WATU WAWILI WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA BAADA KUFUNIKWA NA KIFUSI MKOANI KILIMANJARO

WATU zaidi ya wawili wanadhaniwa kupoteza maisha baada ya kufunikwa na kifusi wakati wakiendelea na shughuli za uchimbaji wa miamba kwa ajili ya uchongaji wa matofali. Tayari mpaka sasa mwili wa mtu mmoja aliyefahamika kwa jina Bless Adrian, mkazi wa kijiji cha Nganjoni wilaya ya Moshi vijijini mkoani Kilimanjaro umepatikana. Juhudi za kutafuta miili mingine inaendelea licha ya kukabiliwa na changamoto ya zana za kufukulia...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
Breaking Nyuzzzz: WATU WAWILI WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA BAADA KUFUNIKWA NA KIFUSI MKOANI KILIMANJARO




9 years ago
Michuzi
WATU ZAIDI YA KUMI WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA KUFUATIA AJALI YA LORI KUPINDUKA WILAYANI LUSHOTO



10 years ago
GPL
NEPAL: KIJANA AOKOLEWA AKIWA HAI BAADA YA KUFUNIKWA NA KIFUSI KWA SIKU TANO
11 years ago
BBCSwahili29 Jun
Watu zaidi wahofiwa kufukiwa na kifusi
11 years ago
Michuzi20 Aug
WATU 16 WADAIWA KUPOTEZA MAISHA KUFUATIA AJALI MBAYA YA MABASI MAWILI WILAYANI SIKONGE MKOANI TABORA

Ajali hiyo imetokea leo hii jioni majira ya saa 11 jioni baada ya Basi la Kampuni ya Sabena lenye namba za usajiri T 110 ARV lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Mwanza kumegongana uso kwa uso na basi la AM Dreamline lenye namba za usajiri T 803 ATN lililokuwa likitokea Mwanza kupitia Mpanda.
Ajali hiyo imetokea...
10 years ago
Michuzi
BREAKING NYUZZZZ....: MABASI MAWILI YAGONGANA USO KWA USO LEO MAENEO YA MKATA MKOANI TANGA, WATU ZAIDI YA 10 WADAIWA KUPOTEZA MAISHA


10 years ago
Dewji Blog04 Dec
Watu wawili wafa papo hapo katika ajali mkoani Singida baada ya bajaj kugongwa na Fuso
Kamanda wa Jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP, Thobias Sedoyeka akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani).
Na Nathaniel Limu, Singida
Watu wawili wamefariki dunia katika ajali mkoani Singida,baada ya bajaj waliokuwa wakisafiria kugongwa na gari aina mitsubishi fuso lenye namba za usajili T.641 AVA lililokuwa likiendeshwa na Modest Kisaka (27) mkazi wa Mughanga manispaa ya Singida.
Watu hao ni pamoja na derive wa bajaj hiyo yenye namba za usajili MC 866 ABW aina ya YVS, Thadei...
11 years ago
CloudsFM17 Jul
MWILI WA KIJANA ALIYEFUKIWA NA KIFUSI MKOANI KILIMANJARO ULIVYOTOLEWA NA WANANCHI
Licha ya kukabiliwa na changamoto ya zana hafifu kwa ajili ya zoezi la ufukuaji wa vifusi katika tukio hilo la kufukiwa kwa watu wawili,lakini vijana wa eneo hilo la Rongoma,mkoani Kilimanjaro walifanya shughuli hiyo ya ufukuaji kwa ushirikiano mkubwa.
Hatimaye mwili wa kijana huyo ukaonekana.
Shughuli za kufukua kifusi katika eneo hilo ukaendelea.
Hatimaye mwili ukaopolewa toka katika kifusi.
9 years ago
Dewji Blog27 Nov
NEWS ALERT: Mtoto wa miaka 5 apoteza maisha baada ya kubakwa na watu wasiojulikana Mkoani Kigoma!
Kamanda wa Polisi Mkoani Kigoma SACP Ferdinand Mtui akizungumza na waandishi wa Habari (hawapo pichani) juu ya tukio la kubakwa kwa mtoto wa miaka 5, lililotokea jana mkoani humo. (Picha na mwanahabari wetu)
Na Mwandishi Wetu
[KIGOMA] Mtoto mmoja alitambulika kwa majina, Asifiwe Amos mwenye miaka mitano (5) na mkazi wa kijiji cha Katuguru Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma amefariki dunia baada ya kubakwa na watu wasiojulikana na kupelekea kifo chake hicho.
Akizungumza na Waandishi wa...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10