Wanane wahofi wa kufukiwa machimbo ya dhahabu Kahama
NA PAUL KAYANDA, KAHAMA
WATU zaidi ya wanane wanahofiwa kufa baada ya kufukiwa na kifusi cha udongo katika machimbo ya Nyangarata katika Kata ya Lunguya Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Justus Kamugisha alisema tukio hilo lilitokea juzi asubuhi baada ya watu wapatao 20 kuingia katika shimo la uchimbaji dhahabu na kifusi hicho kikaanguka wakiwa ndani.
Alisema ingawa idadi kamili juu ya waliokuwa ndani ya shimo inakadiriwa kuwa 20 lakini baada ya...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rhqcRsJl7aTKgMOlzGah*BW26rJP2HUnoxwtIxXULHMr53nYJhksWaLzJi6EtxgJ9kL*vccuGcNs-RzqwgvyTOFTZIVXLf1b/breakingnews.gif)
WATU 19 WAFARIKI KATIKA MACHIMBO YA DHAHABU KAHAMA
10 years ago
MichuziNEWS ALERT: WACHIMBAJI WA DHAHABU ZAIDI YA 20 WADAIWA KUFARIKI DUNIA KWA KUFUKIWA KIFUSI HUKO KAHAMA
Kwa mujibu wa kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga, Justus Kamugisha amesema kuwa usiku wa kuamkia leo kuna wachimbaji ambao walivamia machimbo hayo ambayo yaliachwa kuchimbwa muda mrefu na ndipo wakaanza shughuli ya...
10 years ago
Mtanzania16 Jan
Utoro shuleni Bukombe 50% - Kuendekeza ngono, machimbo ya dhahabu vyachangia
Na Mariam Mkumbaru, Bukombe
MATARAJIO ya wazazi wengi ni kuona watoto wanapoanza shule wanahitimu masomo yao kwa kufikia ngazi za juu za elimu. Hata hivyo, matarajio hayo hayafikiwi katika maeneo mengi hapa nchini kwani watoto wengi hushindwa kuhitimu kutokana na tatizo la utoro.
Tatizo la utoro shuleni ni changamoto kubwa katika sekta ya elimu nchini kwani shule nyingi katika maeneo mbalimbali zinakabiliwa na changamoto hiyo. Miongoni mwa wilaya ambazo tatizo hilo ni kubwa ni pamoja na...
11 years ago
BBCSwahili29 Jun
Watu zaidi wahofiwa kufukiwa na kifusi
9 years ago
Mtanzania17 Nov
Wachimbaji waokolewa baada ya kufukiwa ardhini siku 41
*Waliishi kwa kula mende, mizizi
* Waligunduliwa na mchimbaji aliyekwenda kuiba mchanga wa madini
Na Waandishi Wetu, Kahama na Dar
WACHIMBAJI wadogo watano katika mgodi wa Nyangarata, Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, wameokolewa baada ya kufukiwa na kifusi cha udongo ardhini kwa siku 41.
Wakizungumza katika Hospitali ya Wilaya ya Kahama ambako wamelazwa kwa matibabu jana, wachimbaji hao walisema waliishi siku zote hizo kwa kula wadudu kama mende na mizizi mbalimbali.
Kwa mujibu wa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NQs0dYxvfMV9NkZtRzcZIc9IhBeqU8INp5mCfoBbRBjT-*CZe79D3HG260dKpKQ4-6HkN3surqdvDSRxd1DDEQnbXp6T8q6q/mpoto.jpg?width=650)
MRISHO MPOTO: AZALIWA NA MAAJABU SHINGONI, ATAKIWA KUFUKIWA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
WATATU WAFARIKI KWA KUFUKIWA KIFUSI MACHIMBONI DAR
10 years ago
GPLWATANO WANUSURIKA KIFO BAADA YA KUFUKIWA NA KIFUSI JIJINI MWANZA
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/BADRA.jpg)
WAKUTWA HAI BAADA YA KUFUKIWA NA VIFUSI MGODINI KWA SIKU 41