Kassim Mganga: Gwiji anayewaza kukuza utamaduni wa pwani
Ukiwa msikilizaji mzuri wa muziki, hasa wa kizazi kipya kuna wakati utakubaliana na kauli isemayo katika nyimbo bora zilizotoka mwaka huu ambazo zina mafunzo ambayo mabinti hupenda kuyasikia, hutaacha wimbo uitwao “Subira†wa kijana mdogo kutoka Tanga, Kassim Hemed Mganga.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboWANA DMV WAMUAGA KASSIM MGANGA
11 years ago
CloudsFM08 Jul
KASSIM MGANGA ARUDI UPYA KWENYE GAME
STAA wa Bongo Fleva,Kassim Mganga amerudi tena na Solo Project baada ya kuwa kimya kwa mwaka mmoja, tangu alipotoa ngoma yake ya I Love You baadae akaelezea sababu za kutokutoa video yake then hatukusikia track yoyote kutoka kwake.
9 years ago
Mtanzania27 Nov
Video ya ‘subira’ ya Kassim Mganga hadharani leo
NA SHARIFA MMASI
BAADA ya kushambuliwa kwa maneno na mashabiki wake wakihitaji video ya wimbo wake wa ‘Subira’, msanii mahiri nchini, Kassim Mganga, leo anatarajiwa kuiachia video hiyo ili kupoza mashabiki wake hao.
Wimbo wa ‘Subira’ ambao Kassim amemshirikisha mkali wa sauti, Christian Bella, unaendelea kufanya vizuri katika vituo mbalimbali vya redio nchini bila ya kuwa na video yake.
“Muda mrefu nimekuwa na kigugumizi juu ya maswali ya mashabiki wangu kuhusu video ya wimbo wa Subira,...
11 years ago
GPL9 years ago
Bongo527 Nov
Video: Kassim Mganga Feat. Christian Bella – Subira
![Cassim Mganga - Subira](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Cassim-Mganga-Subira-300x194.jpg)
Video ambayo ilikuwa ikisubiliwa kwa mda sana na mashabiki ya wimbo wa “Subira” kutoka kwa msanii Kassim Mganga amemshirikisha Christian Bella. Video imeongozwa na Adam Juma, video imefanyika mkoani Tanga angalia hapa.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
GPL08 Jun
11 years ago
GPL26 Dec
10 years ago
GPLTAMASHA LA KUKUZA UTAMADUNI NA UTALII KUFANYIKA BAGAMOYO