Escrow yaendelea kumtesa Tibaijuka
Mbunge wa Muleba Kusini (CCM), Profesa Anna Tibaijuka amemshambulia Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee pamoja na baadhi ya vyombo vya habari kwamba vinatumiwa na wabaya wake kumkashifu katika utendaji wake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-POvVTW6kW08/VZN7vNudyrI/AAAAAAAAwyo/SEo4KroQRPc/s72-c/pic%252Btibaijuka.jpg)
Escrow Yaendelea Kumtesa Tibaijuka..Amshambulia Halima Mdee, Adai Anatumiwa na Wabaya Wake Kumchafua
![](http://3.bp.blogspot.com/-POvVTW6kW08/VZN7vNudyrI/AAAAAAAAwyo/SEo4KroQRPc/s640/pic%252Btibaijuka.jpg)
Mbunge wa Muleba Kusini (CCM), Profesa Anna Tibaijuka amemshambulia Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee pamoja na baadhi ya vyombo vya habari kwamba vinatumiwa na wabaya wake kumkashifu katika utendaji wake.Profesa Tibaijuka alitoa shutuma hizo wakati akihutubia wananchi wa Kata ya Bureza. Alisema alikumbwa na kashfa ya Escrow, kutokana na kupata fedha kutoka kwa kaka yake Rugemalila (James) alizompa kusaidia shule anayoisimamia.
Alikanusha tuhuma zilizotolewa na Mdee bungeni dhidi yake...
10 years ago
Mwananchi29 Nov
Mgawo wa escrow wazidi kumtesa Tibaijuka
5 years ago
The Citizen Daily04 Apr
10 years ago
BBCSwahili28 Nov
Tibaijuka:''Nilipokea pesa za Escrow''
10 years ago
BBCSwahili19 Dec
Escrow:Tibaijuka asema ng'o hatajiuzulu
10 years ago
Mtanzania27 Feb
Tibaijuka afichua alivyotumia fedha za Escrow
PATRICIA KIMELEMETA NA AZIZA MASOUD
BARAZA la Maadili ya Utumishi wa Umma limesikiliza shauri la mgawo wa fedha za Escrow dhidi ya aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, ambaye anadaiwa amekiuka Sheria ya Maadili ya Utumishi wa Umma namba 12 (e) (1) ya mwaka 1995.
Kutokana na madai hayo, waziri huyo wa zamani wa Serikali ya awamu ya nne, amefichua namna alivyotumia fedha za mgawo wa Escrow ikiwamo kutumia Sh milioni 10 kwa ajili ya kununua...
10 years ago
Vijimambo12 Dec
Mgawo Escrow wamchanganya Prof. Tibaijuka
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Tibaijuka-December11-2014.jpg)
Prof. Tibaijuka ambaye aligawiwa Sh. bilioni 1.6 katika fedha hizo, tangu juzi ulianza mkakati wa kutoa matangazo katika magazeti na jana uliitishwa mkutano wa waandishi wa...
10 years ago
Mwananchi22 Dec
Escrow yamfukuzisha kazi Profesa Tibaijuka
10 years ago
Mwananchi09 Dec
Profesa Tibaijuka atetewa mgawo wa escrow