SHUKRANI ZA DHATI !.
WANADIASPORA WAKIWA MSTARI WA MBELE KUANGALIA AFYA ZA JAMII
WATOTO WA SHULE YA MSINGI WAKIJITOLEA ILI KUPATA MASAA 75 YA HUDUMA KWA JAMII KAMA DESTURI KABLA YA KUFUZU ELIMU YA SEKONDARI NCHINI MAREKANI
SURVIVOR WA SHAMBULIZI LA MOYO AKIZUNGUMZA NA JAMII
DADA ASHA HARRIZ AKITEMBELEA HUDUMA MBALI MBALI
WASHIRIKI WALIPATA ZAWADI MBALI MBALI
Shukrani;NesiWangu blogspot.com
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziSHUKRANI ZA DHATI KWA WANA-DMV
Ushirikiano na Upendo mlio onyesha ndio msingi utakaotuletea maendeleo ya kweli.Mbele yetu tuna kazi kubwa, lakini kwa moyo mliyoonyesha nina imani tutaweza.Asanteni saana. Palipo na Umoja pana Ushindi. PS
10 years ago
Michuzi30 Nov
IBADA YA SHUKRANI za dhati kwenda kwa wadau wote
Inaniwia vingumu sana kutoa shukrani kwa mtu mmoja mmoja au makundi kutokana na ushirikiano wenu katika kipindi kigumu cha msiba na mazishi ya mpendwa mume wangu na mwenyekiti wa Dorka catering na Dorka group of company Marehemu Dr kephas kansolele Ntevi kwaniaba ya familia yangu .Ninapenda kutoa shukrani za dhati kwa wote walio shiriki kwa njia moja au nyingine kwa kipindi chote cha msiba wa mume wangu.Kiukweli tulipatwa na kigugumizi ambacho hakisemeki Ingawa nyote mnastahili kushukuriwa...
10 years ago
Vijimambo08 Oct
SHUKRANI ZA DHATI KWA WENYEJI WA NORTH CAROLINA, DICOTA, NA WAGENI WOTE WALIOHUDHURIA
JUMUIYA YA WATANZANIA DMV INAPENDA KUTOA SHUKURANI ZA DHATI KWA UONGOZI WA WENYEJI WA NORTH CAROLINA, DICOTA, WAGENI RASMI NA WOTE WALISHIRIKI KULETA MAFANIKIO MAKUBWA KATIKA MKUTANO WA DICOTA 2014.
TUNASHUKURU KWA UPENDO WENU WA DHATI, HUDUMA YA HALI YA JUU NA ELIMU KUBWA TULIYOIPATA. TUMENUFAIKA NA KUJIFUNZA MENGI NA KUTUPATIA CHANGAMOTO YA KUSONGA MBELEPAMOJA TUNAWEZA NA TUTAFIKAASANTENI SANA UONGOZI WA JUMUIYA DMV
10 years ago
Vijimambo16 Oct
SHUKURANI ZA DHATI
10 years ago
Vijimambo22 Nov
Shukurani zetu za dhati
Japo kulikua na hali mbaya ya hewa lakini mlijitoa kutusaidia. kiasi cha fedha kilichopatikana tulitangaza siku ya tukio katika ukumbi. Zitamsaidia ndugu yetu wakati huu mgumu wa kuuguzwa.
Tunakushukuruni sana. Mungu awajaalieni nyote.
Tunasema asante sana kwa watanzania wa Boston na wana Massachusetts na state...
9 years ago
Bongo504 Sep
Video: Mdoti — Penzi la Dhati
9 years ago
Raia Mwema14 Oct
Tumuenzi Mwalimu Nyerere kwa dhati
LEO Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatimiza miaka 16 kamili bila kuwa na mwasisi wake Baba wa T
Mwandishi Wetu
10 years ago
Vijimambo12 Apr
DALILI 20 ZA MWANAMKE ASIYEKUPENDA KWA DHATI!
Dalili 20 za mwanamke asiyekupenda kwa dhati!
1 : Hataki kuambata na wewe katika matembezi na ikitokea anakuwa mtu wa masharti mara akuambie tangulia nakuja au pengine kutembea nawe kwa umbali.
2 : Anapata kigugumizi kukutambulisha kwa rafiki zake na ndugu na inapotokea amebanwa hafikishi ujumbe kwa kiwango timilifu.
3 : Haoneshi kubana matumizi kwa ajili ya maendeleao, kwake ni kufuja mali na anapokosa kupewa pesa ni mwepesi kulalamika na wakati mwingine kununa kabisa.
4 : Anaahilisha mara kwa...