Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHOGA, IACHE NDOA YA MWANAO, HAIKUHUSU!

Hehehe… heeeeee, heiiiya, acha nicheke miye mwana wa marehemu, sijui wazazi wangu huko waliko wako katika hali gani, nawaombea kwa Mwenyezi Mungu awape kivuli chake siku ya kiama. Waweza ona nacheka ukadhani labda nimejawa na furaha, kumbe nafsi yangu imejaa karaha, imekereka kama siyo kukereheshwa. Kuna watu wengine kwa kweli kila kitu watende wao wakitenda wenzao huwa mwao, hutaka kuicheza ngoma hata kama siyo ya kwao,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

UNAINGILIA NDOA YA MWANAO UNATAKA AKUOE WEWE?-2

Bila shaka yoyote mmeamka mkiwa na afya njema na mnaendelea vizuri sana katika ujenzi wa taifa letu. Baada ya hayo, tuendelee na mada yetu ambapo wiki hii tutaendelea na sehemu ya pili inayowahusu wakwe wanaopenda kuingilia ndoa za watoto wao ambapo wiki iliyopita tuliishia katika kipengele kinachohusiana na mtoto wako akishindwa kuoa si utamaliza waganga? Moja kwa moja utakuwa una maana kuwa hutaki mkwe, wamama wakwe wenye gubu...

 

9 years ago

GPL

UNAINGILIA NDOA YA MWANAO UNATAKA AKUOE WEWE?

Habari zenu wasomaji wa makala haya, mimi nimeamka salama, bila shaka wasomaji wangu ni wazima na mnaendelea vema na ujenzi wa taifa hili, kwa wagonjwa nawaombea heri mtapona. Tunaelekea uchaguzi mkuu siyo vema nikaanza mada bila kuwakumbusha kupiga kura ili kumchagua yule unayeona anafaa na kumbuka kupiga kura ili usije kujutia kuchaguliwa kiongozi na mtu.Wiki hii nimekuja na mada hii ya mama wakwe wanaopenda kuingilia ndoa za...

 

10 years ago

GPL

SHOGA, NDOA USIICHEZEE MDAKO

Najua umenisubiri kwa hamu kubwa bi shosti, ni mimi yuleyule mtambo wa kurekebisha tabia nimeingia kama upepo wa kimbunga.  Kwa vile nia ya kona hii ni kutibu si kubembeleza watu wala kuangalia sura zao. Unajua kuna baadhi ya wanawake wanatia kichefuchefu kufanya utani katika ndoa na kuzifanya ndoa za siku hizi zipoteze maana na kushindwa kutofautisha yupi kaolewa na yupi kahaba. Nimebahatika kuhudhuria kicheni pati nyingi...

 

10 years ago

GPL

WANAWAKE WA-IRAN WAFUNGISHWA NDOA NA IMAM SHOGA SWEDEN

Shoga, Imam Zahed akiwafungisha ndoa Maryam Iranfar (mume mwenye mtandio) na Sahar Mosleh (mke). Maryam Iranfar (kushoto) akimbusu mkewake, Sahar Mosleh.…

 

9 years ago

GPL

SHOGA; MAMA YAKO ASIKUINGILIE KWENYE NDOA YAKO

Shoga, awali ya yote napenda kuwapongeza wote waliojitokeza katika zoezi la kupiga kura juzi kwani wameitumia vyema haki yao ya kidemokrasia kikubwa sasa kusubiri Tume ya Taifa ya Uchaguzi kumtangaza mshindi wa kiti cha urais ili tuendelee na maisha yetu ya kawaida. Leo shoga yangu nimeona nizungumze nawe mwenzangu uliyeolewa kuhusiana na mama zetu ambao wametuzaa, kutulea, kutusomesha na hatimaye kutuozesha kwa waume zetu....

 

10 years ago

GPL

SHOGA: MPIGE ‘STOP’ MUMEO KUCHEKA NA SHOGA ZAKO!

Shoga, ni matumaini yangu hali yako ipo poa na unaendelea kusaka ugali wa kula watoto kama kawaida.
Kwa upande wangu namshukuru Mwenyezi Mungu, afya yangu, wanangu na mume wangu ni nzuri kabisa.
Baada ya wiki iliyopita kuzungumza nawe kuhusu kuyafanyia kazi yote uliyofundishwa na kungwi wako ili umpagawishe mumeo na kumfanya atulie nyumbani, leo nimekuandalia kitu tofauti. Nafanya hivyo ili kuufungua ubongo wako katika suala...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali iache demokrasia ishamiri

Serikali kupitia Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, imetoa tamko kali la kutishia kuanza kutekeleza sheria inayodhibiti asasi za kijamii na kidini, ikizitaka taasisi hizo kuacha mara moja kutoa matamko yanayolenga kuwashawishi waumini wao waikatae Katiba Inayopendekezwa na pia kuwapangia nini cha kufanya katika Uchaguzi Mkuu ujao, kwamba watakaobainika watachukuliwa hatua kali.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM iache tabia ya kinyonga

KILA siku katika maisha yangu nimekuwa nikijifunza mbinu mpya za watu wa Zanzibar za kupeleka ujumbe, kufurahia au kukejeli jambo. Hivi karibuni nilipigwa butwaa nilipokuwa katika eneo la Darajani mjini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani