Profesa Tibaijuka azomewa kwao mbele ya Kinana
>Mbunge wa Muleba Kusini (CCM), Profesa Anna Tibaijuka jana alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya kuzomewa na wananchi wa jimbo lake mbele ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi09 Jan
Profesa Tibaijuka azomewa
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka alipata wakati mgumu juzi jioni baada ya kuzomewa na wananchi waliokerwa na kitendo chake cha kubadilika na kumruhusu mwekezaji kuendelea kumiliki eneo la ardhi katika Shamba la Kapunga, Wilaya ya Mbarali, Mbeya.
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-FAyUBzOM-9I/VXeO_Wbb5UI/AAAAAAADq7o/zV1LufxyouE/s72-c/Tibaijuka.jpg)
UNANINI CHA KUSEMA JUU YA MANENO HAYA YA PROF ANNA TIBAIJUKA KWA WAPIGA KULA WAKE BAADA KUZOMEWA MBELE YA KINANA HUKO BUKOBA.
![](http://4.bp.blogspot.com/-FAyUBzOM-9I/VXeO_Wbb5UI/AAAAAAADq7o/zV1LufxyouE/s640/Tibaijuka.jpg)
10 years ago
Mwananchi03 Sep
Lukuvi azomewa mbele ya Kikwete
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi amejikuta katika wakati mgumu mbele ya Rais Jakaya Kikwete baada ya kuzomewa hadi kukatisha hotuba yake akipingwa na wananchi pamoja na madiwani wa CCM wa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma alipokuwa akitetea kuwapo kwa Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA).
11 years ago
Mwananchi10 Jan
Moto wamwakia Profesa Tibaijuka
 Viongozi wa vyama vya siasa na wanaharakati wa masuala ya ardhi, wamesema kuzomewa kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka ni matokeo ya makosa yanayowafanywa na Serikali kuwapendelea wawekezaji wa nje na kuwapuuza wananchi.
10 years ago
Mwananchi22 Dec
Escrow yamfukuzisha kazi Profesa Tibaijuka
Rais wa Jamhuri wa Tanzania Jakaya Kikwete ametangaza kumfukuza kazi Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka baada ya vyombo vya Serikali kubaini na kijiridhisha kuwa amekiuka maadili ya utumishi wa Umma kwa kuingiziwa fedha kiasi cha Sh1.65bilioni kwenye akaunti yake binafsi.
10 years ago
GPLPROFESA TIBAIJUKA: SINA SABABU YA KUJIUZULU
Waziri Tibaijuka akizungumza na wanahabari. Waandishi wa habari wakiwa kwenye mkutano…
10 years ago
Mwananchi09 Dec
Profesa Tibaijuka atetewa mgawo wa escrow
Wakati Watanzania wakisubiri utekelezaji wa maazimio ya Bunge juu ya ufisadi wa Akaunti ya Tegeta Escrow, Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Barbro Johansson Girls’ Education Trust, imemtetea Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka kuwa hastahili kuwajibishwa.
10 years ago
Mwananchi12 Oct
Profesa Anna Tibaijuka ampoza Mrema
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, juzi alifanya ziara ya kushtukiza katika kiwanda kinachomilikiwa na Kampuni ya Kilimanjaro Manufacturers Ltd.
10 years ago
Mwananchi18 Dec
Profesa Tibaijuka: sina hatia, siwezi kujiuzuru
Siku Moja baada ya kujiuzuru kwa Mwanasheria mkuu Jaji Fredrick Werema, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka kwa mara nyingine amejitokeza hadharani na kutoa msimamo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania