Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lady Jaydee asema kamwe hatarajii kujiingiza katika siasa

 Mwanamuziki Judith Wambura 'Lady Jaydee' Lady Jaydee akisoma gazeti la Staa Spoti. Mhariri Msaidizi wa Gazeti la Jambo Leo, Frank Balile (kulia), akimuelekeza jambo Lady Jaydee wakati akimuonesha gazeti hilo.Mwanadada anayefanya vizuri katika muziki wa kizazi kipya nchini, Judith Wambura 'Lady Jaydee' akiwa na baadhi ya wafanyakazi wa gazeti la Jambo Leo, alipotembelea chumba cha habari Dar es Salaam.
Na Dotto MwaibaleMWANADADA anayefanya vizuri katika muziki wa kizazi kipya nchini, Judith...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Giggs asema hasikitishwi kamwe

Kaimu mkufunzi wa timu ya Manchester United nchini Uingereza,Ryan Giggs amesema kuwa hasikitishwi na hatua ya kumtafuta kocha mpya

 

10 years ago

BBCSwahili

Dilma Rousseff asema kamwe hatishiki

Rais wa Brazil amepinga uvumi kwamba serikali yake haitofanikiwa kukabiliana na mzozo uliopo sasa wa kisiasa na kiuchumi

 

11 years ago

GPL

DOVUTWA: HAKUNA URAFIKI KATIKA VYAMA VYA SIASA ASEMA KINACHOWAZUIA NI RUZUKU

Makala: Elvan Stambuli
MWENYEKITI wa United Peoples Democratic Party (UPDP),  Fahmi Nassor Dovutwa amesema hakuna urafiki katika vyama vya siasa kwa kuwa kila chama kinataka kwenda ikulu kukalia kiti. Mwenyekiti wa Chama cha UPDP Taifa na Mjumbe wa Mkutano wa Bunge…

 

11 years ago

GPL

NDINGA MPYA YA LADY JAYDEE

Mwanamuziki Judith Daines Wambura Mbibo 'Lady Jaydee' akiwa katika pozi na mkoko wake mpya aina ya Range Rover Evogue.

 

10 years ago

Vijimambo

Lady Jaydee - Forever (New Single)

Hii ndio single mpya ya Lady Jaydee aliyomshirikisha Dabo inayoitwa "Forever". Hii ni baada ya Kimya cha muda mrefu kidogo na siku ya Ijumaa ndio itakuwa official video launch day pale M.O.G bar & Restaurant. Wimbo umetayarishwa na producer mahiri Man Water wa Combination Sounds, na video ya wimbo huo imefanywa na muongozaji mkongwe Adam Juma wa Next Level.
Instagram: @jidejaydee @dabomtanzania
Twitter: @jidejaydee @dabomtanzania

 

9 years ago

Michuzi

Lady JayDee Ndani ya London

Na Freddy Macha, London Mwanamuziki na mwimbaji mashuhuri wa Tanzania, Lady JayDee, anatazamiwa kutua jijini London kesho kutwa Alhamisi tayari kwa onesho kabambe Jumamosi. Akizungumza nami Jumatatu usiku, promota wa shoo hilo, Frank Leo, alisema anawaomba Watanzania na marafiki zao wajiunge kumshangilia Mtanzania mwenzetu tarehe 5 Desemba. Kiingilio cha paundi 20 ( wastani wa shilingi 45,000) kitatozwa katika holi maridadi la Oasis Banqueting Suite mtaa wa Barking, Mashariki ya London. Bango la shoo ya 5 Desemba 2015

 

10 years ago

Mtanzania

Mwasiti: Lady Jaydee ananivutia

MwasitiNA RHOBI CHACHA

MWASITI Almas kama anavyofahamika katika muziki wa Bongo Fleva, ameibuka na kudai kwamba anavutiwa zaidi na msanii mwenzake, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’.

Msanii huyo mwenye sauti nzuri katika nyimbo zake, alisema yeye ni msanii anayevutiwa na wasanii wanaojitambua na wanaofanya vema katika kazi zao za muziki, kama afanyavyo Jaydee ‘Binti Machozi’.
“Yaani mimi huwa sina choyo ya kusifia kama msanii mwenzangu anafanya vema namsifia, sijali nani atasema nini, napenda kazi za...

 

10 years ago

GPL

LADY JAYDEE AJICHAGULIA JENEZA LA PILI

Mwandishi wetu
Uchuro? Baada ya kutundika mtandaoni kwa mara nyingine picha za jeneza alilojiandalia litakalotumika siku akiaga dunia, mwanamuziki Judith Daines Wambura Mbibo a.k.a Lady Jaydee au Jide, amelaaniwa vikali na mashabiki wake kwa kitendo hicho. Mwanamuziki Judith Daines Wambura Mbibo a.k.a Lady Jaydee au Jide. ABADILI RANGI
Mwaka 2012, Jide alitupia mtandaoni picha za jeneza lake lenye mchanganyiko wa rangi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani