Video: Mdoti — Penzi la Dhati
Video mpya ya msanii Mdoti wimbo unaitwa “Penzi la Dhati” video imeongozwa na Bravo Brave Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Michuzi18 Jan
introducing New Music Video : Mrefu A FT Mdoti - Never give up
(OfficialMusiCVideo : Mrefu A Feat Mdoti - Never Give Up Directed by o-key Ghetto Child
10 years ago
Dewji Blog18 Oct
9 years ago
Bongo502 Dec
New Video: Babbi – Nipe Penzi

Video ya msanii wa Bongo Flava aishiye Marekani, Babbi. Inaitwa Nipe Penzi.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
Vijimambo.jpg)
SHUKRANI ZA DHATI !.
.jpg)
.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
WATOTO WA SHULE YA MSINGI WAKIJITOLEA ILI KUPATA MASAA 75 YA HUDUMA KWA JAMII KAMA DESTURI KABLA YA KUFUZU ELIMU YA SEKONDARI NCHINI MAREKANI
.jpg)
SURVIVOR WA SHAMBULIZI LA MOYO AKIZUNGUMZA NA JAMII
.jpeg)
DADA ASHA HARRIZ AKITEMBELEA HUDUMA MBALI MBALI

Shukrani;NesiWangu blogspot.com
11 years ago
Vijimambo16 Oct
SHUKURANI ZA DHATI
10 years ago
Vijimambo22 Nov
Shukurani zetu za dhati
Kamati ya Fundraising ya Rashidi Mkakile. Inawashukuru sana kwa mchango wenu wa hali na mali na moyo mliouonyesha na kuungana nasi siku ya tarehe 16/12/2014 ili kumsaidia ndugu yetu.
Japo kulikua na hali mbaya ya hewa lakini mlijitoa kutusaidia. kiasi cha fedha kilichopatikana tulitangaza siku ya tukio katika ukumbi. Zitamsaidia ndugu yetu wakati huu mgumu wa kuuguzwa.
Tunakushukuruni sana. Mungu awajaalieni nyote.
Tunasema asante sana kwa watanzania wa Boston na wana Massachusetts na state...
Japo kulikua na hali mbaya ya hewa lakini mlijitoa kutusaidia. kiasi cha fedha kilichopatikana tulitangaza siku ya tukio katika ukumbi. Zitamsaidia ndugu yetu wakati huu mgumu wa kuuguzwa.
Tunakushukuruni sana. Mungu awajaalieni nyote.
Tunasema asante sana kwa watanzania wa Boston na wana Massachusetts na state...
10 years ago
Vijimambo12 Apr
DALILI 20 ZA MWANAMKE ASIYEKUPENDA KWA DHATI!

Dalili 20 za mwanamke asiyekupenda kwa dhati!
1 : Hataki kuambata na wewe katika matembezi na ikitokea anakuwa mtu wa masharti mara akuambie tangulia nakuja au pengine kutembea nawe kwa umbali.
2 : Anapata kigugumizi kukutambulisha kwa rafiki zake na ndugu na inapotokea amebanwa hafikishi ujumbe kwa kiwango timilifu.
3 : Haoneshi kubana matumizi kwa ajili ya maendeleao, kwake ni kufuja mali na anapokosa kupewa pesa ni mwepesi kulalamika na wakati mwingine kununa kabisa.
4 : Anaahilisha mara kwa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
11-May-2025 in Tanzania