala kwaajili ya Kutembelea na kusalimia Wodi ya wazazi kama sehemu yake ya Kusherekea siku ya Kuzaliwa(Miaka 40).Mwigulu Nchemba akisalimiana na baadhi ya watumishi wa Hospitali ya Mwananyamala hii leo tar.07.01.2015.Mh:Mwigulu Nchemba akimsalimia mtoto aliyepatwa na tatizo la kuungua moto.Mh:Mwigulu akisikiliza kwa makini mahitaji ya wodi ya akinamama kutoka kwa Mganga mkuu...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA,MWIGULU NCHEMBA AENDELEA KUFUNIKA MIKUTANO YAKE,LEO RULENGA

Naibu Katibu Mkuu CCM Bara akisalimiana na Wananchi wa Rulenga hii leo alipofika Kufunga Kampeni.za Uchaguzi wa serikali za mitaa.Mwigulu Nchemba akisisitiza Wananchi kuwasimamia Viongozi watakao wachagua,kufuatilia mienendo yao.Hakuna kiongozi wa Nchi hii atakaye iba mali ya
Umma na akajisifia kuwa yeye ni Kiongozi Mwema na tajiri,Viongozi wabadhilifu wachukuliwe hatua kali ikiwamo kufilisiwa.Mwigulu Nchemba akiwaelezea Wananchi athari za kushindanisha Vyma kwenye chaguzi bila...

 

11 years ago

Michuzi

Hotuba Ya Mhe. Mwigulu Nchemba katika sherehe za Miaka 50 ya Muungano,jijini Washington DC

Mhe. Mwigulu Nchemba akizungumza katika moja ya hafla hapa Washington DC
Picha kwa hisani ya Vijimambo Blog Ifuatayo ni hotuba ya Mhe Mwigulu Nchemba. Naibu Waziri wa Fedha na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (Tanzania Bara) aliyoitoa katika maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano hapa Washington DC. Audio hii ni kwa hisani ya Vijimambo Blog

 

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA ADHAMINIWA,KATAVI,RUKWA NA MBEYA,SAFARI YAKE BADO INAENDELEA


Ndugu Mwigulu Nchemba akipokea Orodha ya Wazamini MKoa wa Katavi kutoka kwa Katibu Wilaya wa CCM(Mpanda Mjini.)Mwigulu Nchemba akitoa neon la Shukrani kwa WanaCCM waliomdhamini Mkoa wa Katavi.Mwigulu Nchemba akipokea Orodha ya WanaCCM walioamua kumdhamini kwenye Kufanikisha adhima yake ya Kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Hapa ni Sumbawanga Mjini kwa Mkoa wa Rukwa.Mwigulu Nchemba akishuhudia Mmoja ya Wanaccm waliomdhamini kwa Mkoa wa Rukwa.Mwigulu Nchemba akiagana na Wadhamini...

 

10 years ago

Vijimambo

MAONI YA MWIGULU NCHEMBA,FEDHA ZOTE ZILIZOSALIA BUNGE LA KATIBA ZIELEKEZWE KWA WALIOKOSA MIKOPO ELIMU YA JUU

EXCLUSEIVEEEEE KUTOKA DODOMA
COMRADE MWIGULU NCHEMBA AKATAA FEDHA ZA UMMA ZILIZOBAKIA BUNGE LA KATIBA KUTAFUNWA NA WAJUMBE WA BUNGE HILO,AAGIZA FEDHA ZOTE ZILIZOSALIA BUNGE LA KATIBA ZIELEKEZWE KUSAIDIA WANAFUNZI WALIOKOSA MIKOPO ELIMU YA JUU,KUJENGEA VITUO VYA AFYA NA KUSAIDIA MASIKINI.
Mwigulu Nchemba asema fedha zitakazookolewa kutokana na kutokuendelea bunge maalumu zipeslekwe kuwalipia ada vijana waliokosa mikopo ya elimu ya juu.

Sokoine wa Pili ndugu Mwigulu Nchemba ameshauri fedha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani