SOKO LA FILAMU NA MUZIKI LAPOROMOKA KWA KASI NCHINI
Aliyesimama ni Mwenyekiti wa Taifa wa umoja wa wasambazaji wa kazi za Sanaa nchini, yaani ‘Tanzania Audio Visual Works Distributors,’ Baraka Nyanda akiongea na waandishi wa habari jijini Arusha juu ya kushuka kwa ubunifu miongoni mwa wasanii nchini ambako kumepelekea uwepo wa sinema na miziki hafifu isiyoweza kustahimili ushindani wa soko la kazi za burudani duniani anayefatia ni katibu wa shirika hilo Frank Martin, watatu ni James Mollel katibu tawi la Arusha pamoja na Gabriel Simbeye,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi15 Sep
SOKO LA HISA NCHINI LAPOROMOKA KWAASILIMIA 62.
Akiongea na waandishi wa habari Meneja Miradi na Biashara waDar es salaam Stock Exchange Bw. Patrick Mususa alisema kuwa hata hvyo idadi ya mtaji katika soko umekuwa kutoka tilioni 21.9 hadi tilioni 22.3 ikiwa pia na idadi ya...
10 years ago
MichuziBodi ya Filamu Nchini yatoa wito kwa wamiliki wa Filamu kuweza kuwasilisha Filamu.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu , Joyce Fisoo ametoa wito kwa kampuni za Filamu nchini kuwasilisha filamu zao ili ziweze kuhakikiwa na kulipiwa kwa kupata kibali cha kuingia sokoni kama sheria ya filamu ya mwaka 1976 kifungu namba 4 inavyoeleza.
Akizungumza katika ofisi za Bodi leo jijini Dar es Salaam, Fisoo ameipongeza kampuni ya Al-Riyamy Production ambayo imeweza kutimiza wajibu wake na kulipia filamu 134 ambazo zimepata kibali cha kupatiwa stamp za TRA...
10 years ago
Mwananchi02 Nov
Ali Kiba; Nyota wa muziki aliyerudi kwa kasi katika kiti chake
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-O6T3Sxi-xxc/VAabEhBUg1I/AAAAAAAGcK8/BWBw6DN5yMA/s72-c/Kamnda%2BRas%2BMakunja%2Bwa%2BNgoma%2BAfrica%2Bband.jpg)
USHAURI WA KAMANDA RAS MAKUNJA KWA WASANII KUHUSU SOKO LA MUZIKI ULAYA
![](http://2.bp.blogspot.com/-O6T3Sxi-xxc/VAabEhBUg1I/AAAAAAAGcK8/BWBw6DN5yMA/s1600/Kamnda%2BRas%2BMakunja%2Bwa%2BNgoma%2BAfrica%2Bband.jpg)
WASANII LAZIMA WAANGALIE KWA MAKINI MIKATABA NA MUDA KUTUMBUIZA
Baada ya vyombo vya habari kuandikia kwa wingi tukio la fujo zilizotokea wikiendi ya 30.Augost 2014 katika show ya mwanamuziki Diamond, Blog ya jamii na timu ya Michuzi Media imefanya juhudi za kutaka kusikia maoni na mtazamo wa mwanamuziki wa Tanzania aliyeupigania muziki wa Tanzania katika soko la ughaibuni kwa miaka 21 si mwingine bali ni Kamanda ras Makunja wa FFUau...
10 years ago
BBCSwahili09 Sep
Ebola inaenea kwa kasi nchini Liberia
11 years ago
Ykileo![](http://4.bp.blogspot.com/-819jipYGHhU/U6aPQ3OG7BI/AAAAAAAAAv8/kfDh-tMH3qU/s72-c/1.jpg)
AINA MPYA YA UHALIFU UNAOKUJA KWA KASI NCHINI TANZANIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-819jipYGHhU/U6aPQ3OG7BI/AAAAAAAAAv8/kfDh-tMH3qU/s1600/1.jpg)
Nchi mbali mbali zimechukulia uhalifu huu kua ni hatari kwani unaweza kuwa na madhara makubwa kwa mtendewa ikiwa ni pamoja na kupelekea kufilisi mtu, kupata taarifa za watu kinyume na sheria/ makubaliano na hata wakati mwingine kupelekea kuleta madhara mengine kama kutumika...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-VHUIrRa2qys/UwCdLYkoG-I/AAAAAAAFNbE/Y6Llj0PgFnE/s72-c/images.jpg)
MTAJI WA VICOBA NCHINI UNAKUA KWA KASI SANA - MAMA TUNU PINDA
![](http://4.bp.blogspot.com/-VHUIrRa2qys/UwCdLYkoG-I/AAAAAAAFNbE/Y6Llj0PgFnE/s1600/images.jpg)
Alisema hayo alipokuwa akizindua rasmi muungano wa VICOBA wenye vikundi 46 na vikundi 25 vyenye jumla ya wanachama 600 ambao ndio waliopo katika mchakato wa muungano huo, Jana Mchana Jumamosi, Februari 15, 2014 katika Kata ya Kimanga Jijini Dar es Salaam.
Mfumo wa VICOBA umeendelea kushamiri na kuenea katika maeneno mbalimbali nchini ambapo wananchi wengi hasa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ByAI948vpWo/VKffRTyfvDI/AAAAAAAG7Bw/1zTkIEuutw8/s72-c/ZIFF%2B2015-18%2BLogo.jpg)
ZIFF YAWAKUMBUSHA WADAU WA FILAMU NCHINI KUWASILISHA FILAMU ZAO
![](http://2.bp.blogspot.com/-ByAI948vpWo/VKffRTyfvDI/AAAAAAAG7Bw/1zTkIEuutw8/s1600/ZIFF%2B2015-18%2BLogo.jpg)
"Kama wewe ni Mtanzania na unataka kuwasilisha filamu yako basi wasiliana na Ibra Mitawi +255 713 300997 au +255 783 300997 au mnaweza kutuma ofisini Zanzibar moja kwa moja, hatutapokea filamu yeyote baada ya tarehe hiyo".
Tunaomba pia mjaribu kuweka filamu ikiwa ndani ya DVD moja na si...