Mainda: Kamwe Usichoke Kumpenda Anayekupenda.....
Kamwe usichoke kumpenda anayekupenda hasa kwenye ugumu wa maisha, kwani Binadamu shupavu hachoki kupambana na vita ya maisha.Usiwaombee mabaya wale wanaokuchukia yawezekana wakashuhudia mafanikio yako wakiwa hai,mtu akikurushia mawe usimrudishie yakusanye ujengee Daraja kuelekea kwenye mafanikio.
Tambua anae kunyoshea kidole haitaji jibu maana vidole vilivyobaki vimemwelekea yeye. ukijua kanuni hizi huwezi kushindana na mtu kwa jambo lolote lile.
By Mainda on Instagram
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pUv0rT5h6PJudGMbsP3Xz3Ukc6NhNZ6JhzrUDyEJx1elRqQ12Q3GxTAHm5H17yKlLBs9avtH4bUtNPSbIddTwJ7XGvS3RwNS/Love.jpg?width=650)
DHAMBI YA KUMLIZA, KUMTESA ANAYEKUPENDA KWA DHATI!
Mpenzi msomaji wangu, hakuna ubishi mapenzi yanachukua nafasi kubwa katika maisha yetu. Mimi na wewe tunahitaji kuwa na wapenzi tena wenye mapenzi ya dhati ili maisha yetu yaweze kukamilika. Bila kuwa na mtu ambaye kuna wakati unammis, ukiwa naye unajiona ni mwenye bahati kwa faraja anayokupa, ni lazima utahisi umepungukiwa kitu muhimu.Lakini wakati ukweli ukiwa hivyo, wapo wanaochukulia mapenzi kama kitu rahisirahisi. Kitu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/D*jRkBJZGXWQRLwPQrUh*euU5A*rRBvmhv2XDzDpHnM4AHDlef9ydq5wHaVHEgLKzExy3aUgN8zRmD34mO5pGQ8oHeiJ-Vlh/GGH.jpg?width=650)
KWA NINI UNGOJE ANAYEKUPENDA AKUTOLEE CHOZI LA LAANA?
Mapenzi yanachukua nafasi kubwa katika maisha yetu. Mimi na wewe tunahitaji kuwa na wapenzi tena wenye mapenzi ya dhati ili maisha yawe ni yenye furaha na amani. Lakini wakati ukweli ukiwa hivyo, wapo wanaochukulia mapenzi kama kitu rahisi. Hapa namaanisha hivi, mtaani kuna watu wa aina mbili. Kuna ambao wanajua kweli kupenda. Akisema anampenda fulani, anamaanisha na kuna wale ambao wanaweza kusema wamependa kumbe hamna lolote....
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zR-FkEEcSb*M5PCAM9AhguZU0EV07KCjTVBzZUkx*mY-WfK6fxK1nbClz2mN0r3-BEsczLdPhqXM7k9Xz57piqblMOaMrBH8/DIMOND.jpg)
DIAMOND: SITAOA KAMWE
Na Shakoor Jongo
Kutoka moyoni? Wakati bimkubwa Wema Isaac Sepetu akijiaminisha na kuhisi kuwa amepata mume ambaye ni baba bora, mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amefunguka kuwa kamwe hafikirii kuoa, Ijumaa lina cha kukuhabarisha. Wema Isaac Sepetu akiwa kwenye pozi la kimahaba na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Kauli hiyo ya Diamond inakuja wiki kadhaa baada ya Wema...
11 years ago
BBCSwahili10 May
Giggs asema hasikitishwi kamwe
Kaimu mkufunzi wa timu ya Manchester United nchini Uingereza,Ryan Giggs amesema kuwa hasikitishwi na hatua ya kumtafuta kocha mpya
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JUluVB-wEZRoN9ZlHFY*RzkN9m8eKafHtqsqKa8YxSUU18Ll8kG8FFyDmVNf6AihuXyNLxqG7Mvi*ae6ZJwfRYqDktG93DCj/mpekepekecopy.jpg)
OYA MWANA KAMWE MKAA HAUOSHWI!
Niaje…niaje masela wangu? Kitaa hiyo kwa fasi ya kati barida? Mitikasi vipi wana? Kama freshi basi ndo mpango mzima! Ama nini? Basi mzuka kwa wingi chaliiangu.
Karibu jamvini mazee nikusanue ishu bee za kitaa. Machalii hivi laifu mnalionaje kwa saidi yenu? Kipande hii ni fulu mastresi na bado sisomeki aisee arifu. Tudei bana nitakugonga na limkasa la mwanangu Jeff. Ni kitambo kiduchu kimekrosi. Unajua nini...
10 years ago
BBCSwahili08 Jul
Dilma Rousseff asema kamwe hatishiki
Rais wa Brazil amepinga uvumi kwamba serikali yake haitofanikiwa kukabiliana na mzozo uliopo sasa wa kisiasa na kiuchumi
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1asLTm0wi-sTTx-2PstxkaElaJAR9I6oRf-JedhDMxksBcZwlYPL7AmRUk1bY49WhtZSI16u3PHiOnJgt5YQl-P0FKrxsqZ-/KABURA.jpg?width=650)
KABULA AJUTA KUMPENDA BUSHOKE
Stori: Gladness Mallya/Ijumaa Wikienda
BAADA ya hivi karibuni kumwagana na aliyekuwa mpenzi wake wa muda mrefu, Maximilian Bushoke, msanii wa filamu Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ amefunguka kwamba hahitaji tena mwanaume kwa sasa. Msanii wa filamu Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ akipozi. Akipiga stori na paparazi wetu, Jini Kabula alisema kutokana na kwamba alikaa kwenye uhusiano wa kimapenzi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/f*E8U3rGFXp59OfuCy2mHWgsEF5FxKG5kkjTV*8c35Av11jarpFWZA4vn1wfYtgfUmcwxJWQs7MQJmusyRo5MMjuVYMpmcdf/Diamond.gif?width=650)
DIAMOND AKIRI KUMPENDA OMOTOLA
Mwandishi wetu
KING wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ametengeneza kichwa cha habari nchini Nigeria baada ya kufunguka kuwa anampenda ‘vibaya’ staa wa filamu nchini humo, Omotola Jalade Ekeinde, Ijumaa lina stori kamili. Soma zaidi hapa =====>bit.ly/1UfBJSI
10 years ago
BBCSwahili22 Dec
Mwaka huu kamwe sitausahau - Carlo Ancelotti
Real Madrid imefanikiwa kufunga jumla ya magoli 178 kwenye mashindano yote na kuweka rekodi ya kufunga mabao mengi kwenye mwaka mmoja.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania