Said Fella kumuomba Rais Kikwete kuzindua nyumba za kisasa alizowajengea Yamoto Band
Said Fella kupitia kampuni yake ya Mkubwa na Wanawe Youth Centre, anawajengea nyumba za kisasa wasanii wanne wa kundi la Yamoto Band na anataka Rais Jakaya Kikwete azizindue! Kwa mujibu wa Fella nyumba hizo zinazojengwa kwenye eneo moja zitakamilika mwezi July na wasanii hao kukabidhiwa kila mmoja ya kwake. Kupitia post yake ya jana ya […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo509 Mar
PAPASO: Mimi ni mwanzilishi wa Yamoto Band na Mkubwa Fella — Mh. Temba
11 years ago
VijimamboHuu ndo ushauri aliopewa mkubwa Fella kuhusu kuwalinda yamoto band na wamama wa mjini.
10 years ago
Bongo510 Nov
Fella asifia kazi mpya zijazo za Yamoto Band, ‘zikitoka utasema ni kali kuliko ulizowahi kuzisikia’
10 years ago
GPL
YAMOTO BAND KUZINDUA STAILI MPYA DAR LIVE
10 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE AZINDUA NYUMBA ZA KISASA ZA MAKAZI YA WANAJESHI GONGO LA MBOTO


10 years ago
Dewji Blog12 Jan
Rais Kikwete azindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto, Dar es Salaam
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Balozi wa China nchini Mhe Lu Youqing alipowasili kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam Jumamosi 10, 2015. Wengine ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga taifa Dkt Hussein Mwinyi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange, na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Mhe Said Meck Sadick,
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana...
10 years ago
Vijimambo10 Jan
RAIS KIKWETE AZINDUA NYUMBA ZA KISASA ZA MAKAZI YA WANAJESHI GOGO LA MBOTO, DAR ES SALAAM, LEO


10 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE AZINDUZA KIVUKO CHA MV MAFANIKO NA KUZINDUA MRADI WA NYUMBA ZA NHC MKOANI MTWARA LEO


