Darasa kufunga mwaka na wimbo ‘Uchizi Nidate’ akiwa na Rich Mavoko
Rapa Darasa anayetamba na wimbo Heya Haye, amesema atafunga mwaka na wimbo mpya ‘Uchizi Nidate’ aliyomshirikisha Rich Mavoko.
Akizungumza na Bongo5 hivi karibuni, Darasa alisema kazi hiyo itatoka audio pamoja na video.
“Tunafunga mwaka na kazi mpya ambayo tayari tumesharekodi chini ya producer Alba, kwenye wimbo nipo na Rich Mavoko, ni wimbo fulani mzuri ambayo natumaini utapokewa vizuri na mashabiki. Kwa upande wa video ni mwendelezo wa video kali. Mashabiki walishalalamika sana kwenye...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo513 Feb
Rich Mavoko: Sijaachia wimbo wala kwa sasa sina mpango wa kuachia wimbo
10 years ago
Jamtz.Com![](http://4.bp.blogspot.com/-C1iVvksiKaE/VCWQxCoPTgI/AAAAAAAABLY/KH-PhtMiLhM/s72-c/Rich%2BMavoko%2B-%2BPacha%2Bwangu.jpg)
10 years ago
GPL11 Jun
9 years ago
Bongo525 Nov
Rich Mavoko ataja sababu zilizomfanya awe kimya kwa zaidi ya mwaka mmoja
![mavoko new](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/mavoko-new-300x194.jpg)
Rich Mavoko ameachia wimbo mpya Jumanne (Nov.24), ikiwa ni mwaka mzima na miezi miwili toka alipoachia single ya mwisho ‘Pacha Wangu’.
Wakati akitambulisha single mpya iitwayo ‘Naimani’ kupitia XXL ya Clouds Fm, Mavoko amezitaja sababu zilizomfanya asitoe wimbo kwa kipindi kirefu toka mwaka jana.
“Cha kwanza Pacha Wangu ni wimbo nimetoa mwezi wa 9 (2014) lakini pia imekuwepo kwa muda mrefu, sisemi kwamba natakiwa nitoe nyimbo ikae muda mrefu hapana.”
Mavoko aliendelea,
“lakini kusuasua...
9 years ago
Bongo514 Nov
Yamoto Band kufunga mwaka na wimbo mpya ‘Mama’
![Yamoto band](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/01/Yamoto-band-300x300.jpg)
Kundi la muziki linalofanya vizuri na wimbo wake Cheza Kimadoido, Yamoto Band wanajipanga kufunga mwaka na wimbo wao mpya uitwao Mama.
Akizungumza na Bongo5 hivi karibuni meneja wa Yamoto Band, Said Fella alisema kabla wasanii hao hawajasafiri kuelekea nchini Marekani kwaajili ya show tatu, wataachia wimbo mpya utakaofunga mwaka.
“Tarehe 25 mwezi huu watasafiri kuelekea Marekani kwaajili show. Tarehe 27 watafanya show ya kwanza, watafanya tena Houston halafu watamalizia Washington DC,”...
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
Rich Mavoko aeleza ya moyoni
MSANII wa Bongo fleva, Richard Martin ‘Rich Mavoko’ amewataka wasanii wenzake wawe na moyo wa kuwakumbuka wenzao waliotangulia mbele za haki hata kwa kuwatembelea wazazi au ndugu zao waliopo duniani....
11 years ago
Bongo515 Jul
New Music: Rich Mavoko — Tururu
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-hwEeqCyyzdpOwsCUUmi9b5MSXlnNsJl4Ku9Bjj8NUS*l92*lzuzib05dyMEKRNkNfEh3WmS*Gj6Gtgy7aZezOlC4vIg3lyw/RichMavokoPR.png)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-9JlF4F0jf30/VXgJ_PduJ7I/AAAAAAAHeQo/EDI9VRslWyY/s72-c/unnamed.png)