WANA DMV WAMUAGA KASSIM MGANGA
Dj Seif akifanya vitu vyake siku ya Ijumaa Safari Club usiku wa kuagana na msanii Cassim Mganga aliyeondoka siku ya Jumamosi Asubuhi kuelekea Bongo home sweet home.
Boyebo katika picha akiwa ndani ya Safari usiku wa Ijumaa Oct 10, 2014 siku msanii wa Bongo Flava alipowaaga wana DMV.
Msanii Cassim Mganga (watatu toka kushoto) akiwa na mashabiki wake waliojitokeza kumuaga usiku wa Ijumaa.
Cassim Mganga akiwa na shabiki toka Delaware (mwenye fulana ya pinda milia)
DMK ndani ya nyumba usiku wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM08 Jul
KASSIM MGANGA ARUDI UPYA KWENYE GAME
STAA wa Bongo Fleva,Kassim Mganga amerudi tena na Solo Project baada ya kuwa kimya kwa mwaka mmoja, tangu alipotoa ngoma yake ya I Love You baadae akaelezea sababu za kutokutoa video yake then hatukusikia track yoyote kutoka kwake.
9 years ago
Mtanzania27 Nov
Video ya ‘subira’ ya Kassim Mganga hadharani leo
NA SHARIFA MMASI
BAADA ya kushambuliwa kwa maneno na mashabiki wake wakihitaji video ya wimbo wake wa ‘Subira’, msanii mahiri nchini, Kassim Mganga, leo anatarajiwa kuiachia video hiyo ili kupoza mashabiki wake hao.
Wimbo wa ‘Subira’ ambao Kassim amemshirikisha mkali wa sauti, Christian Bella, unaendelea kufanya vizuri katika vituo mbalimbali vya redio nchini bila ya kuwa na video yake.
“Muda mrefu nimekuwa na kigugumizi juu ya maswali ya mashabiki wangu kuhusu video ya wimbo wa Subira,...
11 years ago
GPL10 years ago
GPL08 Jun
9 years ago
Mwananchi15 Aug
Kassim Mganga: Gwiji anayewaza kukuza utamaduni wa pwani
9 years ago
Bongo527 Nov
Video: Kassim Mganga Feat. Christian Bella – Subira
![Cassim Mganga - Subira](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Cassim-Mganga-Subira-300x194.jpg)
Video ambayo ilikuwa ikisubiliwa kwa mda sana na mashabiki ya wimbo wa “Subira” kutoka kwa msanii Kassim Mganga amemshirikisha Christian Bella. Video imeongozwa na Adam Juma, video imefanyika mkoani Tanga angalia hapa.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
11 years ago
GPL26 Dec
9 years ago
Bongo501 Dec
Kassim Mganga aeleza sababu za kushindwa kushoot video ya ‘Subira’ Tanga kama alivyoahidi
![caa](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/04/caa-300x194.jpg)
Mwezi April mwaka huu Kassim Mganga aliahidi kuwa video ya wimbo wake ‘Subira’ aliomshirikisha Christian Bella ingefanyika nyumbani kwao Tanga, lakini haikuwa hivyo.
Kassim ameeleza chanzo cha mpango wa kwenda kushoot Tanga kushindikana.
“Video ilikuwa twende kuifanyia Tanga lakini tulishindwa kutokana na nafasi ya Adam,” alisema Kassim kwenye mahojiano na Millard Ayo. “unajua nilikuwa nataka kuipata ile picha ya Pwani kabisa yenyewe halisia na nilitaka twende kuifanya Pangani nyumbani...