Kilaini: 'Wanaotafuna’ sadaka wafungwe
ASKOFU Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba, Method Kilaini amesema baadhi ya waumini na viongozi wa makanisa wanaoiba fedha za miradi, sadaka na mali nyingine za kanisa, wachukuliwe hatua za kisheria kama wezi wengine. Kauli hiyo ya Kilaini ameitoa huku kukiwa na malalamiko kutoka kwa waumini wa madhehebu ya Kikristo nchini ya kuwepo kwa baadhi ya viongozi na wasimamizi wa miradi kuchakachua fedha zinazochangwa ama na waumini au wafadhili kwa maendeleo ya kanisa.
habarileo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania