MWANAO WA KUMZAA UNAWEZA KUMTESA HIVI?
![](http://api.ning.com:80/files/afJNJUtdOc4lrqUHMeGP*xlkW3vfCst*JQcIHXZfOf5-nRyYQO7tonmAhA5*bJ8geuNtCCO0RGuICUhJ0eYSiM7Oig4CZoYc/a.jpg?width=650)
HARUNI SANCHAWA MWANAMKE mmoja mkazi wa Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam, Violet Manyondo (40) anadaiwa kumtesa na kumfanyia vitendo vya kikatili mtoto wake wa kumzaa, anayejulikana kwa jina la David (14).David ambaye ni mwanafunzi wa darasa la tano katika shule moja ya msingi iliyopo Mzambarauni, Dar kwa sasa haendi shule kutokana na majereha aliyonayo kiasi cha kuwaliza majirani. Mtoto David akiwa na majeraha mwilini...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo530 Dec
Una kipaji cha kuimba? Unaweza kushinda zawadi kibao kutoka #TecnoOwnTheStage kwa kufanya hivi
![12356592_764354003692580_994120953_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12356592_764354003692580_994120953_n-300x194.jpg)
Je una kipaji cha kuimba? Unahisi unaweza kuwafunika washiriki wa shindano la Tecno Own The Stage?
Basi una nafasi ya kushinda zawadi kibao kutoka Tecno.
Unachotakiwa kufanya ni kuupload video ya sekunde 15 ya wimbo alioimba mshiriki yeyote na kuipost kwenye ukurasa wa Facebook wa TECNO Own The Stage.
Video yako ikipata likes nyingi utashinda zawadi kila wiki.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose...
9 years ago
Vijimambo16 Oct
MAMBO YA WIKIEND HAYO KAMA WEWE KAPO YA NGUVU HII INAKUHUSU UNAWEZA KUTUPIA HIVI KIROHO SAFI TU
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2015/10/16/20/2D69540600000578-3276444-image-m-18_1445024476540.jpg)
Kama wewe couple ya nguvu weekend hii unaweza kutupia kama hivi ukiwa na mama mwenye nyumba wako kiroho safi. Wale wenye wivu wajinyoge na toilet paper habari ndiyo hii jipendeni kwani maisha ni hapa hapa dunia.
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2015/10/14/16/2D611DED00000578-0-Cute_The_Project_Runway_star_was_also_checking_out_her_art_deale-a-8_1444834902461.jpg)
10 years ago
BBCSwahili09 Dec
Yaya akiri kumtesa mtoto UG
10 years ago
Mwananchi30 Jun
Escrow yaendelea kumtesa Tibaijuka
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mL7vEimd6q1LCss*aQZjpjdwtE74wpoWIk-Ctsc26OAo99cJkwyuanN90JVOxcKg0PSn0HAHyJfW7LwlmM02eqks4YuLPHRp/rayc2.jpg)
UNGA WAZIDI KUMTESA RAY C
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/c2nk1pk6akSs4fpG*GAt0FTkyMPUmwPgi142J4AEo18MKxV0jQ73XxmjI-Y1APQNy6L6N0p8YL4JGKcBt58FTsmxfZXNXYS5/JACK.jpg)
JACK PATRICK AZIDI KUMTESA JUX
10 years ago
Mwananchi29 Nov
Mgawo wa escrow wazidi kumtesa Tibaijuka
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pUv0rT5h6PJudGMbsP3Xz3Ukc6NhNZ6JhzrUDyEJx1elRqQ12Q3GxTAHm5H17yKlLBs9avtH4bUtNPSbIddTwJ7XGvS3RwNS/Love.jpg?width=650)
DHAMBI YA KUMLIZA, KUMTESA ANAYEKUPENDA KWA DHATI!