ESHA AJIPANGA KUMUOMBA RADHI CLOUD
![](http://api.ning.com:80/files/ZAWmPnMuulnxXJcP*QxAYaXl8ihQksbec2Sk7OYitCijmtLREGbqeD0Xmk*pBt4QsMK4U*N-Nhc3ZQpjnl4noFl46rCV21H2/4.jpg?width=650)
Na Hamida Hassan Staa wa filamu za Kibongo, Esha Buheti amesema anajipanga kumtafuta msanii mwenzake Issa Musa ‘Cloud’ ili amuombe msamaha akiamini bila kufanya hivyo mambo hayawezi kumnyookea.Esha alisema yeye na Cloud ni kama mtu na kaka yake lakini kwa hali ilivyo inaonekana kama msanii mwenzake huyo ana kinyongo naye hivyo atakwenda kumuomba radhi ili tofauti zao ziondoke. Staa wa filamu za Kibongo, Esha...
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
Mwananchi27 Feb
Faida tatu za kumuomba mwanao msamaha
10 years ago
Tanzania Daima04 Nov
Kidato cha nne watakiwa kumuomba Mungu
WANAFUNZI walioanza mitihani yao ya kuhitimu kidato cha nne hapa nchini wametakiwa kumtanguliza Mungu kuliko kutegemea njia mbadala zisizo kuwa na msingi. Kauli hiyo imetolewa mwishoni mwa wiki na Mchungaji...
11 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Sam wa Ukweli ajipanga upya
11 years ago
Tanzania Daima01 May
Samir ajipanga kutoka na Nyororo
BAADA ya kufanya vizuri na kibao chake cha ‘Nyororo’, Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Samir Kassim ‘Samir’, anatarajiwa kuachia kazi yake mpya inayokwenda kwa jina la Fitina hivi...
11 years ago
Mwananchi23 Feb
Kalama ajipanga Mei Mosi
9 years ago
Habarileo28 Oct
Tegete ajipanga kuipaisha Mwadui
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Jerry Tegete amesema kwa sasa yupo fiti kwa ajili ya kuitumikia timu yake mpya ya Mwadui FC, na kuhakikisha inamaliza msimu ikiwa nafasi tatu za juu.
11 years ago
Tanzania Daima09 Jul
Mtangazaji ajipanga kufyatua albamu
MTANGAZAJI wa Radio Ushindi iliyopo mkoani Mbeya, Calvin Nyorobi, amejitosa katika huduma ya uimbaji wa muziki wa injili na yupo hatua za mwisho kukamilisha albamu yake ya audio na video....
11 years ago
Tanzania Daima19 Jul
Bob Junior ajipanga upya
BAADA ya kimya cha muda mrefu, mkali wa muziki wa kizazi kipya na muandaaji wa muziki huo, Rahim Rummy ‘Bob Junior’, amesema anatarajia kurudi upya akiwa na kazi yake ya ‘Bolingo’. Akizungumza Dar es Salaam jana,...
11 years ago
Tanzania Daima01 Aug
Kayala ajipanga kufanya makubwa
MUIMBAJI wa nyimbo za injili anayetamba na wimbo ‘Siwema’, George Kayala, ameahidi kuweka rekodi katika uzinduzi wa albamu yake ya ‘Siwema’ utakaofanyika katika Kanisa la WRM, Matembele ya Pili Kivule...