Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yamoto Band kufunga mwaka na wimbo mpya ‘Mama’

Yamoto band

Kundi la muziki linalofanya vizuri na wimbo wake Cheza Kimadoido, Yamoto Band wanajipanga kufunga mwaka na wimbo wao mpya uitwao Mama.

Yamoto band

Akizungumza na Bongo5 hivi karibuni meneja wa Yamoto Band, Said Fella alisema kabla wasanii hao hawajasafiri kuelekea nchini Marekani kwaajili ya show tatu, wataachia wimbo mpya utakaofunga mwaka.

“Tarehe 25 mwezi huu watasafiri kuelekea Marekani kwaajili show. Tarehe 27 watafanya show ya kwanza, watafanya tena Houston halafu watamalizia Washington DC,”...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Yamoto Band waandika wimbo mpya wa Dully Sykes

Yamoto Band wameandika wimbo mpya wa Dully Sykes uitwao Tuachie. Dully Sykes amedai kuwa ameona ni muhimu kupata ladha tofauti na haoni kama kuna tatizo kuandikiwa na wasanii hao. “Nimewaachia vijana waandike ili nipate kitu tofauti,” Dully alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio. “Ni vijana ambao wanafanya vizuri kimuziki, kama watoto wanafanya […]

 

9 years ago

MillardAyo

Ni muda wa kuwasikiliza Yamoto Band kwenye single yao mpya….-‘Mama’ (+Audio)

Watoto kutoka kwenye familia ya Mkubwa na Wanawe TMK time hii wametusogezea single yao mpya iitwayo Mama wamemshirikisha Zena. Nakukaribisha kwenye link hii mtu wangu, unaweza kuisikiliza kwenye link ya Mkito  >>> Mama Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK […]

The post Ni muda wa kuwasikiliza Yamoto Band kwenye single yao mpya….-‘Mama’ (+Audio) appeared first on...

 

10 years ago

Vijimambo

YAMOTO BAND YA ZINDUA VIDEO YA WIMBO WA "NITAKUPWELEPWETA" NDANI YA MAISHA CLUB




Siku ya Jumapili ya tarehe 4 January 2015 yamoto band walifanya uzinduzi wa video yao mpya inayokwenda kwa jina la Nitakupwelepweta ndani ya new maisha club.
Show ilikuwa balaaa na kama ilivyo kawaida yake Mlezi na mkurugenzi Mkuu wa kikundi hindo Said Fella aka Mkubwa Fella kupitia ukurasa wake wa instagram aliandika haya machache kuwashukuru wadau waliohudhuria uzinduzi huo"Shukran sana kwa wote mliojitokeza kuwasupport vijana wetu Yamoto_Band pale Maisha_Club jana... hakika bila nyinyi...

 

9 years ago

Bongo5

Darasa kufunga mwaka na wimbo ‘Uchizi Nidate’ akiwa na Rich Mavoko

12256793_1144325638930753_542720042_n

Rapa Darasa anayetamba na wimbo Heya Haye, amesema atafunga mwaka na wimbo mpya ‘Uchizi Nidate’ aliyomshirikisha Rich Mavoko.
12256793_1144325638930753_542720042_n

Akizungumza na Bongo5 hivi karibuni, Darasa alisema kazi hiyo itatoka audio pamoja na video.

“Tunafunga mwaka na kazi mpya ambayo tayari tumesharekodi chini ya producer Alba, kwenye wimbo nipo na Rich Mavoko, ni wimbo fulani mzuri ambayo natumaini utapokewa vizuri na mashabiki. Kwa upande wa video ni mwendelezo wa video kali. Mashabiki walishalalamika sana kwenye...

 

10 years ago

Michuzi

Utengenezwaji wa Video Mpya ya Yamoto Band "Nitakupwelepweta"

 Taswira mbalimbali za Utengenezwaji wa Video Mpya ya Yamoto Band "Nitakupwelepweta" sehemu mbalimbali jijini Dar es salaam. Vijana hawa ambao wako juu hivi sasa katika tasnia ya muziki nchini Tanzania na nchi jirani, sio tu wanafanya vyema katika kutawala anga bali pia wameleta aina mpya ya staili ya muziki ambao uko mbali na Bongo Fleva na umepokelewa kwa shangwe na wapenzi wa muziki. Wanaongozwa na Mkubwa Fela Mambo ya location Vijana wakiwajibika Adam Juma aki-shoot scene ya mgahawani

 

10 years ago

GPL

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AHUTUBIA BARAZA LA KUFUNGA MWAKA 2014 NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2015

Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja akitoa hotuba yake fupi katika Baraza la kufunga Mwaka 2014 na kuukaribisha Mwaka Mpya 2015 katika Ofisi za Makao Makuu ya Magereza(kulia) ni Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa(kushoto) ni Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Magereza, Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Magereza, Mmeta Manyala. Baadhi ya… ...

 

9 years ago

GPL

YAMOTO BAND KUZINDUA STAILI MPYA DAR LIVE

  Ni Uzinduzi wa Video ya Cheza kwa Madoido...  
KUNDI linalotikisa kila kona la Yamoto Band linatarajiwa kuzindua staili mpya za kucheza, Septemba 11, mwaka huu pale watakapozindua rasmi Video ya Cheza kwa Madoido ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar. Akichonga na Mikito Nusunusu, meneja wa bendi hiyo, Said Fella aliwataka mashabiki wa Yamoto kufika kwa wingi kutokana na staili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani