Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fella asifia kazi mpya zijazo za Yamoto Band, ‘zikitoka utasema ni kali kuliko ulizowahi kuzisikia’

Mkurugenzi wa Yamoto Band amefunguka kwa kusema kuwa Yamoto Band hawabahatishi kwenye kazi zao, huku adai kuwa kazi mpya zinazokuja ndo zitadhihirisha uwezo mkubwa wa kuimba na kutunga. Akizungumza na Bongo5 hivi karibuni Fella alisema kuna nyimbo ambzo zikitoka watanzania watahisi Yamoto Band ndo inaanza upya. “Tuna nyimbo nyingi ambazo zipo tayari na zikitoka leo […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

PAPASO: Mimi ni mwanzilishi wa Yamoto Band na Mkubwa Fella — Mh. Temba

Inawezekana wewe ni shabiki wa Yamoto Band, lakini ukawa haufahamu kuwa Mh temba wa TMK Wanaume Family ni miongoni mwa watu waliowatengeneza vijana hao ambao mwaka huu wamefanikiwa kwenda Uingereza kufanya show kwa mara ya kwanza. Akizungumza kupitia kipindi cha Papaso cha TBC Fm kinachoongozwa na D’Jaro Arungu na kurushwa pia kupitia TBC 1, Temba […]

 

10 years ago

Bongo5

Said Fella kumuomba Rais Kikwete kuzindua nyumba za kisasa alizowajengea Yamoto Band

Said Fella kupitia kampuni yake ya Mkubwa na Wanawe Youth Centre, anawajengea nyumba za kisasa wasanii wanne wa kundi la Yamoto Band na anataka Rais Jakaya Kikwete azizindue! Kwa mujibu wa Fella nyumba hizo zinazojengwa kwenye eneo moja zitakamilika mwezi July na wasanii hao kukabidhiwa kila mmoja ya kwake. Kupitia post yake ya jana ya […]

 

10 years ago

Vijimambo

Huu ndo ushauri aliopewa mkubwa Fella kuhusu kuwalinda yamoto band na wamama wa mjini.

kazi nzuri sana Mkubwa Felaaaa, ila muombe Mungu sana hawa watoto wasihadaike na mashangingi ya mjnii maana watakumalizia watoto, wamama wakianza yao tu, utaona vijana wako wamebadilika mara viburi, kuchelewa kazini, nk, omba sana ndugu maana nimeshasikia mdada mmoja kajivutia wake watuu wabayaaa jamani daah, ngoja tuendelee kufanya uchunguzi tuje na data kamili maana huwa hatutoi habari za uzushi, ila kama ni kweli wewe dada msanii unafanya hivyo acha, muachie mtoto wa watu jamaniii khaa si...

 

10 years ago

Michuzi

Utengenezwaji wa Video Mpya ya Yamoto Band "Nitakupwelepweta"

 Taswira mbalimbali za Utengenezwaji wa Video Mpya ya Yamoto Band "Nitakupwelepweta" sehemu mbalimbali jijini Dar es salaam. Vijana hawa ambao wako juu hivi sasa katika tasnia ya muziki nchini Tanzania na nchi jirani, sio tu wanafanya vyema katika kutawala anga bali pia wameleta aina mpya ya staili ya muziki ambao uko mbali na Bongo Fleva na umepokelewa kwa shangwe na wapenzi wa muziki. Wanaongozwa na Mkubwa Fela Mambo ya location Vijana wakiwajibika Adam Juma aki-shoot scene ya mgahawani

 

9 years ago

Bongo5

Yamoto Band waandika wimbo mpya wa Dully Sykes

Yamoto Band wameandika wimbo mpya wa Dully Sykes uitwao Tuachie. Dully Sykes amedai kuwa ameona ni muhimu kupata ladha tofauti na haoni kama kuna tatizo kuandikiwa na wasanii hao. “Nimewaachia vijana waandike ili nipate kitu tofauti,” Dully alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio. “Ni vijana ambao wanafanya vizuri kimuziki, kama watoto wanafanya […]

 

9 years ago

GPL

YAMOTO BAND KUZINDUA STAILI MPYA DAR LIVE

  Ni Uzinduzi wa Video ya Cheza kwa Madoido...  
KUNDI linalotikisa kila kona la Yamoto Band linatarajiwa kuzindua staili mpya za kucheza, Septemba 11, mwaka huu pale watakapozindua rasmi Video ya Cheza kwa Madoido ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar. Akichonga na Mikito Nusunusu, meneja wa bendi hiyo, Said Fella aliwataka mashabiki wa Yamoto kufika kwa wingi kutokana na staili...

 

9 years ago

Bongo5

Yamoto Band kufunga mwaka na wimbo mpya ‘Mama’

Yamoto band

Kundi la muziki linalofanya vizuri na wimbo wake Cheza Kimadoido, Yamoto Band wanajipanga kufunga mwaka na wimbo wao mpya uitwao Mama.

Yamoto band

Akizungumza na Bongo5 hivi karibuni meneja wa Yamoto Band, Said Fella alisema kabla wasanii hao hawajasafiri kuelekea nchini Marekani kwaajili ya show tatu, wataachia wimbo mpya utakaofunga mwaka.

“Tarehe 25 mwezi huu watasafiri kuelekea Marekani kwaajili show. Tarehe 27 watafanya show ya kwanza, watafanya tena Houston halafu watamalizia Washington DC,”...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani