Sam wa Ukweli ajipanga upya
p>MKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, Salim Mohamed ‘Sam wa Ukweli’ amejipanga kurudi upya katika tasnia ya muziki huo baada ya kuwa kimya muda mrefu. Akizungumza na Tanznia Daima...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima19 Jul
Bob Junior ajipanga upya
BAADA ya kimya cha muda mrefu, mkali wa muziki wa kizazi kipya na muandaaji wa muziki huo, Rahim Rummy ‘Bob Junior’, amesema anatarajia kurudi upya akiwa na kazi yake ya ‘Bolingo’. Akizungumza Dar es Salaam jana,...
11 years ago
Tanzania Daima01 May
Samir ajipanga kutoka na Nyororo
BAADA ya kufanya vizuri na kibao chake cha ‘Nyororo’, Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Samir Kassim ‘Samir’, anatarajiwa kuachia kazi yake mpya inayokwenda kwa jina la Fitina hivi...
11 years ago
Mwananchi23 Feb
Kalama ajipanga Mei Mosi
9 years ago
Bongo Movies29 Aug
Jokate Ajipanga Kusaidia Wasichana
Mjumbe wa Kamati Mpya ya Miss Tanzania Jokate Mwegelo amesema kuwa kuvikwa kofia nyingi mbali na majukumu yake mengi haviwezi kumchanganya kuendelea mbele, kusaidia wasichana wenye ndoto kama zake.
okate kupitia jukumu lake jipya kama msemaji wa Kamati ya Miss Tanzania ambaye ni mjasiriamali na msanii wa muziki ameiambia eNewz kuwa, jukumu hili ni asili yake ya pili na hajilazimishi kufanya, akiamini katika falsafa ya anayepewa mengi anatarajiwa pia kurejesha mengi.
eNewz pia hatukuweza...
11 years ago
Tanzania Daima09 Jul
Mtangazaji ajipanga kufyatua albamu
MTANGAZAJI wa Radio Ushindi iliyopo mkoani Mbeya, Calvin Nyorobi, amejitosa katika huduma ya uimbaji wa muziki wa injili na yupo hatua za mwisho kukamilisha albamu yake ya audio na video....
11 years ago
Tanzania Daima01 Aug
Kayala ajipanga kufanya makubwa
MUIMBAJI wa nyimbo za injili anayetamba na wimbo ‘Siwema’, George Kayala, ameahidi kuweka rekodi katika uzinduzi wa albamu yake ya ‘Siwema’ utakaofanyika katika Kanisa la WRM, Matembele ya Pili Kivule...
9 years ago
Habarileo28 Oct
Tegete ajipanga kuipaisha Mwadui
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Jerry Tegete amesema kwa sasa yupo fiti kwa ajili ya kuitumikia timu yake mpya ya Mwadui FC, na kuhakikisha inamaliza msimu ikiwa nafasi tatu za juu.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZAWmPnMuulnxXJcP*QxAYaXl8ihQksbec2Sk7OYitCijmtLREGbqeD0Xmk*pBt4QsMK4U*N-Nhc3ZQpjnl4noFl46rCV21H2/4.jpg?width=650)
ESHA AJIPANGA KUMUOMBA RADHI CLOUD