ajali ya basi la abiria na lori la Fuso Ruaha Mbuyuni leo
![](http://1.bp.blogspot.com/-SCU01bLbFT4/VSooEnr-5nI/AAAAAAAHQgk/YMWvWSNB3Zs/s72-c/unnamed%2B(64).jpg)
Habari zilizotufikia punde zinasema watu kadhaa ambao idadi yao bado haijafahamika wanasemekana wamepoteza maisha baada ya basi la abiria liitwalo Nganga linalofanya safari zake kati ya Iringa na Kilombero kugongana uso kwa uso na lori aina ya Fuso na kisha magari hayo kuteketea kwa moto maeneo ya milimani kilomita kadhaa kutoka Ruaha Mbuyuni kuelekea Morogoro, majira ya saa mbili asubuhi leo. Pichani ni basi hilo la Nganga wakati na bada ya kuteketea kwa moto. Picha ya Fuzo bado...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog12 Apr
Ajali ya gari la Nganga na Fuso huko Ruaha Mbuyuni taarifa zaidi zitawajia hivi punde
Basi la abiria la Nganga likionekana kuteketea kwa moto baada ya kugongana na Fuso majira ya saa mbili asubuhi leo Aprili 12, huko eneo la Ruaha Mbuyuni (Picha kwa mujibu wa mitandao ya kijamii).
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Chumba cha habari cha Modewji blog makao makuu kinaendelea kuwasiliana na vyanzo mbalimbali vya habari kutoka eneo la tukio la ajali mbaya iliyotokea mapema asubuhi ya leo Aprili 12 katika eneo hilo baada ya basi la abiria la Nganga linalofanya safari za Iringaa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qk*MmDQsK7pf2AeHwPjAF2REkF6HY-kBkfN5MY85f9E9yquPDoKmdoBU244VY8KHRHBzjM0MrCpATv6ccR*srBRp34qmr-nR/1428826223737.jpg?width=650)
WAWILI WAFARIKI KATIKA AJALI YA BASI NA LORI RUAHA
10 years ago
Dewji Blog12 Apr
Ajali 3 zatokea leo Nchini: Ya Ruaha Mbuyuni 18 wadaiwa kupoteza maisha
Mabaki ya ajali iliyotokea maapema asubuhi ya leo inayoelezwa kuuwa watu 18 na kujeruhi 10 huko Ruaha Mbuyuni.
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Hadi tunaendelea kuwapatia taarifa hizi usiku huu, tayari imeelezwa kuwa zaidi ya abiria 18, wameripotiwa kupoteza maisha huku 10 wakijeruhiwa vibaya katika ajali ya gari iliyotokea mapema leo majira ya asubuhi iliyohusisha basi la Abiria la Nganga lililogongana na lori aina ya Fuso uso kwa uso, hali iliyopelekea kuungua kwa magari hayo.
Awali...
10 years ago
Mwananchi13 Apr
Abiria 18 wateketea ajali ya basi, lori
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-0eyGrjq21aU/VSqMPxng9dI/AAAAAAAHQsM/TX-d2qNbzDM/s72-c/unnamed%2B(9).jpg)
news alert: Ajali ingine yatokea Soni leo, lori la mafuta lagongana na basi la abiria uso kwa uso
![](http://2.bp.blogspot.com/-0eyGrjq21aU/VSqMPxng9dI/AAAAAAAHQsM/TX-d2qNbzDM/s1600/unnamed%2B(9).jpg)
9 years ago
MillardAyo04 Jan
Picha na kilichonifikia kutoka kwenye ajali ya basi la abiria na lori la mizigo Njombe.. #RIP
Siku chache zimepita toka taarifa zitufikie kuhusu ajali ya basi la abiria lililotumbukia mtoni eneo la Iyovi ambalo lina kona kali sana mkoa wa Iringa, taarifa nyingine ya huzuni inatufikia kutoka mkoa wa Njombe leo January 04 2016. Ni taarifa ya ajali ya basi la abiria ambalo limegonga lori la mizigo kwa nyuma na kusababisha […]
The post Picha na kilichonifikia kutoka kwenye ajali ya basi la abiria na lori la mizigo Njombe.. #RIP appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo18 Dec
Kilichonifikia kutoka kwenye ajali ya basi la abiria na lori Iringa December 18… #RIP (Picha)
Kwenye taarifa ambazo zimenifikia muda mfupi uliopita iko pia inayohusu ajali iliyotokea leo December 18 2015 maeneo ya Kilolo Iringa… Kwenye ajali hiyo Jeshi la Polisi limethibitisha kuwa watu 12 wamefariki na wengine 18 kujeruhiwa, mazingira ya ajali yanaonesha lori la mizigo lilipoteza mwelekeo na kuligonga basi hilo. Basi hilo la Kampuni ya New Force lilikuwa […]
The post Kilichonifikia kutoka kwenye ajali ya basi la abiria na lori Iringa December 18… #RIP (Picha) appeared first on...
10 years ago
Dewji Blog12 Apr
Mwendelezo wa habari ya ajali ya Ruaha Mbuyuni: 6 wadaiwa kupoteza maisha
basi hilo baada ya kupata ajali ya kuungua.
Habari zilizotufikia muda huu wa saa nane mchana ni kuwa hadi sasa imeelezwa kuwa watu sita (6) wamepoteza maisha kufuatia ajali ya basi la abiria la Nganga lililogongana na Fuso, na kupelekea magai hayo kuwaka moto, katika eneo la Ruaha Mbuyuni mpakani kwa Morogoro na Iringa.
Hata hivyo, bado kuna ugumu wa habari kamili kutokana na umbali wa eneo hilo la tukio huku tukihalifiwa kuwa, makamanda wa jeshi la Polisi wa Morogoro na Iringa wote simu zao...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-RdirUdpj-GU/VQQqz4qU7vI/AAAAAAABoQU/kSoNoTY0Yzk/s72-c/AJALI%2B1.jpg)
AJALI NYINGINE YA BASI NA LORI MAPEMA LEO DODOMA
![](http://2.bp.blogspot.com/-RdirUdpj-GU/VQQqz4qU7vI/AAAAAAABoQU/kSoNoTY0Yzk/s1600/AJALI%2B1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-5smf9SginXQ/VQQq1uJOn9I/AAAAAAABoQc/iEIpyVUvWS0/s1600/AJALI%2B2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-GEdSntU-xCA/VQQq7A53laI/AAAAAAABoQk/leepMyXIj_s/s1600/AJALI%2B3.jpg)