Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BONGO MOVIE KUPAMBA UZINDUZI WA KITABU CHA MAREHEMU KANUMBA LANDMARK HOTEL


 
UZINDUZI wa kitabu cha msanii wa filamu hayati Steven Kanumba unatarajia kuandika historia kufuatia maandalizi yaliyopangwa anasema mratibu wa tamasha hilo Mohamed Mwikongi ‘Frank’ amesema kuwa kutakuwa na mambo muhimu sana kwa ajili ya kumuenzi msanii huyo ambaye aliitangaza Tanzania kimataifa.
“Tumepanga kufanya mambo makubwa kwa ajili ya mwenzetu na tunataka ijengeke tabia ya kuenzi wasanii mbalimbali, pesa za uzinduzi wa kitabu hiki utafungua Kanumba Foundation kwa ajili ya kusaidia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Mama Kanumba asikitishwa na wasanii pamoja na wadau wa filamu kususia uzinduzi wa kitabu cha Kanumba

Flora Mtegoa, Mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba amesikitishwa na wasanii wa filamu pamoja wa wadau wa filamu kushindwa kwenda kumuunga mkono katika shughuli ya uzinduzi wa kitabu cha Kanumba ‘The Great Fallen Tree’, uliofanyika ndani ya ukumbi wa Landmark Hotel, Dar-es-salaam January 10. Akizungumza kwa majonzi kwenye Take One Show ya Clouds Tv, Mama […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha:Uzinduzi Wa Kitabu Cha Kanumba Hapo Jana

NAIBU Waziri wa Kazi na Maendeleo ya Vijana, Makongoro Mahanga,  jana amezindua rasmi kitabu cha marehemu Steven Charles Kanumba, Kinachoitwa ''Steven Charles Kanumba: The Great Fallen Tree''  kilichoandikwa na Emmanuel Zirimwabagabo, raia wa Congo anayeishi nchini Canada.

Akizungumza na wadau waliohudhuria hafla hiyo alisema vijana wanapaswa kutumia vipaji vyao kwa kujituma, kuthubutu na kufanya kazi kwa nguvu kama marehemu Kanumba na si kulalamika kila siku,  jambo linalopelekea kuibuka...

 

10 years ago

CloudsFM

KITABU CHA MAISHA YA MAREHEMU KANUMBA KUZINDULIWA JUMAMOSI HII

Kitabu cha maisha ya aliyekuwa msanii wa filamu za Kibongo,marehemu Steven Kanumba # thegreatfallentree# kinazinduliwa Jumamosi wiki hii katika ukumbi wa Landmark Hotel,Ubungo jijini Dar.Katika uzinduzi huo kutakuwa na burudani mbalimbali ikiwemo bendi ya Malaika chini ya Christian Bella.

 

10 years ago

Bongo Movies

Kanumba Day: Wastara Ana Haya Kuhusu Kitabu cha Kanumba

“Hiki kitabu chenye historia yako chatosha kunifanya nione umuhimu mkubwa uliokuwa nao katika tasnia na safari ndefu uliyopitia mpka ulimwengu kkutambua wew ni nani yoyte mwenye moyo wa dhati na asiyechoka na kukata siku zote atasimama nakufuata njia ulizopita duniani ni njia tu lakini jinsi utakavyoipita njia hii ndivyo utakavyowapa watu kumbukumbu ya kukkumbuka kilasiku tunakukumbuka sana lakini kifo ni safari ya lazima aina rushwa wala aikwepeki tuko nyuma yako mungu akusamehe makosa yako...

 

11 years ago

Daily News

'Bongo Movie' to celebrate 3 years, honour Kanumba


Daily News
'Bongo Movie' to celebrate 3 years, honour Kanumba
Daily News
MEMBERS of the domestic film industry, 'Bongo Movie', will mark three years anniversary cerebrations on March 28, this year, when some actors/actress stars, including the late Steven Kanumba and several others, will be honoured. This was announced in ...

 

10 years ago

Michuzi

ROSE NDAUKA ASEMA BAADA YA KANUMBA KUFARIKI BONGO MOVIE HAKUNA COMPETITION

STEVE KANUMBA ENZI ZA UHAI WAKE AKIWA NA ROSE NDAUKAKama wewe ni Mmoja wa Wapenzi wa Filamu za Nchini Tanzania na unafuatilia Vizuri basi utakubaliana na Rose Ndauka Kwamba Baada ya Kufariki STEVEN KANUMBARose Ndauka Ameongea na @DjHaazu na kusema Steven Kanumba aliipigania sana Tasnia ya Filamu Nchini Tanzania Haswa kwa jitihada zake kukuza Wasanii wenzake ambapo kwa Moyo wake kwa kushirikiana na Wasanii wenzake Waliifikisha Sanaa ya Filamu Tanzania Hapo ilipo ila hadi sasa Hakuna Hatu...

 

10 years ago

GPL

MAMA ABDUL AWACHARUKIA WALIOSUSIA KITABU CHA KANUMBA

Na Deogratius Mongela /UWAZI
MUIGIZAJI mkongwe nchini, Salome Nonge ‘Mama Abdul’ amewacharukia mastaa wa filamu Bongo kwa kususia kujitokeza katika uzinduzi wa kitabu cha Kanumba. Muigizaji mkongwe nchini, Salome Nonge ‘Mama Abdul’. Akizungumza na Uwazi, Mama Abdul aliyasema hayo muda mfupi baada ya kuisha kwa uzinduzi wa kitabu hicho uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika Ukumbi wa Landmark,...

 

11 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA FILAMU YA 'I LOVE MWANZA' HAUKUWA WA KISIASA - BONGO MOVIE

 Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere (katikati) akitoa taarifa ya kukanusha uzinduzi wa filamu ya "I Love Mwanza" kujihusisha na masuala ya kisiasa. Kushoto kwa Nyerere ni Sabrina Lupia (Cathy) na kulia kwake n Wastara Juma na Salama "Sandra" Salimin.   Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere (katikati) akitoa tarifa ya kukanusha taarifa za uzinduzi wa filamu ya "I Love Mwanza" kujihusisha na masuala ya kisiasa. Kuanzia kushoto kwa Nyerere ni Sabrina Lupia (Cathy) , Katibu wa TAFF mkoa wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani