SIMBA YALIMWA FAINI KWA KUENDEKEZA VITENDO VYA KUSHIRIKINA
Kocha Mkuu wa Simba Loga akiongea na wachezaji wake. Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeipiga faini ya jumla ya sh. milioni moja klabu ya Simba kutokana na makosa mbalimbali ikiwemo vitendo vinavyoashiria ushirikina uwanjani. Simba ilifanya vitendo hivyo katika mechi yake dhidi ya Mbeya City ambapo imepigwa faini ya sh. 500,000. Pia imepigwa faini nyingine ya sh. 500,000 kwa makocha wake Loga, Selemani Matola na Idd Pazi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-1oWjzMXbc2I/VM4aNm6nLNI/AAAAAAAHAqI/g2NPctYtV90/s72-c/DSC00253.jpg)
SIMBA YAPIGWA FAINI YA MILIONI 3/- KWA KUTOVAA JEZI ZENYE NEMBO YA MDHAMINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-1oWjzMXbc2I/VM4aNm6nLNI/AAAAAAAHAqI/g2NPctYtV90/s1600/DSC00253.jpg)
Mechi hiyo namba 50 ya Ligi Kuu ya Vodacom ilichezwa Desemba 26 mwaka jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Adhabu hiyo imetolewa kwa kuzingatia kanuni ya 13(7) ya Ligi Kuu inayotaka klabu kuheshimu masharti ya udhamini wa Ligi Kuu kwenye mechi zake.
Nayo Polisi...
9 years ago
Habarileo23 Aug
RC ashtushwa na vitendo vya kinyama kwa wafugaji
MKUU wa Mkoa wa Kagera John Mongella ameshtushwa na madai ya kuwapo kwa vitendo vya kinyama dhidi ya wafugaji wanapoingiza mifugo yao kwa bahati mbaya katika hifadhi za Kimisi, Burigi na Kasindaga.
11 years ago
Habarileo24 Apr
Vitendo vya ukatili kwa watoto vyaongezeka
WATOTO 863 nchini wamefanyiwa vitendo vya kikatili mwaka jana, ikiwemo kulawitiwa na walezi wao. Aidha katika kipindi hicho watu 1,669 waliuawa kwa wananchi kujichukulia sheria mkononi.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-uT0f5AopP9w/XlaHmQHlqAI/AAAAAAALfjI/C6vo3WO6Odgoagf-_fWS7X52d4WTNXwwwCLcBGAsYHQ/s72-c/gab.jpg)
VITENDO VYA ULAWITI KWA WANAFUNZI VYASHAMIRI ARUSHA
![](https://1.bp.blogspot.com/-uT0f5AopP9w/XlaHmQHlqAI/AAAAAAALfjI/C6vo3WO6Odgoagf-_fWS7X52d4WTNXwwwCLcBGAsYHQ/s1600/gab.jpg)
Vitendo vya ubakaji na kulawitiana kwa baadhi ya wanafunzi wa kiume wa shule za msingi jijini Arusha vimeelezwa kushamiri kiasi cha wanafunzi kushindwa kusoma,ambapo walimu wa shule hizo wameitaka jamii kuunganisha nguvu ili kutokomeza matukio hayo yanayosababishwa na utandawazi.
Hayo yamebainishwa jijini Arusha na baadhi ya walimu wa shule za msingi wakati wakipatiwa mafunzo maalumu juu ya vitendo vya ukatili na unyanyashaji dhidi ya wanawake na mtoto yaliyotolewa...
9 years ago
Habarileo04 Sep
‘Ngoma huzidisha vitendo vya kikatili kwa watoto’
KAMATI ya Ulinzi wa Mtoto ngazi ya Kijiji cha Manerumango Kaskazini mkoani Pwani imekiri kuwa kipindi cha ngoma ndio wakati ambao vitendo vya ukatili kwa watoto hutokea hasa kupata ujauzito na wengine kulawitiwa.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-OKCNZwa_dsM/XrqwlytQTzI/AAAAAAAAH4s/dykmUEuyNAsBv0euHSzlI9g10lmvAtYwgCLcBGAsYHQ/s72-c/BARAKA%2B2.jpg)
KATA YA KITWIRU YAKITHIRI KWA VITENDO VYA UPORAJI NA UKABAJI.
![](https://1.bp.blogspot.com/-OKCNZwa_dsM/XrqwlytQTzI/AAAAAAAAH4s/dykmUEuyNAsBv0euHSzlI9g10lmvAtYwgCLcBGAsYHQ/s640/BARAKA%2B2.jpg)
NA FREDY MGUNDA,IRINGA.Wananchi wa kata ya Kitwiru Manispaa ya Iringa Wameiomba Serikali kupitia vyombo vyake vya ulinzi na usalama kuanzisha mkakati maalum utakaowashirikisha wakazi wa maeneo hayo ili kudhibiti ongezeko la vijana wanaojihusisha na vitendo vya uhalifu ikiwemo matumizi yamihadarati aina...
11 years ago
GPLPOLISI WANNE WAFUKUZWA KAZI KWA KUJIHUSISHA NA VITENDO VYA UHALIFU
10 years ago
Dewji Blog01 Oct
TAMWA yawapongeza wakazi wa Mbezi Msuguri kwa kupinga vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia
Mkurugenzi wa TAMWA, Valerie Msoka.
Na Mwandishi wetu
CHAMA Cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), kimewapongeza wakazi wa mtaa wa Msigwa-Mbezi kwa Msuguri jijini Dar es Saaam, kwa kuchukua hatua za pamoja kulaani kitendo cha kulawiti kilichofanywa na Joachim Anset Shirima (40) kwa mtoto mwenye umri wa miaka (4).
Taarifa ilitolewa kwa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam jana na Mkurugenzi wa TAMWA, Valerie Msoka, alisema Shirima alifanya tukio hilo hivi karibuni.
Alisema tukio hilo...
9 years ago
StarTV18 Dec
Polisi wilayani Bunda yamtia mbaroni mwanamke mmoja kwa vitendo vya ukatili
Polisi wilayani Bunda mkoani Mara inamshikilia mwanamke mmoja kwa tuhuma ya kumchoma moto mtoto wa kaka yake sehemu mbalimbali za mwili ikiwemo sehemu za siri kwa madai ya kuiba mboga chunguni.
Mwanamke anayeshiliwa na Polisi ametambuliwa kwa jina la Jenipher Mtaki mwenye miaka 22 mkazi wa Migungani wilayani Bunda.
Tukio hilo ambalo limetokea desemba 15 mwaka huu, majira ya saa za usiku katika eneo la Migungani mjini Bunda, liligunduliwa na wasamalia wema waliotoa taarifa kwa Rebeca Kibore...