Uliona alichoandika Naibu waziri wa fedha mh.Mwigulu Nchemba baada ya kupokea taarifa ya kufutwa uanachama Zitto Z.Kabwe
![](http://1.bp.blogspot.com/-xhhv-eiYr1Q/VQFLvY6zejI/AAAAAAAAJvY/Y5cY9c5C8b0/s72-c/11.jpg)
kulia ni Mb.Mwigulu Nchemba,katikati ni Mbunge wa Jimbo la Manyovu Kigoma Obama na anaefuata ni Mb.Zitto Z.KabweImenisikitisha sana,Nimesikia taarifa za kuenguliwa uanachama kwa Mh.Zitto Kabwe ndani ya Chama alichoanzia siasa,alichokitumikia kwa Jasho na mali,alichowekeza muda na akili yake kwa zaidi ya miaka 19.Zitto amekuwa/anaendelea kuwachachu ya mabadiliko kwa Vitendo kwa Taifa letu.Uwezo wa kisiasa wa Kabwe adhabu yake sio kumfukuza,Demokrasia ni lazima itumike.
Nakusihi kijana...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziNaibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba aifagilia UTT Microfinance
10 years ago
CloudsFM07 Jan
9 years ago
MillardAyo02 Jan
Maneno 18 ya Waziri Mwigulu Nchemba baada ya kugundua upotevu wa kodi machinjio ya Vingunguti..
Picha zimeenea mitandaoni zikimuonesha Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Lameck Nchemba akiwa kwenye ziara katika machinjio maarufu ya ng’ombe pamoja na mbuzi iliyopo eneo la Vingunguti Dar es Salaam. Baada ya ziara hiyo Waziri Nchemba ameandika haya kwenye ukurasa wake wa Twitter >>> ‘Machinjio- Vingunguti usiku huu,hatua za awali nakutana na upotevu wa kodi […]
The post Maneno 18 ya Waziri Mwigulu Nchemba baada ya kugundua upotevu wa kodi machinjio ya Vingunguti.. appeared first...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/640cdJ4qjLQ-NeKfBjZ8PlQh1KGGfLSk3Z4D64Ktq92BeFYzr7yw-eFq9qeHZozLauGod6RMxrP5C22WX-gM1qAIym2*x25T/ZITTOKABWETABORA1.jpg)
ZITTO KABWE AVULIWA UANACHAMA CHADEMA
10 years ago
Mwananchi10 Mar
Zitto Kabwe avuliwa rasmi uanachama chadema
10 years ago
Vijimambo30 Nov
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-mRlxL4J1_AE/U18qMtJKCkI/AAAAAAAFd2k/yWtL5wkEIC0/s72-c/unnamed+(56).jpg)
dkt makame na mwigulu nchemba warejea nyumbani baada ya kuhudhuria sherehe za muungano marekani
![](http://4.bp.blogspot.com/-mRlxL4J1_AE/U18qMtJKCkI/AAAAAAAFd2k/yWtL5wkEIC0/s1600/unnamed+(56).jpg)
11 years ago
GPL06 Jan
10 years ago
Vijimambo![](http://lh5.ggpht.com/-CR99I05I4pA/VCRLaiXqgZI/AAAAAAAACPE/VOfXwupP5O8/s72-c/IMG_20140921_225237.jpg)
MAONI YA MWIGULU NCHEMBA,FEDHA ZOTE ZILIZOSALIA BUNGE LA KATIBA ZIELEKEZWE KWA WALIOKOSA MIKOPO ELIMU YA JUU
EXCLUSEIVEEEEE KUTOKA DODOMA
COMRADE MWIGULU NCHEMBA AKATAA FEDHA ZA UMMA ZILIZOBAKIA BUNGE LA KATIBA KUTAFUNWA NA WAJUMBE WA BUNGE HILO,AAGIZA FEDHA ZOTE ZILIZOSALIA BUNGE LA KATIBA ZIELEKEZWE KUSAIDIA WANAFUNZI WALIOKOSA MIKOPO ELIMU YA JUU,KUJENGEA VITUO VYA AFYA NA KUSAIDIA MASIKINI.
Mwigulu Nchemba asema fedha zitakazookolewa kutokana na kutokuendelea bunge maalumu zipeslekwe kuwalipia ada vijana waliokosa mikopo ya elimu ya juu.
Sokoine wa Pili ndugu Mwigulu Nchemba ameshauri fedha...