Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEPAL: KIJANA AOKOLEWA AKIWA HAI BAADA YA KUFUNIKWA NA KIFUSI KWA SIKU TANO

Kijana aliyeokolewa baada ya kufunikwa na kifusi kwa siku tano wakati wa tetemeko la ardhi mjini Kathmandu. Kufuatia tetemeko kubwa la aridhi kuukumba Mji wa Kathmandu nchini Nepal siku tano zilizopita, waokoaji wamefanikiwa kumuokoa kijana mmoja mwenye umri wa miaka 15 aliyepatikana hai baada ya kufunikwa na vifusi vya jengo alilokuwemo wakati wa tetemeko hilo. Licha ya kuwa chini ya maporomoko ya vifusi hivyo kwa siku tano,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Kijana aokolewa akiwa hai toka katika kifusi Nepal.

Watoa huduma za uokoaji huko mji mkuu wa Nepal Kathmandu, wamefanikiwa kumuokoa kijana mmoja mwenye umri wa miaka 15 aliyepatikana hai baada ya funikwa na vifusi vya jengo alilokuwemo wakati wa tetemeko la ardhi kukumba taifa hilo siku tano zilizopita.

Licha ya kuwa chini ya maporomoko hayo kwa siku hizo tano isaidiwa na mwanya uliokuwa ukipenyeza hewa iliyomwezesha kupumua japo kwa shida.

Makundi ya watu walimshangilia alipotolewa huku akionekana akijitahidi kufungua macho yake.Alikimbizwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kijana aokolewa akiwa hai Nepal

Kijana mwenye umri wa miaka 15 ameokolewa akiwa hai baada ya kufunikwa na kifusi cha Jengo

 

11 years ago

GPL

WATU WAWILI WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA BAADA KUFUNIKWA NA KIFUSI MKOANI KILIMANJARO

WATU zaidi ya wawili wanadhaniwa kupoteza maisha baada ya kufunikwa na kifusi wakati wakiendelea na shughuli za uchimbaji wa miamba kwa ajili ya uchongaji wa matofali. Tayari mpaka sasa mwili wa mtu mmoja aliyefahamika kwa jina Bless Adrian, mkazi wa kijiji cha Nganjoni wilaya ya Moshi vijijini mkoani Kilimanjaro umepatikana. Juhudi za kutafuta miili mingine inaendelea licha ya kukabiliwa na changamoto ya zana za kufukulia...

 

11 years ago

Michuzi

Breaking Nyuzzzz: WATU WAWILI WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA BAADA KUFUNIKWA NA KIFUSI MKOANI KILIMANJARO

Zaidi ya watu wawili wanadhaniwa kupoteza maisha baada ya kufunikwa na kifusi wakati wakiendelea na shughuli za uchimbaji wa miamba kwa ajili ya uchongaji wa tofari. Tayari mpaka sasa mwili wa mtu mmoja aliyefahamika kwa jina Bless Adrian, mkazi wa kijiji cha Nganjoni wilaya ya Moshi vijijini mkoani Kilimanjaro. Juhudi za kutafuta miili mingine inaendelea licha ya kukabiliwa na changamoto ya zana za kufukulia kifusi.


 

9 years ago

GPL

WAKUTWA HAI BAADA YA KUFUKIWA NA VIFUSI MGODINI KWA SIKU 41

Ofisa Habari wa Wizara ya Nishati na Madini, Badra Masoud.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Wapatikana hai siku 5 baada ya ajali ya ndege

Mama na mwanawe wa mwaka mmoja wamepatikana hai siku 5 baada ya ajali ya ndege katika msitu mkubwa huko Colombia

 

10 years ago

BBCSwahili

Kijana aokolewa mikononi mwa Wanamgambo

Kijana mwenye asili ya Uingereza aokolewa na Baba yake baada ya kujiunga na wapiganaji wa Jihadi nchini Syria

 

11 years ago

CloudsFM

MWILI WA KIJANA ALIYEFUKIWA NA KIFUSI MKOANI KILIMANJARO ULIVYOTOLEWA NA WANANCHI

Licha ya kukabiliwa na changamoto ya zana hafifu kwa ajili ya zoezi la ufukuaji wa vifusi katika tukio hilo la kufukiwa kwa watu wawili,lakini vijana wa eneo hilo la Rongoma,mkoani Kilimanjaro walifanya shughuli hiyo ya ufukuaji kwa ushirikiano mkubwa.Hatimaye mwili wa kijana huyo ukaonekana.Shughuli za kufukua kifusi katika eneo hilo ukaendelea.Hatimaye mwili ukaopolewa toka katika kifusi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Raia wa Nepal walala nje kwa siku ya pili

Maelfu ya raia wa Nepal wamelazimika kulala nje kwa siku ya pili mfulululizo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani