MAMA DIAMOND, MWANAO AKIPOTEA UNALO!
KATIKA tamaduni za Kiafrika, mzazi bila kujali jinsia yake, ni mtu muhimu sana katika ustawi wa maisha binafsi ya mtu, awe mwanaume au mwanamke. Ni baba au mama ndiyo wanaokuwa dira ya watoto wao katika kufanikiwa au kupotea. Kimsingi, kila mmoja anamtaraji mzazi kuwa nuru kwa mtoto wake, kwa maana ya kumuongoza katika namna bora ya kukabiliana na changamoto anazokutana nazo katika maisha yake ya kila siku. Ndiyo maana, kila...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziRais Kikwete azindua Kampeni ya Mama Ongea na Mwanao
9 years ago
Bongo Movies21 Aug
Mastaa Bongo movie wazindua kampeni ya ‘Mama Ongea na Mwanao’
Siku ya jana, Agosti 20 wasanii kutoka kwenye tasnia ya filamu nchini, Steve Nyerere, Wema Sepetu, Batuli, Snura, Wastara na wengineo wamezindua kampeni mpya iitwayo Mama Ongea Na Mwanao.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa kampeni hiyo Steve Nyerere akizungumza na waandishi wa habari alisema…‘Mimi kama Mwenyekiti wa Mama ongea na mwanao ni kwamba hii Mama ongea na mwanao nadhani mmeona tangu tumepata uhuru nchi yetu haijawahi kuwa na makamu urais mwanamke hii ni historia kwa Tanzania mimi na imani...
9 years ago
Bongo Movies19 Sep
Picha: Wema Sepetu Akiwa na Team ya ‘Mama Ongea na Mwanao’
Hizi ni baadhi ya picha za mastaa wa bongo movies wanaokiunga mkono chama cha mapinduzi na kushiriki katika kwampeni za chama hicho kupitia kampeni yao ya MAMA ONGEA NA MWANAO.
“Dah Tunashinda kwa Kishindo kikubwa mjue.. John Pombe Magufuli na Mama Samia mpaka Ikulu....”-Wema aliandika kwenye moja ya picha hizo hapo juu.
9 years ago
Bongo Movies28 Aug
Wema Sepetu, Steve Nyerere Kuzindua ‘Mama Ongea na Mwanao’ Leo
Wasanii mbalimbali wakiongozwa na Wema Sepetu na Steve Nyerere leo wanatarajia kuzindua kampeni yao rasmi ya #MamaOngeaNaMwanao katika hotel ya Hyatt Kempinski jijini Dar Es Salaam.
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete atakuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo itakayohudhuriwa na wake wa viongozi mbalimbali kama Janet Magufuli, Salma Kikwete, Mama Shein, Mama Bilal, Tunu Pinda, Zhakia Meghji, Asha Rose Migiro, na wengine wengi.
Chanzo: cloudsfm.com
9 years ago
GPLMASTAA WAZINDUA KAMPENI YA CCM ‘MAMA SEMA NA MWANAO’
9 years ago
Michuzi20 Aug
Wasanii kuipigia debe CCM na tamasha la MAMA ONGEA NA MWANAO 2015.
9 years ago
Bongo504 Sep
Picha: Mama Diamond na mama Zari walipokutana kwenye ‘state house’ ya Platnmuz
10 years ago
VijimamboWema Sepetu Atoswa ! Vikao Vya Harusi Ya Diamond Na Meninah Vyaanza Nyumbani Kwa Mama Diamond.
9 years ago
Bongo521 Dec
Music: Ney Lee – Unalo
Msanii wakike Mwanadada Ney Lee baada ya kimya amerudi na huu wimbo mpya unaitwa “Unalo”, Studio High Table Sounds.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!