Faida tatu za kumuomba mwanao msamaha
Wengi wetu tumewahi kuwatamkia watoto wetu maneno makali ambayo baadaye tukiyatafakari, hatuamini kuwa maneno hayo yametoka kinywani mwetu. Baadhi ya wazazi huvuka mipaka na kuwatamkia watoto wao maneno kama, “Wewe ni hasara tupu!â€, “Mbwa kabisa wewe!â€, “Huna akili hata kidogo!†na mengine kadha wa kadha. Inakuwaje maneno haya ambayo sisi hatukupenda kuyasikia kutoka kwa wazazi wetu sasa yanatutoka kinywani kirahisi pale watoto wetu wanapokosea?
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi21 May
Zipo faida, hasara za serikali mbili au tatu kisiasa, kiuchumi
10 years ago
Dewji Blog02 Dec
Benki ya Exim yapata faida kabla ya kodi ya asilimia 9 katika robo ya tatu 2014
Meneja Fedha Mwandamizi Benki ya Exim, Bw. Issa Hamisi (wapili kulia) akizungumza na waandishi (hawapo pichani) juu ya utendaji wa kifedha wa benki hiyo katika robo ya tatu ya mwaka ambapo faida ya benki ya kabla ya kodi imekua kwa asilimia 9 mpaka shilingi bilioni 5.4 ikilinganishwa na kipindi hicho mwaka jana, jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkaguzi Mkuu wa Hesabu wa Benki, Bw. George Binde, Mkuu wa Hazina, Bw. George Shumbusho (wapili kushoto) Meneja Utafiti na Chambuzi za...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZAWmPnMuulnxXJcP*QxAYaXl8ihQksbec2Sk7OYitCijmtLREGbqeD0Xmk*pBt4QsMK4U*N-Nhc3ZQpjnl4noFl46rCV21H2/4.jpg?width=650)
ESHA AJIPANGA KUMUOMBA RADHI CLOUD
10 years ago
Tanzania Daima04 Nov
Kidato cha nne watakiwa kumuomba Mungu
WANAFUNZI walioanza mitihani yao ya kuhitimu kidato cha nne hapa nchini wametakiwa kumtanguliza Mungu kuliko kutegemea njia mbadala zisizo kuwa na msingi. Kauli hiyo imetolewa mwishoni mwa wiki na Mchungaji...
10 years ago
Bongo507 May
Said Fella kumuomba Rais Kikwete kuzindua nyumba za kisasa alizowajengea Yamoto Band
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-5e7ZzEr_zTQ/VClwdI0D6nI/AAAAAAAGmhc/NdQIPNYMruE/s72-c/DSCF9158.jpg)
10 years ago
Dewji Blog03 Apr
Tamko la TBN kumuomba Mh. Rais Jakaya Mrisho Kikwete asipitishe Muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandaoni, 2015
Tamko la Bloggers Tanzania.pdf by moblog
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-dr7VNyboDMI/XrvKaQuj09I/AAAAAAACKfs/YIAgRLi_ZQg8OV4t4Bag6LheVCDJJAbJwCLcBGAsYHQ/s72-c/MAGUFULIATEUAAA-4-600x430.jpg)
KANISA LAINGIA KATIKA IBADA YA SIKU TISA KUMUOMBA MUNGU AMFICHE RAIS DK. MAGUFULI DHIDI YA WAOVU
![](https://1.bp.blogspot.com/-dr7VNyboDMI/XrvKaQuj09I/AAAAAAACKfs/YIAgRLi_ZQg8OV4t4Bag6LheVCDJJAbJwCLcBGAsYHQ/s400/MAGUFULIATEUAAA-4-600x430.jpg)
Kanisa la Halisi la Mungu Baba lililopo Tegeta jijini Dar es Salaam, limeingia katika ibada ya siku tisa kumuombea Rais Dk. John Magufuli, Mungu amfiche ili waovu wasimdhuru na ampe maisha marefu ili endelee kuwatumikia Watanzania kwa hekima, busara na maarifa.
Akizungumza jana katika ibada hiyo ambayo ilianza siku sita zilizopita, Kiongozi wa Kanisa hilo anayejulikana kwa jina la Baba wa Uzao aliwaambia waumini kwamba Kanisa limechukua hatua ya kumuombea...
11 years ago
Mwananchi13 Apr
Mjengee mwanao kujiamini