Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utengenezwaji wa Video Mpya ya Yamoto Band "Nitakupwelepweta"

 Taswira mbalimbali za Utengenezwaji wa Video Mpya ya Yamoto Band "Nitakupwelepweta" sehemu mbalimbali jijini Dar es salaam. Vijana hawa ambao wako juu hivi sasa katika tasnia ya muziki nchini Tanzania na nchi jirani, sio tu wanafanya vyema katika kutawala anga bali pia wameleta aina mpya ya staili ya muziki ambao uko mbali na Bongo Fleva na umepokelewa kwa shangwe na wapenzi wa muziki. Wanaongozwa na Mkubwa Fela Mambo ya location Vijana wakiwajibika Adam Juma aki-shoot scene ya mgahawani

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Vijimambo

YAMOTO BAND YA ZINDUA VIDEO YA WIMBO WA "NITAKUPWELEPWETA" NDANI YA MAISHA CLUB




Siku ya Jumapili ya tarehe 4 January 2015 yamoto band walifanya uzinduzi wa video yao mpya inayokwenda kwa jina la Nitakupwelepweta ndani ya new maisha club.
Show ilikuwa balaaa na kama ilivyo kawaida yake Mlezi na mkurugenzi Mkuu wa kikundi hindo Said Fella aka Mkubwa Fella kupitia ukurasa wake wa instagram aliandika haya machache kuwashukuru wadau waliohudhuria uzinduzi huo"Shukran sana kwa wote mliojitokeza kuwasupport vijana wetu Yamoto_Band pale Maisha_Club jana... hakika bila nyinyi...

 

9 years ago

Bongo5

Yamoto Band waandika wimbo mpya wa Dully Sykes

Yamoto Band wameandika wimbo mpya wa Dully Sykes uitwao Tuachie. Dully Sykes amedai kuwa ameona ni muhimu kupata ladha tofauti na haoni kama kuna tatizo kuandikiwa na wasanii hao. “Nimewaachia vijana waandike ili nipate kitu tofauti,” Dully alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio. “Ni vijana ambao wanafanya vizuri kimuziki, kama watoto wanafanya […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani