DIAMOND: SITAOA KAMWE
![](http://api.ning.com:80/files/zR-FkEEcSb*M5PCAM9AhguZU0EV07KCjTVBzZUkx*mY-WfK6fxK1nbClz2mN0r3-BEsczLdPhqXM7k9Xz57piqblMOaMrBH8/DIMOND.jpg)
Na Shakoor Jongo Kutoka moyoni? Wakati bimkubwa Wema Isaac Sepetu akijiaminisha na kuhisi kuwa amepata mume ambaye ni baba bora, mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amefunguka kuwa kamwe hafikirii kuoa, Ijumaa lina cha kukuhabarisha. Wema Isaac Sepetu akiwa kwenye pozi la kimahaba na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Kauli hiyo ya Diamond inakuja wiki kadhaa baada ya Wema...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili10 May
Giggs asema hasikitishwi kamwe
10 years ago
BBCSwahili08 Jul
Dilma Rousseff asema kamwe hatishiki
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JUluVB-wEZRoN9ZlHFY*RzkN9m8eKafHtqsqKa8YxSUU18Ll8kG8FFyDmVNf6AihuXyNLxqG7Mvi*ae6ZJwfRYqDktG93DCj/mpekepekecopy.jpg)
OYA MWANA KAMWE MKAA HAUOSHWI!
10 years ago
Bongo Movies19 May
Mainda: Kamwe Usichoke Kumpenda Anayekupenda.....
Kamwe usichoke kumpenda anayekupenda hasa kwenye ugumu wa maisha, kwani Binadamu shupavu hachoki kupambana na vita ya maisha.Usiwaombee mabaya wale wanaokuchukia yawezekana wakashuhudia mafanikio yako wakiwa hai,mtu akikurushia mawe usimrudishie yakusanye ujengee Daraja kuelekea kwenye mafanikio.
Tambua anae kunyoshea kidole haitaji jibu maana vidole vilivyobaki vimemwelekea yeye. ukijua kanuni hizi huwezi kushindana na mtu kwa jambo lolote lile.
By Mainda on Instagram
10 years ago
BBCSwahili22 Dec
Mwaka huu kamwe sitausahau - Carlo Ancelotti
10 years ago
Mwananchi20 Aug
Tusikubali kamwe kugeuzwa karai la zege 2015
9 years ago
Bongo514 Nov
Ronaldo: Sitomtaja kamwe mama wa mtoto wangu
![ronaldo31](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/ronaldo31-300x194.jpg)
Nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amesema kamwe hatokuja kumtaja mama wa mtoto wake wa kiume.
Mchezaji huyo aliyeachana na mpenzi wake mwanamitindo, Irina Shayk anaonekana kufurahia maisha yake binafsi zaidi akiwa na familia yake.
Akiongea kwenye talk show ya Jonathan Ross, mchezaji huyo ameahidi kutoweka wazi sura ya mama wa mtoto wake pamoja na shinikizo la jamii.
Pia Ronaldo, 30 amesema hatakaa arudi tena Manchester United kwakuwa United ya kipindi kile sio kama ya sasa.
Jiunge na...
10 years ago
Mwananchi25 Jun
Malinzi: Kamwe Taifa Stars haitajitoa mechi za kimataifa
10 years ago
MichuziLady Jaydee asema kamwe hatarajii kujiingiza katika siasa
Na Dotto MwaibaleMWANADADA anayefanya vizuri katika muziki wa kizazi kipya nchini, Judith...