Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Escrow yamfukuzisha kazi Profesa Tibaijuka

Rais wa Jamhuri wa Tanzania Jakaya Kikwete ametangaza kumfukuza kazi  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka baada ya vyombo vya Serikali kubaini na kijiridhisha kuwa amekiuka maadili ya utumishi wa Umma kwa kuingiziwa fedha kiasi cha Sh1.65bilioni kwenye akaunti yake binafsi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Profesa Tibaijuka atetewa mgawo wa escrow

Wakati Watanzania wakisubiri utekelezaji wa maazimio ya Bunge juu ya ufisadi wa Akaunti ya Tegeta Escrow, Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Barbro Johansson Girls’ Education Trust, imemtetea Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka kuwa hastahili kuwajibishwa.

 

11 years ago

Dewji Blog

Waziri wa Ardhi Profesa Anna Tibaijuka asifu kazi inayofanywa na Shirika la Nyumba (NHC)

1

Waziri wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Makazi Mh. Prof. Anna Tibaijuka akipokewa na Felix Maagi Mkurugenzi wa Fedha wa NHC wakati alipowasili kwenye Banda la Shirika hilo kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa TANTRADE yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam leo.

2

Waziri wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Makazi Mh. Prof. Anna Tibaijuka akizungumza na baadhi ya viongozi wa shirika la nyumba nchini NHC baada ya kuwasili kwenye banda hilo...

 

11 years ago

Mwananchi

Profesa Tibaijuka azomewa

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka alipata wakati mgumu juzi jioni baada ya kuzomewa na wananchi waliokerwa na kitendo chake cha kubadilika na kumruhusu mwekezaji kuendelea kumiliki eneo la ardhi katika Shamba la Kapunga, Wilaya ya Mbarali, Mbeya.

 

11 years ago

Mwananchi

Moto wamwakia Profesa Tibaijuka

 Viongozi wa vyama vya siasa na wanaharakati wa masuala ya ardhi, wamesema kuzomewa kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka ni matokeo ya makosa yanayowafanywa na Serikali kuwapendelea wawekezaji wa nje na kuwapuuza wananchi.

 

10 years ago

Mwananchi

Profesa Anna Tibaijuka ampoza Mrema

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, juzi alifanya ziara ya kushtukiza katika kiwanda kinachomilikiwa na Kampuni ya Kilimanjaro Manufacturers Ltd.

 

10 years ago

GPL

PROFESA TIBAIJUKA: SINA SABABU YA KUJIUZULU

Waziri Tibaijuka akizungumza na wanahabari. Waandishi wa habari wakiwa kwenye mkutano…

 

10 years ago

Mwananchi

Profesa Tibaijuka: sina hatia, siwezi kujiuzuru

Siku Moja baada ya kujiuzuru kwa Mwanasheria mkuu Jaji Fredrick Werema, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka kwa mara nyingine amejitokeza hadharani na kutoa msimamo.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Wasomi vyuo vikuu wamfagilia Profesa Tibaijuka


NA JESSICA KILEO
UMOJA wa Vyuo Vikuu nchini, umemwomba Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, kupuuza watu wanaobeza makadirio ya wizara yake kwa mwaka 2014/2015 aliyowasilisha Bungeni hivi karibuni.
Mwakilishi wa umoja huo kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu John, Massoro Kivuga, alisema hayo jana alipozungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Dar es Salaam.
Kivuga alisema wamejifunza mambo mengi kutoka kwa waziri huyo shujaa na...

 

10 years ago

Mwananchi

Profesa Tibaijuka azomewa kwao mbele ya Kinana

>Mbunge wa Muleba Kusini (CCM), Profesa Anna Tibaijuka jana alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya kuzomewa na wananchi wa jimbo lake mbele ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani