Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KWA NINI UNGOJE ANAYEKUPENDA AKUTOLEE CHOZI LA LAANA?

Mapenzi yanachukua nafasi kubwa katika maisha yetu. Mimi na wewe tunahitaji kuwa na wapenzi tena wenye mapenzi ya dhati ili maisha yawe ni yenye furaha na amani. Lakini wakati ukweli ukiwa hivyo, wapo wanaochukulia mapenzi kama kitu rahisi. Hapa namaanisha hivi, mtaani kuna watu wa aina mbili. Kuna ambao wanajua kweli kupenda. Akisema anampenda fulani, anamaanisha na kuna wale ambao wanaweza kusema wamependa kumbe hamna lolote....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

DHAMBI YA KUMLIZA, KUMTESA ANAYEKUPENDA KWA DHATI!

Mpenzi msomaji wangu, hakuna ubishi mapenzi yanachukua nafasi kubwa katika maisha yetu. Mimi na wewe tunahitaji kuwa na wapenzi tena wenye mapenzi ya dhati ili maisha yetu yaweze kukamilika. Bila kuwa na mtu ambaye kuna wakati unammis, ukiwa naye unajiona ni mwenye bahati kwa faraja anayokupa, ni lazima utahisi umepungukiwa kitu muhimu.Lakini wakati ukweli ukiwa hivyo, wapo wanaochukulia mapenzi kama kitu rahisirahisi. Kitu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ardhi igeuke laana kwa wanaoimiliki

SEKTA ya ardhi nchini imekuwa ikukumbwa migogoro mingi ambayo imesababisha vifo vya watu, mifugo, majeruhi, ulemavu, upotevu wa mali na watu kuyakimbia makazi yao. Kutokana na hali hiyo, baadhi ya...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mainda: Kamwe Usichoke Kumpenda Anayekupenda.....

Kamwe usichoke kumpenda anayekupenda hasa kwenye ugumu wa maisha, kwani Binadamu shupavu hachoki kupambana na vita ya maisha.Usiwaombee mabaya wale wanaokuchukia yawezekana wakashuhudia mafanikio yako wakiwa hai,mtu akikurushia mawe usimrudishie yakusanye ujengee Daraja kuelekea kwenye mafanikio.

Tambua anae kunyoshea kidole haitaji jibu maana vidole vilivyobaki vimemwelekea yeye. ukijua kanuni hizi huwezi kushindana na mtu kwa jambo lolote lile.

By Mainda on Instagram

 

9 years ago

GPL

WEMA AMWAGA CHOZI KABURINI KWA NYERERE!

Gabriel Ng’osha Tunakukumbuka Mwalimu! Beautiful Onyinye kwenye sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu kupitia Kampeni ya Mama Ongea na Mwanao, amejikuta akimwaga chozi kwenye kaburi la Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.  Beautiful Onyinye kwenye sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu akiweka shada la maua kwenye kaburi la Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Tukio hilo lilijiri wikiendi...

 

10 years ago

Michuzi

Kuondoka kwa Maximo, wachezaji Yanga wamwaga chozi!

KOCHA wa Yanga, Mbrazil Marcio Maximo amewaaga rasmi leo asubuhi wachezaji wa timu hiyo kwenye mazoezi uwanja wa Sekondari ya Loyola huku akitarajia kuvuna zaidi ya Milioni 20 ndani ya klabu hiyo ikiwa ni mshahara wake wa dola 1200 na yupo kwenye harakati za kudai fidia ya kuvunjiwa mkataba na kuletwa mrithi wake kabla uongozi wa klabu hiyo haujamaliza nae.
Hata hivyo, tayari Maximo ameaga wachezaji wake kwenye mazoezi ya asubuhi leo ambapo mazoezi hayo yaligeuka shubiri baada ya Maximo...

 

10 years ago

Bongo Movies

Ugumba Wamtesa Wema, Adondosha Chozi Mara kwa Mara!

Tatizo la kutoshika mimba (infertility) au kushindwa kupata mimba (conceive) limekuwa likimtesa staa wa Bongo Movies, Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu na limehusishwa na ugumba.

Akizungumza na gazeti la Amani juu ya ishu hiyo hivi karibuni jijini Dar es Salaam, Wema alisema suala la kutopata mtoto limekuwa likimkosesha amani katika maisha yake ya ukubwani.

Alisema kwamba, amekuwa akishinda akilia kila anapokutana na shosti wake wa sasa, Aunt Ezekiel ambaye ni mjamzito.Wema alitiririka...

 

10 years ago

GPL

KWA NINI BEI YA MAFUTA KWA WALAJI HAISHUKI KWA KASI?

Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe. Kuanzia Mwezi Julai mwaka 2014 mpaka Desemba, bei ya mafuta ghafi imekuwa ikishuka kutoka $110 kwa pipa mpaka $56 kwa pipa. Mporomoko huu wa bei wa zaidi ya 40% haujaleta unafuu kwa mtumiaji wa kawaida wa mafuta ikiwemo wenye daladala na kupelekea nauli za usafiri wa umma kupungua. Leo bado bei ya mafuta kwenye vituo vya mafuta ni tshs 2029 kwa Petroli na 1909 kwa dizeli, bei...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Baraka na laana — 10

HADAA na roho mbaya, usengenyaji, fitina, ayari, unafiki na uongo; hizi ni tabia zinazoendana sambamba na laana au kujizolea balaa kwa baadhi ya wanadamu wanaojihusisha nazo. Upo msemo usemao: “Mwenyezi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Baraka na laana — 2

ZIMWI likujualo halikuli likakwisha. Pia upo msemo usemao kuuma na kupulizia. Misemo yote hii haina mwisho mzuri. Niseme balaa na laana huandamana navyo na havileti matumaini ya utukufu wa Mwenyezi Mungu....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani