CLOUD AKANA KUMFITINI FRANK
![](http://api.ning.com:80/files/U8LSueg-IYrXaN4bhrO76GYZKVFZXlBNE2OIgpponWVKModwgx717v*ymdIrs2E*OLiLUPvYfBB3KhgLwinacGoFVtwvQbyI/FRANK.jpg?width=650)
Stori: Mayasa Mariwata na Chande Abdallah MSANII mkongwe wa filamu Bongo Issa Musa ‘Cloud’ amekana tuhuma zinazosambazwa mtandaoni kuwa alimfitini muigizaji mwenzake, Mohammed Mwikongi ‘Frank’ ili kumzuia asisafiri kuelekea Uingereza miezi michache iliyopita. Msanii mkongwe wa filamu Bongo Issa Musa ‘Cloud’. “Mimi sikumfitini Frank, yule mtu alinifuata mwenyewe kwa makubaliano ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies03 Oct
KIMENUKA! Cloud Amfanyia Fitna Frank Mwikongi Deal La Kwenda Kufanya Filamu Uingereza, Ushahidi Wasambaa.
Mambo hadharani !...Haya ni mapya yameibuka leo bila chenga. muigizaji wa filamu nchini Issa Musa "Cloud 112" anadaiwa kumfanyia fitna na majungu star mwenzake wa filamu nchini Frank Mohamed Mwikongi katika deal la kucheza filamu lililotokea nchini Uingereza hivi karibuni.
Kwa ,mujibu wa Didas Fashions ambaye ndiye mtengenezaji wa filamu hiyo ya Mateso Yangu Ughaibuni chaguo la kwanza la filamu hiyo alikuwa ni Frank Mwikongi na walizungumza mwanzo na kuafikiana Frank alipwe mil.2 kama...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cwh76f0JjblUot4UmsssXElg6iEMzRga2LZd-hc1nuQvHuiejcA5abwiE6celXlbv6Tnh*a*D3A-p9eyzwtFhCL7zwkapD14/CLOUD.jpg?width=650)
CLOUD: NITAMSHUSHIA ZA CHEMBE JB
9 years ago
BDlive29 Oct
Tanzania elections under a cloud
BDlive
BDlive
THREAT: Seif Sharif Hamad, opposition presidential candidate and secretary-general of the Civic United Front, speaks on Wednesday after Zanzibar annulled elections held at the weekend. Picture: AFP PHOTO/TONY KARUMBA ...
Why Next Election Will Be DifferentThe Star
Election was well-contested; organised, say observer teamDaily News | The National Newspaper (press release) (blog)
Ukawa furious over Union presidential election resultsIPPmedia
Voice of...
11 years ago
Tanzania Daima22 Jun
Cloud 112: Mimi siigizi
STAA wa filamu za Bongo, Issa Mussa ‘Cloud 112’, amesema muonekano wake katika filamu nyingi huwa haigizi ndivyo alivyo. Kauli hiyo imekuja baada ya msanii huyo kuonekana mtata katika filamu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZAWmPnMuulnxXJcP*QxAYaXl8ihQksbec2Sk7OYitCijmtLREGbqeD0Xmk*pBt4QsMK4U*N-Nhc3ZQpjnl4noFl46rCV21H2/4.jpg?width=650)
ESHA AJIPANGA KUMUOMBA RADHI CLOUD
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/v4Ts6wAJqDqu3RoKHty-0uI7Poy7UcX21P4uPoUvbamgmpivXoP8Y1hj*jm4X1eKvLkVxATf6gsNNOlRvq1NUixo*SzxROrD/cludi.jpg)
CLOUD: WEZI WA FILAMU WAFUNGWE MIAKA 10
11 years ago
GPL27 Jul
CLOUD 112 : NJOONI MSHUHUDIE NITAKAVYOMTWANGA JB
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vuUh0rgUyT7rknZ3NKF2WWhwLvKNQm33dfb6yJ8w5dA-T8M5apwasd3JRHA8*Okq6nAxH8EcvmOcjT1Xxw*JcjiBbTVh9GND/2b.jpg?width=650)
WASTARA, CLOUD WAZURU MAKABURI YA WASANII WENZAO
10 years ago
TheCitizen17 Nov
Dark cloud hangs over Eala sitting in Nairobi