Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHUKRANI ZA DHATI KWA WANA-DMV

Ndugu zangu WanaDMV, mimi Harriet Shangarai nakuja mbele yenu kuwashukuru kwa kujitokeza kwa wingi ili kushiriki katika zoezi la kidemokrasia -Kupitia  kura, sauti za wanaDMV  zimesikika. 
Ushirikiano na Upendo mlio onyesha ndio msingi utakaotuletea maendeleo ya kweli.Mbele yetu tuna kazi kubwa, lakini kwa moyo  mliyoonyesha nina imani tutaweza.Asanteni saana. Palipo na Umoja pana  Ushindi. PS

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

IBADA YA SHUKRANI za dhati kwenda kwa wadau wote

kansolele
Inaniwia vingumu sana kutoa shukrani kwa mtu mmoja mmoja au makundi kutokana na ushirikiano wenu katika kipindi kigumu cha msiba na mazishi ya mpendwa mume wangu na mwenyekiti wa Dorka catering na Dorka group of company Marehemu Dr kephas kansolele Ntevi kwaniaba ya familia yangu .Ninapenda kutoa shukrani za dhati kwa wote walio shiriki kwa njia moja au nyingine kwa kipindi chote cha msiba wa mume wangu.Kiukweli tulipatwa na kigugumizi ambacho hakisemeki Ingawa nyote mnastahili kushukuriwa...

 

10 years ago

Vijimambo

SHUKRANI ZA DHATI KWA WENYEJI WA NORTH CAROLINA, DICOTA, NA WAGENI WOTE WALIOHUDHURIA


JUMUIYA YA WATANZANIA DMV INAPENDA KUTOA SHUKURANI ZA DHATI KWA UONGOZI WA WENYEJI WA NORTH CAROLINA,  DICOTA, WAGENI RASMI NA  WOTE WALISHIRIKI KULETA MAFANIKIO MAKUBWA KATIKA MKUTANO WA DICOTA 2014.
TUNASHUKURU KWA UPENDO WENU WA DHATI, HUDUMA YA HALI YA JUU NA ELIMU KUBWA TULIYOIPATA. TUMENUFAIKA NA KUJIFUNZA MENGI NA KUTUPATIA CHANGAMOTO YA KUSONGA MBELEPAMOJA TUNAWEZA NA TUTAFIKAASANTENI SANA UONGOZI WA JUMUIYA DMV  

 

10 years ago

Vijimambo

SHUKRANI ZA DHATI !.


WANADIASPORA  WAKIWA MSTARI WA MBELE KUANGALIA AFYA  ZA JAMII

WATOTO WA SHULE YA MSINGI WAKIJITOLEA ILI KUPATA  MASAA  75 YA HUDUMA KWA JAMII KAMA DESTURI KABLA YA  KUFUZU ELIMU YA SEKONDARI  NCHINI MAREKANI 

SURVIVOR WA SHAMBULIZI LA MOYO AKIZUNGUMZA  NA JAMII

DADA ASHA HARRIZ AKITEMBELEA HUDUMA MBALI MBALI
 WASHIRIKI WALIPATA ZAWADI MBALI MBALI



Shukrani;NesiWangu blogspot.com

 

11 years ago

Michuzi

Shukrani kwa kufanikisha Free Health Screening Washington DMV

Thank You, script lettering Video Credits: Swahilivilla Videos ASANTENI... Asanteni HCP Metro DC na NesiWangublog Asanteni wataalamu wa afya waliojitolea, Asanteni TanoLadies, uongozi wa University Methodist Church Uongozi wa The Way Of The Cross Gospel Ministriy, jumuiya ya Watanzania 'ATC' pamoja na wote mliojitoa kufanikisha huduma hii. ZAIDI YA YOTE, Shukrani kwa Ebou Shatry Swahilivilla Blog ambaye bila yeye, wote tuliokosa kuhudhuria tusingejua kilichotokea. WAKATI UJAO TUSIKOSE Zifuatazo ni picha kwa hisani...

 

11 years ago

Michuzi

Salam kwa Wana DMV toka kwa Harriet Shangarai

Ndugu zangu wanaDMV, nilikuja kwenu rasmi nikiomba kura zenu.Nia yangu ikiwa ni kuungana nanyi katika kutafuta njia za kutatua changamoto zinazotukabili hapa ugenini.
Malengo niliyo nayo kwa jumuiya hii na kwa jamii kwa ujumla sio malengo ya mpito.
Sisi wanaDiaspora tumeaacha nchi yetu nzuri, wazazi,watoto, ndugu hata marafiki kwa nia ya kuja kutafuta ahueni ya maisha.Maumivu na changamoto za ugenini ni sababu tosha za kutoruhusu jambo lolote kupotosha malengo yetu.
Nipo pamoja nanyi kama...

 

10 years ago

Vijimambo

WANA DMV WAHANI MSIBA NYUMBANI KWA KINA MARY MGAWE TANZANIA



Mona, Libe wakiwa na Mary mgawe, Tino, Lukia Mtingwa na Lazia nyumban kwa marehemu

Mona, Bernad, Augustino na Libe msibani

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI AWAASA WANA DMV KUJITOKEZA KWA WINGI KATIKA SHEREHE ZA MUUNGANO

Embassy pics 016Mh.Balozi wa Tanzania Marekani na Mexico Liberata Mula mula akizungumzia maandalizi ya sherehe za miaka 50 ya muungano ofisini kwake Washington Dc Jumatano, Aprili 23, 2014. Embassy pics 037Mwenyekiti mwenza wa kamati ya maandalizi afisa ubalozi Suleiman Saleh akijibu maswali ya mabloger wa DMV,kulia kwake ni Dickson Mkama wa Swahili TV blog. Embassy pics 018Mh, balozi akijibu maswali kushoto ni Sunday Shomari na kulia kwa balozi ni Mubelwa Bandio wa Kwanza production. Embassy pics 007Mh.balozi akishauriana jambo na mkuu wa kitengo cha...

 

11 years ago

Michuzi

SHUKRANI: TEAM LIBE FOR DMV COMMUNITY PRESIDENT 2014

Liberatus "Libe"  mgombea nafasi ya Urais
Team Libe for DMV Community President 2014 tunapenda kutoa shukrani za dhati kwa kila mmoja aliye weza kufika kwenye mkutano wa kampeni wa hadhara jana Meadowbroak Park. Pia tunapenda kuwashukuru wale walio kuwa na nia ya kuja lakini kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao wakashindwa kutimiza hadhma hiyo.  Asanteni!
Pia, Team Libe for DMV Community President 2014 tunapenda kuwashukuru wagombea wengine kwa kujitokeza na kuonyesha ushirikiano chanya na...

 

10 years ago

Vijimambo

WANA DMV WAMUAGA KASSIM MGANGA

Dj Seif akifanya vitu vyake siku ya Ijumaa Safari Club usiku wa kuagana na msanii Cassim Mganga aliyeondoka siku ya Jumamosi Asubuhi kuelekea Bongo home sweet home. Boyebo katika picha akiwa ndani ya Safari usiku wa Ijumaa Oct 10, 2014 siku msanii wa Bongo Flava alipowaaga wana DMV. Msanii Cassim Mganga (watatu toka kushoto) akiwa na mashabiki wake waliojitokeza kumuaga usiku wa Ijumaa. Cassim Mganga akiwa na shabiki toka Delaware (mwenye fulana ya pinda milia) DMK ndani ya nyumba usiku wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani