17 wapoteza maisha na 56 wajeruhiwa katika ajali ya basi la morobest dodoma
![](http://1.bp.blogspot.com/-eAs32y6M0bU/U9kzuOOIuEI/AAAAAAAF76E/IS2iYZVMgdc/s72-c/unnamed+(8).jpg)
TAKRIBANI watu 17 wamepoteza maisha na wengine 56 kujeruhiwa baada ya basi la la Morobest lililokuwa linatoka Mpwapwa kwenda Dar es Salaam kugongana uso kwa uso na lori eneo la Pandambili, Kongwa mkoani Dodoma leo. Kwa mujibu wa taarifa ya kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma, basi hilo lilikuwa likiendeshwa na dereva Said Lusogo liligongana na Lori namba T820CKU / T390CKT lililokuwa likitokea Dar es Salaam kuelekea Dodoma likiendeshwa na dereva Gilbert Isata Nemaya. Amesema atika ajali hiyo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog22 Aug
Wawili wapoteza maisha na 52 wajeruhiwa ajali ya basi Singida
Askari wa usalama barabarani wilaya ya Ikungi, akikagua basi la kampuni ya KISBO, T.534 CHX baada ya kupinduka katika eneo la kijiji cha Kambi ya mkaa kata ya Issuna wilaya ya Ikungi na kusababisha vifo vya watu wawili na kujeruhi wengine 52.
Na Nathaniel Limu, Singida
ABIRIA wawili wamefariki dunia na wengine 52 kujeruhiwa vibaya baada ya basi walilokuwa wakisafiria kupasuka tairi la mbele kulia na kuacha barabara na kisha kupinduka.
Basi lililohusika na ajali hiyo ni T.534 CHX aina ya...
11 years ago
Michuzi28 Mar
wawili wapoteza maisha, saba wajeruhiwa na wanne hawajulikani walipo baada ya ajali ya treni ya mizigo gulwe, dodoma
VIFO: Ajali hiyo hadi hivi sasa imesababisha vifo vya watu wawili ambao wamefahamika kwa majina yafuatayo:- 1. Felix s/o Kalonga 2. Ismail @...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-3SQhmbAYeew/VWHoUA4ZSwI/AAAAAAAHZiI/MXNk5TR5zXQ/s72-c/unnamed26.jpg)
watatu wapoteza maisha katika ajali ya basi mkoani mbeya leo
![](http://3.bp.blogspot.com/-3SQhmbAYeew/VWHoUA4ZSwI/AAAAAAAHZiI/MXNk5TR5zXQ/s640/unnamed26.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-6BjCpLZzhoQ/Vg12QZk8pVI/AAAAAAAH8O8/SunqeebUnTQ/s72-c/unnamed%2B%252857%2529.jpg)
STOP PRESS: VIJANA SITA WA JKT BULOMBORA MKOANI KIGOMA WAPOTEZA MAISHA 21 WAJERUHIWA KATIKA AJALI JIONI HII
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Bz5XAf4OQ3M/UynVcAmZwwI/AAAAAAAFVDw/LqK4lnroSY8/s72-c/6c860f6e21505f03e949e445344bc6c8.jpg)
WAWILI WAPOTEZA MAISHA NA SABA WAMEJERUHIWWA KATIKA AJALI YA BASI NA BODABODA MKOANI LINDI LEO
![](http://2.bp.blogspot.com/-Bz5XAf4OQ3M/UynVcAmZwwI/AAAAAAAFVDw/LqK4lnroSY8/s1600/6c860f6e21505f03e949e445344bc6c8.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Kf8jvkiJLLI/VQAPiAQ-RzI/AAAAAAAHJhc/E29CU9kdMvo/s72-c/IMG-20150311-WA0005.jpg)
NEWS ALERT: WATU ZAIDI YA 30 WAPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA MAFINGA, IRINGA, LEO BAADA YA BASI LA ABIRIA KUANGUKIWA NA KONTENA
![](http://3.bp.blogspot.com/-Kf8jvkiJLLI/VQAPiAQ-RzI/AAAAAAAHJhc/E29CU9kdMvo/s1600/IMG-20150311-WA0005.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-YrffIUaPznU/VQAV5NhjcvI/AAAAAAAHJhs/Z2y_CB55Yq4/s1600/IMG-20150311-WA0002.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-qBhMF00X2eM/VTfR9P-ys1I/AAAAAAAHSl8/WI1Qs9Kgv3Q/s72-c/unnamed%2B(50).jpg)
MUNGU TUNUSURU YARABI TOBA....AJALI INGINE SHINYANGA, 10 WAPOTEZA MAISHA 40 WAJERUHIWA VIBAYA
![](http://2.bp.blogspot.com/-qBhMF00X2eM/VTfR9P-ys1I/AAAAAAAHSl8/WI1Qs9Kgv3Q/s1600/unnamed%2B(50).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-5bGr1KIgJi4/VTfR8zRXf0I/AAAAAAAHSmA/wHU8MN9jFSE/s1600/unnamed%2B(51).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-GrHYaqSecSI/VTfR8ohIPfI/AAAAAAAHSl4/aG80LGJ5SXY/s1600/unnamed%2B(52).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-CG4w-P4hD20/VTfR-N6C-3I/AAAAAAAHSmM/o4Z-1NVjGTQ/s1600/unnamed%2B(53).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-aFPJwxwIGQk/U4nbdJC3EmI/AAAAAAAFmuI/w4uL-DwXyYI/s72-c/unnamed+(94).jpg)
WAWILI WAPOTEZA MAISHA NA WENGINE TISA MAJERUHI KATIKA AJALI MBILI TOFAUTI MOJA IKIHUSISHA GARI LILILOBEBA WANAHABARI WA MBONI SHOW MKOANI DODOMA.
![](http://2.bp.blogspot.com/-aFPJwxwIGQk/U4nbdJC3EmI/AAAAAAAFmuI/w4uL-DwXyYI/s1600/unnamed+(94).jpg)
Watu wawili wamepoteza maisha kutokana na ajali mbili zilizotokea katika maeneo mawili tofauti na nyakati tofauti Mkoani Dodoma.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP (pichani) ameeleza kuwa, ajali ya kwanza ilitokea tarehe 30/05/2014 majira ya saa 18:30hrs katika kijiji cha Ipala Wilaya ya Dodoma ambapo gari lenye namba za usajili DFP 614 Toyota Land Cruiser mali ya chuo cha Serikali...
11 years ago
Dewji Blog12 Apr
Watu 2 wapoteza maisha kwenye ajali ya basi la Smart eneo la Lugoba leo asubuhi
Basi la Smart likiwa limepinduka eneo la Lugoba.
Mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo akiwa amepoteza fahamu baada ya kupata mshtuko.
Watu wawili Wamefariki Dunia Kutokana na Ajali ya Basi la Smart Asubuhi ya leo.
Basi Hilo Lililokuwa likitokea Jijini dar es salaam Kuelekea Mombasa Nchini Kenya Limeacha Njia Na Kupinduka na Kusababisha Vifo vya watu Wawili pamoja na Kujeruhi abiria wanaokadiriwa kufika 20 .Ajali hiyo imetokea katika Eneo la Mkata na Lugoba Barabara Kuu ya Chalinze...