Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watu zaidi wahofiwa kufukiwa na kifusi

Zaidi ya Watu 130 wahofiwa kufukiwa na kifusi cha jengo lililoporomoka nchini India

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: WACHIMBAJI WA DHAHABU ZAIDI YA 20 WADAIWA KUFARIKI DUNIA KWA KUFUKIWA KIFUSI HUKO KAHAMA

Wachimbaji wadogo wadogo wapatao 20 wa dhahabu katika machimbo ya madogo yaliyopo kwenye kijiji cha Kalole kata ya Runguya tarafa ya Msalala wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, wamedaiwa kufariki dunia baada ya kufunikwa na kifusi kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha maeneo hayo.
Kwa mujibu wa kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga, Justus Kamugisha amesema kuwa usiku wa kuamkia leo kuna wachimbaji ambao walivamia machimbo hayo ambayo yaliachwa kuchimbwa muda mrefu na ndipo wakaanza shughuli ya...

 

11 years ago

GPL

WATU WAWILI WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA BAADA KUFUNIKWA NA KIFUSI MKOANI KILIMANJARO

WATU zaidi ya wawili wanadhaniwa kupoteza maisha baada ya kufunikwa na kifusi wakati wakiendelea na shughuli za uchimbaji wa miamba kwa ajili ya uchongaji wa matofali. Tayari mpaka sasa mwili wa mtu mmoja aliyefahamika kwa jina Bless Adrian, mkazi wa kijiji cha Nganjoni wilaya ya Moshi vijijini mkoani Kilimanjaro umepatikana. Juhudi za kutafuta miili mingine inaendelea licha ya kukabiliwa na changamoto ya zana za kufukulia...

 

11 years ago

Michuzi

Breaking Nyuzzzz: WATU WAWILI WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA BAADA KUFUNIKWA NA KIFUSI MKOANI KILIMANJARO

Zaidi ya watu wawili wanadhaniwa kupoteza maisha baada ya kufunikwa na kifusi wakati wakiendelea na shughuli za uchimbaji wa miamba kwa ajili ya uchongaji wa tofari. Tayari mpaka sasa mwili wa mtu mmoja aliyefahamika kwa jina Bless Adrian, mkazi wa kijiji cha Nganjoni wilaya ya Moshi vijijini mkoani Kilimanjaro. Juhudi za kutafuta miili mingine inaendelea licha ya kukabiliwa na changamoto ya zana za kufukulia kifusi.


 

9 years ago

BBCSwahili

Zaidi wa watu 50 wahofiwa kuzama-Libya

Zaidi ya watu hamsini hawajulikani waliko baada ya meli walimokuwa wakisafiria kuanza kuzama katika pwani ya Libya

 

11 years ago

Mwananchi

Watu zaidi ya 2,500 wafukiwa na kifusi

Watu zaidi ya 2,500 wanahofiwa kufariki dunia baada ya kufukiwa na mmomonyoko wa ardhi Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo katika Jimbo la Badakhshan.

 

11 years ago

GPL

WATATU WAFARIKI KWA KUFUKIWA KIFUSI MACHIMBONI DAR

Shughuli ya uokoaji ikiendelea. Waokoaji baada ya kugundua mwili ulipo.…

 

10 years ago

GPL

WATANO WANUSURIKA KIFO BAADA YA KUFUKIWA NA KIFUSI JIJINI MWANZA

Rashid Mkumba Hamis ambaye ni mmoja wa majeruhi aliyevunjika mguu. Majeruhi katika tukio hilo wakihojiwa na wanahabari (hawapo pichani).…

 

9 years ago

Michuzi

WATU ZAIDI YA KUMI WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA KUFUATIA AJALI YA LORI KUPINDUKA WILAYANI LUSHOTO

Watu zaidi ya 10 wahofiwa kufariki Dunia eneo la Soni, Lushoto Mkoani Tanga kufuatia ajali ya Fuso iliyotokea kwenye Maulidi kuanguka nakubiringika bondeni. Chanzo cha ajali hiyo bado hakijajulikana mpaka sasa. sehemu ya umati wa watu waliofika kushuhudia tukio la ajali hiyo iliyotokea Soni,Lushoto mkoani Tanga Baadhi ya mashuhuda wakitazama Lori hilo lililopelekea vifo vya watu zaidi ya kumi baada ya kupinduka na kubiringika bondeni,huko Soni,Lushoto mkoani Tanga

 

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA:WANAFUNZI WATATU WA KIKE WAFARIKI DUNIA BAADA YA KUFUKIWA NA KIFUSI CHA UDONGO WILAYA YA ILEJE.

Kamanda wa Polisi Mkoani Mbeya -SACP Ahmed Msangi--WANAFUNZI WATATU WA KIKE WANAOSOMA SHULE YA MSINGI ILOMBA AMBAO NI 1. SEVELINA MWILE [11], MKAZI WA KITONGOJI CHA ITALE 2. GRACE PATSON [10], MKAZI WA KITONGOJI CHA ITALE NA 3. AGEY SEME [10], MKAZI WA KITONGOJI CHA ILOMBA[W] MBEYA VIJIJINI WOTE WANAFUNZI WA DARASA LA NNE SHULENI HAPO WALIFARIKI DUNIA BAADA YA KUFUKIWA NA KIFUSI CHA UDONGO WAKATI WAKICHIMBA UDONGO NDANI YA SHIMO.
TUKIO HILO LIMETOKEA TAREHE 12.11.2014 MAJIRA YA SAA 12:00HRS...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani