MPENDE MWANAO......
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboSWAGGER BOY WA WEEK MPENDE MWANAO
Swagger boy wa week ndiyo huyu hapa anapatika pande za Tanga Tanzania.
10 years ago
GPL2015 NA MPENDE AKUPENDAE, ALIYEKULIZA 2014 AENDE ZAKE!
Tunakutana tena kupitia safu hii namba moja kwa kuandika makala kali zinazogusa maisha yetu ya kimapenzi. Ni matumaini yangu kwamba u-mzima na kwa wale wakristo wenzangu nina imani mnaendelea vyema na maandalizi ya Sikukuu ya Christmas. Mpenzi msomaji wangu, tunaukaribia mwaka mpya wa 2015. Endapo tutakuwa miongoni mwa wale watakaouona mwaka huo tukiwa wazima, kwanza ni lazima tumshukuru Mungu. Tutakuwa na kila sababu ya kufanya...
11 years ago
Mwananchi13 Apr
Mjengee mwanao kujiamini
Je, mwanao amekuwa na woga katika kufanya mambo yake, au ana tatizo la kuwa na aibu kupita kiasi?
10 years ago
GPLSHOGA, IACHE NDOA YA MWANAO, HAIKUHUSU!
Hehehe… heeeeee, heiiiya, acha nicheke miye mwana wa marehemu, sijui wazazi wangu huko waliko wako katika hali gani, nawaombea kwa Mwenyezi Mungu awape kivuli chake siku ya kiama. Waweza ona nacheka ukadhani labda nimejawa na furaha, kumbe nafsi yangu imejaa karaha, imekereka kama siyo kukereheshwa. Kuna watu wengine kwa kweli kila kitu watende wao wakitenda wenzao huwa mwao, hutaka kuicheza ngoma hata kama siyo ya kwao,...
10 years ago
GPLMWANAO WA KUMZAA UNAWEZA KUMTESA HIVI?
HARUNI SANCHAWA
MWANAMKE mmoja mkazi wa Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam, Violet Manyondo (40) anadaiwa kumtesa na kumfanyia vitendo vya kikatili mtoto wake wa kumzaa, anayejulikana kwa jina la David (14).David ambaye ni mwanafunzi wa darasa la tano katika shule moja ya msingi iliyopo Mzambarauni, Dar kwa sasa haendi shule kutokana na majereha aliyonayo kiasi cha kuwaliza majirani. Mtoto David akiwa na majeraha mwilini...
10 years ago
BBCSwahili24 Mar
'Homework' tele ni ugonjwa kwa mwanao.
Utafiti uliofanywa na chuo kikuu cha Oviedo, nchini Hispania ,umegundua masomo ya nyumbani yakizidi saa moja,ufanisi hushuka
11 years ago
Mwananchi10 Aug
Jinsi ya kupambana na ujeuri kwa mwanao
Je, mtoto wako ametimiza umri wa miaka 15? Je, ana tabia ya ujeuri? Mara nyingi wazazi huamini kuwa mtoto anapokuwa kwenye umri huu tabia ya ujeuri ni sehemu ya makuzi yake. Lakini hili si kweli.
9 years ago
GPLMAMA DIAMOND, MWANAO AKIPOTEA UNALO!
KATIKA tamaduni za Kiafrika, mzazi bila kujali jinsia yake, ni mtu muhimu sana katika ustawi wa maisha binafsi ya mtu, awe mwanaume au mwanamke. Ni baba au mama ndiyo wanaokuwa dira ya watoto wao katika kufanikiwa au kupotea. Kimsingi, kila mmoja anamtaraji mzazi kuwa nuru kwa mtoto wake, kwa maana ya kumuongoza katika namna bora ya kukabiliana na changamoto anazokutana nazo katika maisha yake ya kila siku. Ndiyo maana, kila...
11 years ago
Mwananchi08 Jun
Mjengee msingi wa maadili mema mwanao
Ulezi wa watoto ni jambo linalohitaji umakini mkubwa. Kimsingi akili ya mtoto ni kama karatasi nyeupe isiyo na maandishi. Hivyo kwake ni rahisi kunasa vitu vingi kwa wakati mmoja. Jambo hili linatakiwa kueleweka vizuri kwa wazazi na walezi wengi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania