Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DHAMBI YA KUMLIZA, KUMTESA ANAYEKUPENDA KWA DHATI!

Mpenzi msomaji wangu, hakuna ubishi mapenzi yanachukua nafasi kubwa katika maisha yetu. Mimi na wewe tunahitaji kuwa na wapenzi tena wenye mapenzi ya dhati ili maisha yetu yaweze kukamilika. Bila kuwa na mtu ambaye kuna wakati unammis, ukiwa naye unajiona ni mwenye bahati kwa faraja anayokupa, ni lazima utahisi umepungukiwa kitu muhimu.Lakini wakati ukweli ukiwa hivyo, wapo wanaochukulia mapenzi kama kitu rahisirahisi. Kitu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KWA NINI UNGOJE ANAYEKUPENDA AKUTOLEE CHOZI LA LAANA?

Mapenzi yanachukua nafasi kubwa katika maisha yetu. Mimi na wewe tunahitaji kuwa na wapenzi tena wenye mapenzi ya dhati ili maisha yawe ni yenye furaha na amani. Lakini wakati ukweli ukiwa hivyo, wapo wanaochukulia mapenzi kama kitu rahisi. Hapa namaanisha hivi, mtaani kuna watu wa aina mbili. Kuna ambao wanajua kweli kupenda. Akisema anampenda fulani, anamaanisha na kuna wale ambao wanaweza kusema wamependa kumbe hamna lolote....

 

10 years ago

GPL

ASKOFU NZIGIRWA ASICHUME DHAMBI JUU YA DHAMBI

Askofu Eusebius Nzigirwa. WIKI iliyopita  niliandika mada juu ya viongozi wa dini kushindwa kunilisha neno juu ya sakata la Escrow. Nilikosoa mahubiri yao ya Sikukuu ya Krismasi yaliyoishutumu zaidi serikali katika ufisadi huku wakiacha kuwazungumzia viongozi wenzao wa dini ambao wanatajwa kujipatia mgao wa fedha zenye utata. Niliwaambia viongozi wa dini nchini kuwa, siyo sawa kujihusisha na utoaji wa kibanzi kwenye jicho la...

 

10 years ago

GPL

BABA APIGWA PINGU KWA KUMTESA MTOTO

Stori: Chande Abdallah na Deogratius Mongela
Hekaheka! Baba mkubwa aliyetajwa kwa jina la Mohamed Said a.k.a Muddy, mkazi wa Tegeta-Msufini jijini Dar amepigwa pingu akituhumiwa kumfanyia ukatili wa kutisha wa kumsulubu mtoto wa kiume wa mdogo wake, mwenye umri wa miaka sita (jina linahifadhiwa). Baba mkubwa aliyetajwa kwa jina la Mohamed Said a.k.a Muddy akiwa amepigwa pingu kwa madai ya kumtesa mtoto wa mdogo wake. Tukio...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maji yazidi kumliza Mnyika

MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), amesema ufumbuzi wa tatizo la maji katika Jiji la Dar es Salaam hautapatikana kwa kuchimba visima bali kuboresha miundombinu. Mbali na hilo, mbunge huyo...

 

10 years ago

Vijimambo

DALILI 20 ZA MWANAMKE ASIYEKUPENDA KWA DHATI!


Dalili 20 za mwanamke asiyekupenda kwa dhati!
1 : Hataki kuambata na wewe katika matembezi na ikitokea anakuwa mtu wa masharti mara akuambie tangulia nakuja au pengine kutembea nawe kwa umbali.
2 : Anapata kigugumizi kukutambulisha kwa rafiki zake na ndugu na inapotokea amebanwa hafikishi ujumbe kwa kiwango timilifu.
3 : Haoneshi kubana matumizi kwa ajili ya maendeleao, kwake ni kufuja mali na anapokosa kupewa pesa ni mwepesi kulalamika na wakati mwingine kununa kabisa.
4 : Anaahilisha mara kwa...

 

9 years ago

Raia Mwema

Tumuenzi Mwalimu Nyerere kwa dhati

LEO Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatimiza miaka 16 kamili bila kuwa na mwasisi wake Baba wa T

Mwandishi Wetu

 

11 years ago

Michuzi

SHUKRANI ZA DHATI KWA WANA-DMV

Ndugu zangu WanaDMV, mimi Harriet Shangarai nakuja mbele yenu kuwashukuru kwa kujitokeza kwa wingi ili kushiriki katika zoezi la kidemokrasia -Kupitia  kura, sauti za wanaDMV  zimesikika. 
Ushirikiano na Upendo mlio onyesha ndio msingi utakaotuletea maendeleo ya kweli.Mbele yetu tuna kazi kubwa, lakini kwa moyo  mliyoonyesha nina imani tutaweza.Asanteni saana. Palipo na Umoja pana  Ushindi. PS

 

9 years ago

Mwananchi

MSD isimamie kwa dhati maduka ya dawa

Punde baada ya Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano, John Magufuli kuingia madarakani, aliagiza Bohari ya Dawa (MSD)  kufungua maduka ya dawa katika hospitali za Serikali za kanda na za rufaa.

 

10 years ago

Michuzi

IBADA YA SHUKRANI za dhati kwenda kwa wadau wote

kansolele
Inaniwia vingumu sana kutoa shukrani kwa mtu mmoja mmoja au makundi kutokana na ushirikiano wenu katika kipindi kigumu cha msiba na mazishi ya mpendwa mume wangu na mwenyekiti wa Dorka catering na Dorka group of company Marehemu Dr kephas kansolele Ntevi kwaniaba ya familia yangu .Ninapenda kutoa shukrani za dhati kwa wote walio shiriki kwa njia moja au nyingine kwa kipindi chote cha msiba wa mume wangu.Kiukweli tulipatwa na kigugumizi ambacho hakisemeki Ingawa nyote mnastahili kushukuriwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani